0:00:02.000,0:00:04.000 Ilikuwa kipindi cha pasaka, na tulikuwa 0:00:04.000,0:00:06.000 katika chumba cha juu Yerusalemu. 0:00:06.000,0:00:08.060 Tulikuwa tunasali[br]kwa pamoja. 0:00:08.060,0:00:11.410 Tulikuwa tunasali kwa majuto makubwa[br]na unyenyekevu, 0:00:11.410,0:00:13.720 na tulikuwa tunatubu dhambi zetu. 0:00:13.720,0:00:16.340 Tulikuwa tunatafuta[br]maono ya Bwana, 0:00:16.340,0:00:18.490 nguvu, na Roho Mtakatifu. 0:00:18.490,0:00:20.930 Kulikuwa na hisia za nguvu[br]ya umoja 0:00:20.930,0:00:22.950 wakati tukisali pamoja kwa bidii. 0:00:29.040,0:00:32.450 Ghfla kulikuwa na sauti ya upepo mkali 0:00:32.450,0:00:34.530 iliyojaa chumba kizima[br]tulipokaa. 0:00:37.250,0:00:42.100 Kisha ndimi za moto zilishuka chini[br]na huu moto ukakaa kwa watu. 0:00:45.140,0:00:48.590 Watu wote kwenye chumba[br]walijazwa na Roho Mtakatifu. 0:00:48.590,0:00:51.330 Sasa, kumbuka kwamba[br]katika kipindi cha pasaka 0:00:51.330,0:00:54.070 watu walitoka nchi tofauti[br]kuabudu, 0:00:54.070,0:00:58.130 na sasa, ghafla walisikia[br]injili katika lugha zao. 0:00:58.130,0:01:01.460 Matokeo ya hii,[br]watu 3,000 waliongezwa 0:01:01.460,0:01:03.600 kwenye waamini ndani ya siku moja. 0:01:07.700,0:01:10.860 Watu walijitoa 0:01:10.860,0:01:13.470 kwa mafundisho ya mtume[br]na urafiki- 0:01:13.470,0:01:15.710 kuvunja mkate[br]na kwa sala. 0:01:15.710,0:01:18.780 Kila siku walikutana pamoja[br]katika mahakama ya hekalu. 0:01:18.780,0:01:21.470 Majumbani kwao, walikata mkate[br]na kula pamoja, 0:01:21.470,0:01:24.660 na namba ya waliookolewa[br]iliongezeka kila siku.