WEBVTT 00:00:00.570 --> 00:00:02.680 Tunatakiwa kuziandika tena 00:00:02.680 --> 00:00:06.720 sehemu zifuatazo kama zenye asili ndogo ya shirika. 00:00:10.960 --> 00:00:13.260 Hivyo asili ndogo ya shirika ya sehemu hizi mbili 00:00:13.260 --> 00:00:17.250 itakuwa ni kigawe kidogo cha shirika cha 00:00:17.250 --> 00:00:19.630 hizi asili. 00:00:19.630 --> 00:00:21.480 Na thamani ya kufanya hivyo itakuwa 00:00:21.480 --> 00:00:24.530 kama unaweza kuzifanya hizi kuwa na asili zinazofanana, 00:00:24.530 --> 00:00:26.400 basi unaweza kuzijumlisha hizi sehemu mbili. 00:00:26.400 --> 00:00:28.046 Na tutaiona hii kwenye video nyingine. 00:00:28.046 --> 00:00:30.545 Lakini kwanza, tutafute kigawe kidogo cha shirika. 00:00:33.330 --> 00:00:35.920 Nitaiandika kwa sababu wakati mwingine KDS 00:00:35.920 --> 00:00:37.400 inaweza maanisha kitu kingine. 00:00:37.400 --> 00:00:48.160 Hivyo asili ndogo ya shirika ya sehemu hizi 00:00:48.160 --> 00:00:51.360 itakuwa kitu kile kile kama kigawe kidogo cha shirika 00:00:51.360 --> 00:00:53.580 cha hizi asili mbili hapa. 00:00:53.580 --> 00:00:57.342 Kigawe cha kidogo cha shirika cha 8 na 6. 00:00:57.342 --> 00:00:59.800 Kuna njia nyingi za kutafuta kigawe cha shirika-- 00:00:59.800 --> 00:01:02.380 unaweza kuchukua vigawe vya 8 na 6 00:01:02.380 --> 00:01:05.370 na kuangalia kigawe kidogo kabisa ni kipi. 00:01:05.370 --> 00:01:07.180 Tuanze na njia hii sasa. 00:01:07.180 --> 00:01:13.760 Hivyo vigawe vya 6 ni, 12, 18, 24, 30. 00:01:13.760 --> 00:01:17.050 Na tungeendelea kama bado tusingepata kigawo kidogo 00:01:17.050 --> 00:01:20.360 katika kundi hili . Hivi ni vigawe vya 8. 00:01:20.360 --> 00:01:25.687 Navyo ni 8, 16, 24, 00:01:25.687 --> 00:01:26.895 na inaonekana tumeshamaliza. 00:01:26.895 --> 00:01:29.150 Na tungeendelea mpaka 32, 00:01:29.150 --> 00:01:30.490 na kuendelea. 00:01:30.490 --> 00:01:32.290 Ila nimekwishapata kigawe ambacho 00:01:32.290 --> 00:01:33.740 ndio kigodo kabisa. 00:01:33.740 --> 00:01:38.050 Kuna vigawe vingine vya shirika kama --48 na 72, 00:01:38.050 --> 00:01:40.050 na tunaweza endelea kuongeza zaidi na zaidi. 00:01:40.050 --> 00:01:41.841 Ila hiki ndicho kigawe kidogo kabisa cha shirika, 00:01:41.841 --> 00:01:44.400 kigawe kidogo kabisa. 00:01:44.400 --> 00:01:47.550 Ni 24. 00:01:47.550 --> 00:01:50.420 Njia nyingine ya kutafuta kigawe kidogo cha shirika 00:01:50.420 --> 00:01:52.910 kama ukichukua vigawo tasa vya 6 00:01:52.910 --> 00:01:55.330 na ukasema hivi ni 2 na 3. 00:01:55.330 --> 00:02:00.810 Hivyo kigawe kidogo kabisa kitakuwa 1, 2, na 1, 3 00:02:00.810 --> 00:02:02.700 kwenye vigawo tasa ili 00:02:02.700 --> 00:02:04.440 viweze kugawanyika kwa 6. 00:02:04.440 --> 00:02:07.610 Na ungejiuliza, vigawe tasa vya 8 ni vipi? 00:02:07.610 --> 00:02:11.190 ni 2 mara 4, na vya 4 ni 2 mara 2. 00:02:11.190 --> 00:02:12.820 Hivyo ili viweze kugawanyika kwa 8, 00:02:12.820 --> 00:02:16.760 angalau uwe na 2 mbili kwenye vigawo tasa. 00:02:16.760 --> 00:02:21.607 Ili vigawanyike kwa 6, inabidi uwe na 2 mara 3. 00:02:21.607 --> 00:02:24.190 Halafu ili vigawanyike kwa 8, inabidi uwe na 00:02:24.190 --> 00:02:25.900 2 mbili. 00:02:25.900 --> 00:02:27.810 Unatakliwa uwe na mbili uizidishe kwa yenyewe mara 3 00:02:27.810 --> 00:02:28.690 naweza kusema hivyo. 00:02:28.690 --> 00:02:32.070 Haya tuna mbili ya kwanza hapa. 00:02:32.070 --> 00:02:34.830 Kisha tuna 2 nyingine na 2 nyingine. 00:02:34.830 --> 00:02:38.190 Hivyo sehemu hii hapa inagawanyika kwa 8. 00:02:38.190 --> 00:02:41.260 Na hii sehemu hapa inaifanya igawanyike kwa 6. 00:02:41.260 --> 00:02:48.206 Nikichukua 2 mara 2 mara 2 mara 3, itanipa jibu 24. 00:02:48.206 --> 00:02:49.872 Hivyo kigawe kidogo cha shirika cha 8 na 6, 00:02:49.872 --> 00:02:52.590 ambacho pia kina asili sawa cha hizi 00:02:52.590 --> 00:02:54.790 sehemu mbili kitakuwa 24. 00:02:54.790 --> 00:02:57.200 Tunachotaka kufanya ni kuziandika upya sehemu zifuatazo 00:02:57.200 --> 00:02:59.570 na 24 kama asili. 00:02:59.570 --> 00:03:01.790 Nitaanza na 2 juu ya 8. 00:03:01.790 --> 00:03:04.790 Na ninataka kuiandika kama kitu juu ya 24. 00:03:08.790 --> 00:03:11.180 Kupata asili iwe 24, 00:03:11.180 --> 00:03:13.350 inabidi kuizidisha kwa 3. 00:03:13.350 --> 00:03:15.126 8 mara 3 ni 24. 00:03:15.126 --> 00:03:16.500 Na kama hatutaki kubadili 00:03:16.500 --> 00:03:17.920 thamani ya sehemu, tunazidisha 00:03:17.920 --> 00:03:21.560 asili na kiasi kwa namba ile ile. 00:03:21.560 --> 00:03:24.740 Sasa tuzidishe kiasi kwa 3 pia. 00:03:24.740 --> 00:03:26.870 2 mara 3 ni 6. 00:03:26.870 --> 00:03:29.936 Hivyo 2/8 ni sawa na 6/24. 00:03:29.936 --> 00:03:31.310 Ili kuielewa vizuri, 00:03:31.310 --> 00:03:37.040 unaweza kusema, kama nina 2/8 na nikiizidisha mara 3 00:03:37.040 --> 00:03:39.635 juu ya 3, itanipa 6/24. 00:03:42.370 --> 00:03:45.970 Na hizi ni sehemu sawa kwa sababu 3 juu ya 3 00:03:45.970 --> 00:03:47.970 maana yake ni 1. 00:03:47.970 --> 00:03:49.540 Moja nzima.. 00:03:49.540 --> 00:03:53.600 Hivyo 2/8 ni 6/24, hebu tufanye hivi kwa 5/6. 00:03:56.590 --> 00:04:03.150 Hivyo 5 juu ya 6 ni sawa na kitu juu ya 24. 00:04:03.150 --> 00:04:05.740 Nitaifanya kwa kutumia rangi nyingine. 00:04:05.740 --> 00:04:07.430 Rangi ya bluu. 00:04:07.430 --> 00:04:09.590 Kitu fulani juu ya 24. 00:04:09.590 --> 00:04:11.910 Kupata asili toka kwenye 6 mpaka 24, 00:04:11.910 --> 00:04:14.230 tunazidisha kwa 4. 00:04:14.230 --> 00:04:16.240 Hivyo kama hatutaki kubadili thamani ya 5/6, 00:04:16.240 --> 00:04:18.281 tunazidisha kiasi na asili 00:04:18.281 --> 00:04:19.190 kuwa namba ile ile.. 00:04:19.190 --> 00:04:22.190 Hebu tuzidishe kiasi mara 4. 00:04:22.190 --> 00:04:24.610 5 mara 4 ni 20. 00:04:24.610 --> 00:04:26.820 5/6 ni sawa na 20/24. 00:04:26.820 --> 00:04:27.700 Tumemaliza. 00:04:27.700 --> 00:04:31.902 Tumeandika 2/8 kama 6/24 na tumeandika 5/6 kama 20/24. 00:04:31.902 --> 00:04:34.110 Kama tukitaka kuzijumlisha, tunajumlisha 00:04:34.110 --> 00:04:36.849 6/24 na 20/24. 00:04:36.849 --> 00:04:38.390 Nitaishia hapa kwa sababu hatujaambiwa 00:04:38.390 --> 00:04:41.140 kufanya hivyo.