< Return to Video

Pentecost // UnitedPrayerWorks.com

  • 0:02 - 0:04
    Ilikuwa kipindi cha pasaka, na tulikuwa
  • 0:04 - 0:06
    katika chumba cha juu Yerusalemu.
  • 0:06 - 0:08
    Tulikuwa tunasali
    kwa pamoja.
  • 0:08 - 0:11
    Tulikuwa tunasali kwa majuto makubwa
    na unyenyekevu,
  • 0:11 - 0:14
    na tulikuwa tunatubu dhambi zetu.
  • 0:14 - 0:16
    Tulikuwa tunatafuta
    maono ya Bwana,
  • 0:16 - 0:18
    nguvu, na Roho Mtakatifu.
  • 0:18 - 0:21
    Kulikuwa na hisia za nguvu
    ya umoja
  • 0:21 - 0:23
    wakati tukisali pamoja kwa bidii.
  • 0:29 - 0:32
    Ghfla kulikuwa na sauti ya upepo mkali
  • 0:32 - 0:35
    iliyojaa chumba kizima
    tulipokaa.
  • 0:37 - 0:42
    Kisha ndimi za moto zilishuka chini
    na huu moto ukakaa kwa watu.
  • 0:45 - 0:49
    Watu wote kwenye chumba
    walijazwa na Roho Mtakatifu.
  • 0:49 - 0:51
    Sasa, kumbuka kwamba
    katika kipindi cha pasaka
  • 0:51 - 0:54
    watu walitoka nchi tofauti
    kuabudu,
  • 0:54 - 0:58
    na sasa, ghafla walisikia
    injili katika lugha zao.
  • 0:58 - 1:01
    Matokeo ya hii,
    watu 3,000 waliongezwa
  • 1:01 - 1:04
    kwenye waamini ndani ya siku moja.
  • 1:08 - 1:11
    Watu walijitoa
  • 1:11 - 1:13
    kwa mafundisho ya mtume
    na urafiki-
  • 1:13 - 1:16
    kuvunja mkate
    na kwa sala.
  • 1:16 - 1:19
    Kila siku walikutana pamoja
    katika mahakama ya hekalu.
  • 1:19 - 1:21
    Majumbani kwao, walikata mkate
    na kula pamoja,
  • 1:21 - 1:25
    na namba ya waliookolewa
    iliongezeka kila siku.
Title:
Pentecost // UnitedPrayerWorks.com
Description:

Suddenly there was the sound of a violent wind that filled the whole room where we were sitting. www.unitedprayerworks.com

more » « less
Video Language:
English
Team:
Team Adventist
Project:
Artv
Duration:
01:30
Cindy Hurlow approved Swahili subtitles for Pentecost // UnitedPrayerWorks.com
Gloria Ndegwa accepted Swahili subtitles for Pentecost // UnitedPrayerWorks.com
Fran Ontanaya edited Swahili subtitles for Pentecost // UnitedPrayerWorks.com
Fran Ontanaya edited Swahili subtitles for Pentecost // UnitedPrayerWorks.com

Swahili subtitles

Revisions