0:00:00.570,0:00:02.680 Tunatakiwa kuziandika tena 0:00:02.680,0:00:06.720 sehemu zifuatazo kama zenye asili ndogo ya shirika. 0:00:10.960,0:00:13.260 Hivyo asili ndogo ya shirika ya sehemu hizi mbili 0:00:13.260,0:00:17.250 itakuwa ni kigawe kidogo cha shirika cha 0:00:17.250,0:00:19.630 hizi asili. 0:00:19.630,0:00:21.480 Na thamani ya kufanya hivyo itakuwa 0:00:21.480,0:00:24.530 kama unaweza kuzifanya hizi kuwa na asili zinazofanana, 0:00:24.530,0:00:26.400 basi unaweza kuzijumlisha hizi sehemu mbili. 0:00:26.400,0:00:28.046 Na tutaiona hii kwenye video nyingine. 0:00:28.046,0:00:30.545 Lakini kwanza, tutafute kigawe kidogo cha shirika. 0:00:33.330,0:00:35.920 Nitaiandika kwa sababu wakati mwingine KDS 0:00:35.920,0:00:37.400 inaweza maanisha kitu kingine. 0:00:37.400,0:00:48.160 Hivyo asili ndogo ya shirika ya sehemu hizi 0:00:48.160,0:00:51.360 itakuwa kitu kile kile kama kigawe kidogo cha shirika 0:00:51.360,0:00:53.580 cha hizi asili mbili hapa. 0:00:53.580,0:00:57.342 Kigawe cha kidogo cha shirika cha 8 na 6. 0:00:57.342,0:00:59.800 Kuna njia nyingi za kutafuta kigawe cha shirika-- 0:00:59.800,0:01:02.380 unaweza kuchukua vigawe vya 8 na 6 0:01:02.380,0:01:05.370 na kuangalia kigawe kidogo kabisa ni kipi. 0:01:05.370,0:01:07.180 Tuanze na njia hii sasa. 0:01:07.180,0:01:13.760 Hivyo vigawe vya 6 ni, 12, 18, 24, 30. 0:01:13.760,0:01:17.050 Na tungeendelea kama bado tusingepata kigawo kidogo 0:01:17.050,0:01:20.360 katika kundi hili . Hivi ni vigawe vya 8. 0:01:20.360,0:01:25.687 Navyo ni 8, 16, 24, 0:01:25.687,0:01:26.895 na inaonekana tumeshamaliza. 0:01:26.895,0:01:29.150 Na tungeendelea mpaka 32, 0:01:29.150,0:01:30.490 na kuendelea. 0:01:30.490,0:01:32.290 Ila nimekwishapata kigawe ambacho 0:01:32.290,0:01:33.740 ndio kigodo kabisa. 0:01:33.740,0:01:38.050 Kuna vigawe vingine vya shirika kama --48 na 72, 0:01:38.050,0:01:40.050 na tunaweza endelea kuongeza zaidi na zaidi. 0:01:40.050,0:01:41.841 Ila hiki ndicho kigawe kidogo kabisa cha shirika, 0:01:41.841,0:01:44.400 kigawe kidogo kabisa. 0:01:44.400,0:01:47.550 Ni 24. 0:01:47.550,0:01:50.420 Njia nyingine ya kutafuta kigawe kidogo cha shirika 0:01:50.420,0:01:52.910 kama ukichukua vigawo tasa vya 6 0:01:52.910,0:01:55.330 na ukasema hivi ni 2 na 3. 0:01:55.330,0:02:00.810 Hivyo kigawe kidogo kabisa kitakuwa 1, 2, na 1, 3 0:02:00.810,0:02:02.700 kwenye vigawo tasa ili 0:02:02.700,0:02:04.440 viweze kugawanyika kwa 6. 0:02:04.440,0:02:07.610 Na ungejiuliza, vigawe tasa vya 8 ni vipi? 0:02:07.610,0:02:11.190 ni 2 mara 4, na vya 4 ni 2 mara 2. 0:02:11.190,0:02:12.820 Hivyo ili viweze kugawanyika kwa 8, 0:02:12.820,0:02:16.760 angalau uwe na 2 mbili kwenye vigawo tasa. 0:02:16.760,0:02:21.607 Ili vigawanyike kwa 6, inabidi uwe na 2 mara 3. 0:02:21.607,0:02:24.190 Halafu ili vigawanyike kwa 8, inabidi uwe na 0:02:24.190,0:02:25.900 2 mbili. 0:02:25.900,0:02:27.810 Unatakliwa uwe na mbili uizidishe kwa yenyewe mara 3 0:02:27.810,0:02:28.690 naweza kusema hivyo. 0:02:28.690,0:02:32.070 Haya tuna mbili ya kwanza hapa. 0:02:32.070,0:02:34.830 Kisha tuna 2 nyingine na 2 nyingine. 0:02:34.830,0:02:38.190 Hivyo sehemu hii hapa inagawanyika kwa 8. 0:02:38.190,0:02:41.260 Na hii sehemu hapa inaifanya igawanyike kwa 6. 0:02:41.260,0:02:48.206 Nikichukua 2 mara 2 mara 2 mara 3, itanipa jibu 24. 0:02:48.206,0:02:49.872 Hivyo kigawe kidogo cha shirika cha 8 na 6, 0:02:49.872,0:02:52.590 ambacho pia kina asili sawa cha hizi 0:02:52.590,0:02:54.790 sehemu mbili kitakuwa 24. 0:02:54.790,0:02:57.200 Tunachotaka kufanya ni kuziandika upya sehemu zifuatazo 0:02:57.200,0:02:59.570 na 24 kama asili. 0:02:59.570,0:03:01.790 Nitaanza na 2 juu ya 8. 0:03:01.790,0:03:04.790 Na ninataka kuiandika kama kitu juu ya 24. 0:03:08.790,0:03:11.180 Kupata asili iwe 24, 0:03:11.180,0:03:13.350 inabidi kuizidisha kwa 3. 0:03:13.350,0:03:15.126 8 mara 3 ni 24. 0:03:15.126,0:03:16.500 Na kama hatutaki kubadili 0:03:16.500,0:03:17.920 thamani ya sehemu, tunazidisha 0:03:17.920,0:03:21.560 asili na kiasi kwa namba ile ile. 0:03:21.560,0:03:24.740 Sasa tuzidishe kiasi kwa 3 pia. 0:03:24.740,0:03:26.870 2 mara 3 ni 6. 0:03:26.870,0:03:29.936 Hivyo 2/8 ni sawa na 6/24. 0:03:29.936,0:03:31.310 Ili kuielewa vizuri, 0:03:31.310,0:03:37.040 unaweza kusema, kama nina 2/8 na nikiizidisha mara 3 0:03:37.040,0:03:39.635 juu ya 3, itanipa 6/24. 0:03:42.370,0:03:45.970 Na hizi ni sehemu sawa kwa sababu 3 juu ya 3 0:03:45.970,0:03:47.970 maana yake ni 1. 0:03:47.970,0:03:49.540 Moja nzima.. 0:03:49.540,0:03:53.600 Hivyo 2/8 ni 6/24, hebu tufanye hivi kwa 5/6. 0:03:56.590,0:04:03.150 Hivyo 5 juu ya 6 ni sawa na kitu juu ya 24. 0:04:03.150,0:04:05.740 Nitaifanya kwa kutumia rangi nyingine. 0:04:05.740,0:04:07.430 Rangi ya bluu. 0:04:07.430,0:04:09.590 Kitu fulani juu ya 24. 0:04:09.590,0:04:11.910 Kupata asili toka kwenye 6 mpaka 24, 0:04:11.910,0:04:14.230 tunazidisha kwa 4. 0:04:14.230,0:04:16.240 Hivyo kama hatutaki kubadili thamani ya 5/6, 0:04:16.240,0:04:18.281 tunazidisha kiasi na asili 0:04:18.281,0:04:19.190 kuwa namba ile ile.. 0:04:19.190,0:04:22.190 Hebu tuzidishe kiasi mara 4. 0:04:22.190,0:04:24.610 5 mara 4 ni 20. 0:04:24.610,0:04:26.820 5/6 ni sawa na 20/24. 0:04:26.820,0:04:27.700 Tumemaliza. 0:04:27.700,0:04:31.902 Tumeandika 2/8 kama 6/24 na tumeandika 5/6 kama 20/24. 0:04:31.902,0:04:34.110 Kama tukitaka kuzijumlisha, tunajumlisha 0:04:34.110,0:04:36.849 6/24 na 20/24. 0:04:36.849,0:04:38.390 Nitaishia hapa kwa sababu hatujaambiwa 0:04:38.390,0:04:41.140 kufanya hivyo.