-
-
Tafuta thamani ya 3 kwenye namba 4, 356.
-
Ninapofikiria thamani ya namba
-
fanya mazoezi mengi ili iwe kawaida kwako
-
Ila ninapoona swali kama hili
-
ninapenda kuirefusha ili tujue ina maana gani, nitaiandika tena
-
namba .
-
Kama ningetakiwa kuliiandika tena--ningetumia
-
rangi tofauti.
-
kwa hiyo 4, 356 ni sawa na --fikiria
-
nilichosema.
-
ni sawa na 4,000 jumlisha 300 jumlisha 50 jumlisha 6.
-
Na ungeisoma hivi kama nilivyosema
-
elfu nne, mia tatu, na hamsini na sita.
-
Njia nyingine ni sawa na kusema
-
hii ni elfu 4 jumlisha
-
mia 3 jumlisha 50,
-
makumi matano jumlisha 6.
-
Na badala ya 6, ungesema jumlisha mamoja 6.
-
-
Tukirudi kwenye swali letu hii 4,356 ni
-
sawa na 4--nitaiandika hapa chini.
-
Nitaiandika kama hivi.
-
Hii ni sawa na elfu 4, mia 3, makumi 5
-
na mamoja 6.
-
Hivyo ukiulizwa thamani ya 3 kwenye 4, 356,
-
tunashughulika na 3 hapa,
-
na thamani yake.
-
Iko kwenye sehemu ya mamia.
-
Kama kuna 4 hapa, tungesema tutashughulika na
-
mamia 4.
-
kama ni 5, mamia 5.
-
ni ya tatu kutoka kulia.
-
Hii ni sehemu ya mamoja.
-
Hii ni mamoja 6, makumi 5, mamia 3.
-
Hivyo hapa jibu ni sehemu ya mamia.
-