[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:02.00,0:00:04.00,Default,,0000,0000,0000,,Ilikuwa kipindi cha pasaka, na tulikuwa Dialogue: 0,0:00:04.00,0:00:06.00,Default,,0000,0000,0000,,katika chumba cha juu Yerusalemu. Dialogue: 0,0:00:06.00,0:00:08.06,Default,,0000,0000,0000,,Tulikuwa tunasali\Nkwa pamoja. Dialogue: 0,0:00:08.06,0:00:11.41,Default,,0000,0000,0000,,Tulikuwa tunasali kwa majuto makubwa\Nna unyenyekevu, Dialogue: 0,0:00:11.41,0:00:13.72,Default,,0000,0000,0000,,na tulikuwa tunatubu dhambi zetu. Dialogue: 0,0:00:13.72,0:00:16.34,Default,,0000,0000,0000,,Tulikuwa tunatafuta\Nmaono ya Bwana, Dialogue: 0,0:00:16.34,0:00:18.49,Default,,0000,0000,0000,,nguvu, na Roho Mtakatifu. Dialogue: 0,0:00:18.49,0:00:20.93,Default,,0000,0000,0000,,Kulikuwa na hisia za nguvu\Nya umoja Dialogue: 0,0:00:20.93,0:00:22.95,Default,,0000,0000,0000,,wakati tukisali pamoja kwa bidii. Dialogue: 0,0:00:29.04,0:00:32.45,Default,,0000,0000,0000,,Ghfla kulikuwa na sauti ya upepo mkali Dialogue: 0,0:00:32.45,0:00:34.53,Default,,0000,0000,0000,,iliyojaa chumba kizima\Ntulipokaa. Dialogue: 0,0:00:37.25,0:00:42.10,Default,,0000,0000,0000,,Kisha ndimi za moto zilishuka chini\Nna huu moto ukakaa kwa watu. Dialogue: 0,0:00:45.14,0:00:48.59,Default,,0000,0000,0000,,Watu wote kwenye chumba\Nwalijazwa na Roho Mtakatifu. Dialogue: 0,0:00:48.59,0:00:51.33,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, kumbuka kwamba\Nkatika kipindi cha pasaka Dialogue: 0,0:00:51.33,0:00:54.07,Default,,0000,0000,0000,,watu walitoka nchi tofauti\Nkuabudu, Dialogue: 0,0:00:54.07,0:00:58.13,Default,,0000,0000,0000,,na sasa, ghafla walisikia\Ninjili katika lugha zao. Dialogue: 0,0:00:58.13,0:01:01.46,Default,,0000,0000,0000,,Matokeo ya hii,\Nwatu 3,000 waliongezwa Dialogue: 0,0:01:01.46,0:01:03.60,Default,,0000,0000,0000,,kwenye waamini ndani ya siku moja. Dialogue: 0,0:01:07.70,0:01:10.86,Default,,0000,0000,0000,,Watu walijitoa Dialogue: 0,0:01:10.86,0:01:13.47,Default,,0000,0000,0000,,kwa mafundisho ya mtume\Nna urafiki- Dialogue: 0,0:01:13.47,0:01:15.71,Default,,0000,0000,0000,,kuvunja mkate\Nna kwa sala. Dialogue: 0,0:01:15.71,0:01:18.78,Default,,0000,0000,0000,,Kila siku walikutana pamoja\Nkatika mahakama ya hekalu. Dialogue: 0,0:01:18.78,0:01:21.47,Default,,0000,0000,0000,,Majumbani kwao, walikata mkate\Nna kula pamoja, Dialogue: 0,0:01:21.47,0:01:24.66,Default,,0000,0000,0000,,na namba ya waliookolewa\Niliongezeka kila siku.