1 00:00:00,570 --> 00:00:02,680 Tunatakiwa kuziandika tena 2 00:00:02,680 --> 00:00:06,720 sehemu zifuatazo kama zenye asili ndogo ya shirika. 3 00:00:10,960 --> 00:00:13,260 Hivyo asili ndogo ya shirika ya sehemu hizi mbili 4 00:00:13,260 --> 00:00:17,250 itakuwa ni kigawe kidogo cha shirika cha 5 00:00:17,250 --> 00:00:19,630 hizi asili. 6 00:00:19,630 --> 00:00:21,480 Na thamani ya kufanya hivyo itakuwa 7 00:00:21,480 --> 00:00:24,530 kama unaweza kuzifanya hizi kuwa na asili zinazofanana, 8 00:00:24,530 --> 00:00:26,400 basi unaweza kuzijumlisha hizi sehemu mbili. 9 00:00:26,400 --> 00:00:28,046 Na tutaiona hii kwenye video nyingine. 10 00:00:28,046 --> 00:00:30,545 Lakini kwanza, tutafute kigawe kidogo cha shirika. 11 00:00:33,330 --> 00:00:35,920 Nitaiandika kwa sababu wakati mwingine KDS 12 00:00:35,920 --> 00:00:37,400 inaweza maanisha kitu kingine. 13 00:00:37,400 --> 00:00:48,160 Hivyo asili ndogo ya shirika ya sehemu hizi 14 00:00:48,160 --> 00:00:51,360 itakuwa kitu kile kile kama kigawe kidogo cha shirika 15 00:00:51,360 --> 00:00:53,580 cha hizi asili mbili hapa. 16 00:00:53,580 --> 00:00:57,342 Kigawe cha kidogo cha shirika cha 8 na 6. 17 00:00:57,342 --> 00:00:59,800 Kuna njia nyingi za kutafuta kigawe cha shirika-- 18 00:00:59,800 --> 00:01:02,380 unaweza kuchukua vigawe vya 8 na 6 19 00:01:02,380 --> 00:01:05,370 na kuangalia kigawe kidogo kabisa ni kipi. 20 00:01:05,370 --> 00:01:07,180 Tuanze na njia hii sasa. 21 00:01:07,180 --> 00:01:13,760 Hivyo vigawe vya 6 ni, 12, 18, 24, 30. 22 00:01:13,760 --> 00:01:17,050 Na tungeendelea kama bado tusingepata kigawo kidogo 23 00:01:17,050 --> 00:01:20,360 katika kundi hili . Hivi ni vigawe vya 8. 24 00:01:20,360 --> 00:01:25,687 Navyo ni 8, 16, 24, 25 00:01:25,687 --> 00:01:26,895 na inaonekana tumeshamaliza. 26 00:01:26,895 --> 00:01:29,150 Na tungeendelea mpaka 32, 27 00:01:29,150 --> 00:01:30,490 na kuendelea. 28 00:01:30,490 --> 00:01:32,290 Ila nimekwishapata kigawe ambacho 29 00:01:32,290 --> 00:01:33,740 ndio kigodo kabisa. 30 00:01:33,740 --> 00:01:38,050 Kuna vigawe vingine vya shirika kama --48 na 72, 31 00:01:38,050 --> 00:01:40,050 na tunaweza endelea kuongeza zaidi na zaidi. 32 00:01:40,050 --> 00:01:41,841 Ila hiki ndicho kigawe kidogo kabisa cha shirika, 33 00:01:41,841 --> 00:01:44,400 kigawe kidogo kabisa. 34 00:01:44,400 --> 00:01:47,550 Ni 24. 35 00:01:47,550 --> 00:01:50,420 Njia nyingine ya kutafuta kigawe kidogo cha shirika 36 00:01:50,420 --> 00:01:52,910 kama ukichukua vigawo tasa vya 6 37 00:01:52,910 --> 00:01:55,330 na ukasema hivi ni 2 na 3. 38 00:01:55,330 --> 00:02:00,810 Hivyo kigawe kidogo kabisa kitakuwa 1, 2, na 1, 3 39 00:02:00,810 --> 00:02:02,700 kwenye vigawo tasa ili 40 00:02:02,700 --> 00:02:04,440 viweze kugawanyika kwa 6. 41 00:02:04,440 --> 00:02:07,610 Na ungejiuliza, vigawe tasa vya 8 ni vipi? 42 00:02:07,610 --> 00:02:11,190 ni 2 mara 4, na vya 4 ni 2 mara 2. 43 00:02:11,190 --> 00:02:12,820 Hivyo ili viweze kugawanyika kwa 8, 44 00:02:12,820 --> 00:02:16,760 angalau uwe na 2 mbili kwenye vigawo tasa. 45 00:02:16,760 --> 00:02:21,607 Ili vigawanyike kwa 6, inabidi uwe na 2 mara 3. 46 00:02:21,607 --> 00:02:24,190 Halafu ili vigawanyike kwa 8, inabidi uwe na 47 00:02:24,190 --> 00:02:25,900 2 mbili. 48 00:02:25,900 --> 00:02:27,810 Unatakliwa uwe na mbili uizidishe kwa yenyewe mara 3 49 00:02:27,810 --> 00:02:28,690 naweza kusema hivyo. 50 00:02:28,690 --> 00:02:32,070 Haya tuna mbili ya kwanza hapa. 51 00:02:32,070 --> 00:02:34,830 Kisha tuna 2 nyingine na 2 nyingine. 52 00:02:34,830 --> 00:02:38,190 Hivyo sehemu hii hapa inagawanyika kwa 8. 53 00:02:38,190 --> 00:02:41,260 Na hii sehemu hapa inaifanya igawanyike kwa 6. 54 00:02:41,260 --> 00:02:48,206 Nikichukua 2 mara 2 mara 2 mara 3, itanipa jibu 24. 55 00:02:48,206 --> 00:02:49,872 Hivyo kigawe kidogo cha shirika cha 8 na 6, 56 00:02:49,872 --> 00:02:52,590 ambacho pia kina asili sawa cha hizi 57 00:02:52,590 --> 00:02:54,790 sehemu mbili kitakuwa 24. 58 00:02:54,790 --> 00:02:57,200 Tunachotaka kufanya ni kuziandika upya sehemu zifuatazo 59 00:02:57,200 --> 00:02:59,570 na 24 kama asili. 60 00:02:59,570 --> 00:03:01,790 Nitaanza na 2 juu ya 8. 61 00:03:01,790 --> 00:03:04,790 Na ninataka kuiandika kama kitu juu ya 24. 62 00:03:08,790 --> 00:03:11,180 Kupata asili iwe 24, 63 00:03:11,180 --> 00:03:13,350 inabidi kuizidisha kwa 3. 64 00:03:13,350 --> 00:03:15,126 8 mara 3 ni 24. 65 00:03:15,126 --> 00:03:16,500 Na kama hatutaki kubadili 66 00:03:16,500 --> 00:03:17,920 thamani ya sehemu, tunazidisha 67 00:03:17,920 --> 00:03:21,560 asili na kiasi kwa namba ile ile. 68 00:03:21,560 --> 00:03:24,740 Sasa tuzidishe kiasi kwa 3 pia. 69 00:03:24,740 --> 00:03:26,870 2 mara 3 ni 6. 70 00:03:26,870 --> 00:03:29,936 Hivyo 2/8 ni sawa na 6/24. 71 00:03:29,936 --> 00:03:31,310 Ili kuielewa vizuri, 72 00:03:31,310 --> 00:03:37,040 unaweza kusema, kama nina 2/8 na nikiizidisha mara 3 73 00:03:37,040 --> 00:03:39,635 juu ya 3, itanipa 6/24. 74 00:03:42,370 --> 00:03:45,970 Na hizi ni sehemu sawa kwa sababu 3 juu ya 3 75 00:03:45,970 --> 00:03:47,970 maana yake ni 1. 76 00:03:47,970 --> 00:03:49,540 Moja nzima.. 77 00:03:49,540 --> 00:03:53,600 Hivyo 2/8 ni 6/24, hebu tufanye hivi kwa 5/6. 78 00:03:56,590 --> 00:04:03,150 Hivyo 5 juu ya 6 ni sawa na kitu juu ya 24. 79 00:04:03,150 --> 00:04:05,740 Nitaifanya kwa kutumia rangi nyingine. 80 00:04:05,740 --> 00:04:07,430 Rangi ya bluu. 81 00:04:07,430 --> 00:04:09,590 Kitu fulani juu ya 24. 82 00:04:09,590 --> 00:04:11,910 Kupata asili toka kwenye 6 mpaka 24, 83 00:04:11,910 --> 00:04:14,230 tunazidisha kwa 4. 84 00:04:14,230 --> 00:04:16,240 Hivyo kama hatutaki kubadili thamani ya 5/6, 85 00:04:16,240 --> 00:04:18,281 tunazidisha kiasi na asili 86 00:04:18,281 --> 00:04:19,190 kuwa namba ile ile.. 87 00:04:19,190 --> 00:04:22,190 Hebu tuzidishe kiasi mara 4. 88 00:04:22,190 --> 00:04:24,610 5 mara 4 ni 20. 89 00:04:24,610 --> 00:04:26,820 5/6 ni sawa na 20/24. 90 00:04:26,820 --> 00:04:27,700 Tumemaliza. 91 00:04:27,700 --> 00:04:31,902 Tumeandika 2/8 kama 6/24 na tumeandika 5/6 kama 20/24. 92 00:04:31,902 --> 00:04:34,110 Kama tukitaka kuzijumlisha, tunajumlisha 93 00:04:34,110 --> 00:04:36,849 6/24 na 20/24. 94 00:04:36,849 --> 00:04:38,390 Nitaishia hapa kwa sababu hatujaambiwa 95 00:04:38,390 --> 00:04:41,140 kufanya hivyo.