[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:02.08,Default,,0000,0000,0000,,Mwaka uliopita tulikiuka Dialogue: 0,0:00:02.08,0:00:05.94,Default,,0000,0000,0000,,Mamilioni ya wapigakura wapya walifanya sauti zao zisikike kwa mara ya kwanza Dialogue: 0,0:00:05.94,0:00:07.89,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sasa tumeponzwa hata zaidi. Dialogue: 0,0:00:07.89,0:00:10.44,Default,,0000,0000,0000,,Ndio maana nimekuwa nikijaribu kufikia baadhi ya marafiki zangu Dialogue: 0,0:00:10.44,0:00:13.33,Default,,0000,0000,0000,,kupanua Kikundi changu cha wapiga kura kwa mwaka huu ujao Dialogue: 0,0:00:14.32,0:00:15.94,Default,,0000,0000,0000,,inaanza na wewe Dialogue: 0,0:00:15.94,0:00:17.36,Default,,0000,0000,0000,,Wewe ni wa pekee Dialogue: 0,0:00:17.36,0:00:18.93,Default,,0000,0000,0000,,unayeweza kuanzisha mdahalo huo Dialogue: 0,0:00:18.93,0:00:21.08,Default,,0000,0000,0000,,na familia yako, na marafiki zako Dialogue: 0,0:00:21.08,0:00:23.68,Default,,0000,0000,0000,,na washikaji wako wa kike Dialogue: 0,0:00:23.68,0:00:25.06,Default,,0000,0000,0000,,na hata na jamii yako Dialogue: 0,0:00:25.06,0:00:26.97,Default,,0000,0000,0000,,Kuhakikisha wamejiandikisha na wapo tayari kupiga kura Dialogue: 0,0:00:26.97,0:00:29.35,Default,,0000,0000,0000,,au uwatumie ujumbe au ujumbe wa siri mtandaoni Dialogue: 0,0:00:29.35,0:00:33.01,Default,,0000,0000,0000,,na useme, "yo- vipi? uko poa! Unafaa kujiunga na kikundi Dialogue: 0,0:00:33.01,0:00:34.48,Default,,0000,0000,0000,,tunakuhitaji Dialogue: 0,0:00:34.48,0:00:37.05,Default,,0000,0000,0000,,Kuunda Kikundi chako cha mashindano ya uchaguzi Dialogue: 0,0:00:37.05,0:00:39.42,Default,,0000,0000,0000,,Ni nafasi yako kubadili mchezo Dialogue: 0,0:00:39.42,0:00:41.70,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu tunapojiunga kwa kikundi Dialogue: 0,0:00:41.70,0:00:43.78,Default,,0000,0000,0000,,tunapohakikisha sauti zetu zinasikika Dialogue: 0,0:00:43.78,0:00:45.29,Default,,0000,0000,0000,,Tunapopiga kura sisi sote Dialogue: 0,0:00:45.29,0:00:47.66,Default,,0000,0000,0000,,Kama sisi SOTE tunapiga kura Dialogue: 0,0:00:47.66,0:00:49.95,Default,,0000,0000,0000,,Tunaweza badili ulimwengu Dialogue: 0,0:00:49.95,0:00:51.34,Default,,0000,0000,0000,,nenda kwa WhenWeAllVote.org Dialogue: 0,0:00:51.34,0:00:53.45,Default,,0000,0000,0000,,Kuanza Tuanze kazi Dialogue: 0,0:00:53.45,0:00:54.68,Default,,0000,0000,0000,,Jiunge nasi. Dialogue: 0,0:00:54.68,0:01:01.00,Default,,0000,0000,0000,,[muziki wa kusisimua]