Pentecost // UnitedPrayerWorks.com
-
0:02 - 0:04Ilikuwa kipindi cha pasaka, na tulikuwa
-
0:04 - 0:06katika chumba cha juu Yerusalemu.
-
0:06 - 0:08Tulikuwa tunasali
kwa pamoja. -
0:08 - 0:11Tulikuwa tunasali kwa majuto makubwa
na unyenyekevu, -
0:11 - 0:14na tulikuwa tunatubu dhambi zetu.
-
0:14 - 0:16Tulikuwa tunatafuta
maono ya Bwana, -
0:16 - 0:18nguvu, na Roho Mtakatifu.
-
0:18 - 0:21Kulikuwa na hisia za nguvu
ya umoja -
0:21 - 0:23wakati tukisali pamoja kwa bidii.
-
0:29 - 0:32Ghfla kulikuwa na sauti ya upepo mkali
-
0:32 - 0:35iliyojaa chumba kizima
tulipokaa. -
0:37 - 0:42Kisha ndimi za moto zilishuka chini
na huu moto ukakaa kwa watu. -
0:45 - 0:49Watu wote kwenye chumba
walijazwa na Roho Mtakatifu. -
0:49 - 0:51Sasa, kumbuka kwamba
katika kipindi cha pasaka -
0:51 - 0:54watu walitoka nchi tofauti
kuabudu, -
0:54 - 0:58na sasa, ghafla walisikia
injili katika lugha zao. -
0:58 - 1:01Matokeo ya hii,
watu 3,000 waliongezwa -
1:01 - 1:04kwenye waamini ndani ya siku moja.
-
1:08 - 1:11Watu walijitoa
-
1:11 - 1:13kwa mafundisho ya mtume
na urafiki- -
1:13 - 1:16kuvunja mkate
na kwa sala. -
1:16 - 1:19Kila siku walikutana pamoja
katika mahakama ya hekalu. -
1:19 - 1:21Majumbani kwao, walikata mkate
na kula pamoja, -
1:21 - 1:25na namba ya waliookolewa
iliongezeka kila siku.
- Title:
- Pentecost // UnitedPrayerWorks.com
- Description:
-
Suddenly there was the sound of a violent wind that filled the whole room where we were sitting. www.unitedprayerworks.com
- Video Language:
- English
- Team:
Team Adventist
- Project:
- Artv
- Duration:
- 01:30
![]() |
Cindy Hurlow approved Swahili subtitles for Pentecost // UnitedPrayerWorks.com | |
![]() |
Gloria Ndegwa accepted Swahili subtitles for Pentecost // UnitedPrayerWorks.com | |
![]() |
Fran Ontanaya edited Swahili subtitles for Pentecost // UnitedPrayerWorks.com | |
![]() |
Fran Ontanaya edited Swahili subtitles for Pentecost // UnitedPrayerWorks.com |