Finding Common Denominators
-
0:01 - 0:03Tunatakiwa kuziandika tena
-
0:03 - 0:07sehemu zifuatazo kama zenye asili ndogo ya shirika.
-
0:11 - 0:13Hivyo asili ndogo ya shirika ya sehemu hizi mbili
-
0:13 - 0:17itakuwa ni kigawe kidogo cha shirika cha
-
0:17 - 0:20hizi asili.
-
0:20 - 0:21Na thamani ya kufanya hivyo itakuwa
-
0:21 - 0:25kama unaweza kuzifanya hizi kuwa na asili zinazofanana,
-
0:25 - 0:26basi unaweza kuzijumlisha hizi sehemu mbili.
-
0:26 - 0:28Na tutaiona hii kwenye video nyingine.
-
0:28 - 0:31Lakini kwanza, tutafute kigawe kidogo cha shirika.
-
0:33 - 0:36Nitaiandika kwa sababu wakati mwingine KDS
-
0:36 - 0:37inaweza maanisha kitu kingine.
-
0:37 - 0:48Hivyo asili ndogo ya shirika ya sehemu hizi
-
0:48 - 0:51itakuwa kitu kile kile kama kigawe kidogo cha shirika
-
0:51 - 0:54cha hizi asili mbili hapa.
-
0:54 - 0:57Kigawe cha kidogo cha shirika cha 8 na 6.
-
0:57 - 1:00Kuna njia nyingi za kutafuta kigawe cha shirika--
-
1:00 - 1:02unaweza kuchukua vigawe vya 8 na 6
-
1:02 - 1:05na kuangalia kigawe kidogo kabisa ni kipi.
-
1:05 - 1:07Tuanze na njia hii sasa.
-
1:07 - 1:14Hivyo vigawe vya 6 ni, 12, 18, 24, 30.
-
1:14 - 1:17Na tungeendelea kama bado tusingepata kigawo kidogo
-
1:17 - 1:20katika kundi hili . Hivi ni vigawe vya 8.
-
1:20 - 1:26Navyo ni 8, 16, 24,
-
1:26 - 1:27na inaonekana tumeshamaliza.
-
1:27 - 1:29Na tungeendelea mpaka 32,
-
1:29 - 1:30na kuendelea.
-
1:30 - 1:32Ila nimekwishapata kigawe ambacho
-
1:32 - 1:34ndio kigodo kabisa.
-
1:34 - 1:38Kuna vigawe vingine vya shirika kama --48 na 72,
-
1:38 - 1:40na tunaweza endelea kuongeza zaidi na zaidi.
-
1:40 - 1:42Ila hiki ndicho kigawe kidogo kabisa cha shirika,
-
1:42 - 1:44kigawe kidogo kabisa.
-
1:44 - 1:48Ni 24.
-
1:48 - 1:50Njia nyingine ya kutafuta kigawe kidogo cha shirika
-
1:50 - 1:53kama ukichukua vigawo tasa vya 6
-
1:53 - 1:55na ukasema hivi ni 2 na 3.
-
1:55 - 2:01Hivyo kigawe kidogo kabisa kitakuwa 1, 2, na 1, 3
-
2:01 - 2:03kwenye vigawo tasa ili
-
2:03 - 2:04viweze kugawanyika kwa 6.
-
2:04 - 2:08Na ungejiuliza, vigawe tasa vya 8 ni vipi?
-
2:08 - 2:11ni 2 mara 4, na vya 4 ni 2 mara 2.
-
2:11 - 2:13Hivyo ili viweze kugawanyika kwa 8,
-
2:13 - 2:17angalau uwe na 2 mbili kwenye vigawo tasa.
-
2:17 - 2:22Ili vigawanyike kwa 6, inabidi uwe na 2 mara 3.
-
2:22 - 2:24Halafu ili vigawanyike kwa 8, inabidi uwe na
-
2:24 - 2:262 mbili.
-
2:26 - 2:28Unatakliwa uwe na mbili uizidishe kwa yenyewe mara 3
-
2:28 - 2:29naweza kusema hivyo.
-
2:29 - 2:32Haya tuna mbili ya kwanza hapa.
-
2:32 - 2:35Kisha tuna 2 nyingine na 2 nyingine.
-
2:35 - 2:38Hivyo sehemu hii hapa inagawanyika kwa 8.
-
2:38 - 2:41Na hii sehemu hapa inaifanya igawanyike kwa 6.
-
2:41 - 2:48Nikichukua 2 mara 2 mara 2 mara 3, itanipa jibu 24.
-
2:48 - 2:50Hivyo kigawe kidogo cha shirika cha 8 na 6,
-
2:50 - 2:53ambacho pia kina asili sawa cha hizi
-
2:53 - 2:55sehemu mbili kitakuwa 24.
-
2:55 - 2:57Tunachotaka kufanya ni kuziandika upya sehemu zifuatazo
-
2:57 - 3:00na 24 kama asili.
-
3:00 - 3:02Nitaanza na 2 juu ya 8.
-
3:02 - 3:05Na ninataka kuiandika kama kitu juu ya 24.
-
3:09 - 3:11Kupata asili iwe 24,
-
3:11 - 3:13inabidi kuizidisha kwa 3.
-
3:13 - 3:158 mara 3 ni 24.
-
3:15 - 3:16Na kama hatutaki kubadili
-
3:16 - 3:18thamani ya sehemu, tunazidisha
-
3:18 - 3:22asili na kiasi kwa namba ile ile.
-
3:22 - 3:25Sasa tuzidishe kiasi kwa 3 pia.
-
3:25 - 3:272 mara 3 ni 6.
-
3:27 - 3:30Hivyo 2/8 ni sawa na 6/24.
-
3:30 - 3:31Ili kuielewa vizuri,
-
3:31 - 3:37unaweza kusema, kama nina 2/8 na nikiizidisha mara 3
-
3:37 - 3:40juu ya 3, itanipa 6/24.
-
3:42 - 3:46Na hizi ni sehemu sawa kwa sababu 3 juu ya 3
-
3:46 - 3:48maana yake ni 1.
-
3:48 - 3:50Moja nzima..
-
3:50 - 3:54Hivyo 2/8 ni 6/24, hebu tufanye hivi kwa 5/6.
-
3:57 - 4:03Hivyo 5 juu ya 6 ni sawa na kitu juu ya 24.
-
4:03 - 4:06Nitaifanya kwa kutumia rangi nyingine.
-
4:06 - 4:07Rangi ya bluu.
-
4:07 - 4:10Kitu fulani juu ya 24.
-
4:10 - 4:12Kupata asili toka kwenye 6 mpaka 24,
-
4:12 - 4:14tunazidisha kwa 4.
-
4:14 - 4:16Hivyo kama hatutaki kubadili thamani ya 5/6,
-
4:16 - 4:18tunazidisha kiasi na asili
-
4:18 - 4:19kuwa namba ile ile..
-
4:19 - 4:22Hebu tuzidishe kiasi mara 4.
-
4:22 - 4:255 mara 4 ni 20.
-
4:25 - 4:275/6 ni sawa na 20/24.
-
4:27 - 4:28Tumemaliza.
-
4:28 - 4:32Tumeandika 2/8 kama 6/24 na tumeandika 5/6 kama 20/24.
-
4:32 - 4:34Kama tukitaka kuzijumlisha, tunajumlisha
-
4:34 - 4:376/24 na 20/24.
-
4:37 - 4:38Nitaishia hapa kwa sababu hatujaambiwa
-
4:38 - 4:41kufanya hivyo.
- Title:
- Finding Common Denominators
- Description:
-
Finding Common Denominators
Practice this lesson yourself on KhanAcademy.org right now: https://www.khanacademy.org/math/pre-algebra/fractions-pre-alg/equivalent-fractions-pre-alg/e/equivalent_fractions?utm_source=YT&utm_medium=Desc&utm_campaign=PreAlgebra
Watch the next lesson: https://www.khanacademy.org/math/pre-algebra/fractions-pre-alg/comparing-fractions-pre-alg/v/comparing-fractions-with-greater-than-and-less-than-symbols?utm_source=YT&utm_medium=Desc&utm_campaign=PreAlgebra
Missed the previous lesson?
https://www.khanacademy.org/math/pre-algebra/fractions-pre-alg/equivalent-fractions-pre-alg/v/equivalent-fractions-example?utm_source=YT&utm_medium=Desc&utm_campaign=PreAlgebraPre-Algebra on Khan Academy: No way, this isn't your run of the mill arithmetic. This is Pre-algebra. You're about to play with the professionals. Think of pre-algebra as a runway. You're the airplane and algebra is your sunny vacation destination. Without the runway you're not going anywhere. Seriously, the foundation for all higher mathematics is laid with many of the concepts that we will introduce to you here: negative numbers, absolute value, factors, multiples, decimals, and fractions to name a few. So buckle up and move your seat into the upright position. We're about to take off!
About Khan Academy: Khan Academy offers practice exercises, instructional videos, and a personalized learning dashboard that empower learners to study at their own pace in and outside of the classroom. We tackle math, science, computer programming, history, art history, economics, and more. Our math missions guide learners from kindergarten to calculus using state-of-the-art, adaptive technology that identifies strengths and learning gaps. We've also partnered with institutions like NASA, The Museum of Modern Art, The California Academy of Sciences, and MIT to offer specialized content.
For free. For everyone. Forever. #YouCanLearnAnything
Subscribe to KhanAcademy’s Pre-Algebra channel:: https://www.youtube.com/channel/UCIMlYkATtXOFswVoCZN7nAA?sub_confirmation=1
Subscribe to KhanAcademy: https://www.youtube.com/subscription_center?add_user=khanacademy - Video Language:
- English
- Team:
Khan Academy
- Duration:
- 04:42
![]() |
Fran Ontanaya edited Swahili subtitles for Finding common denominators | Fractions | Pre-Algebra | Khan Academy |