0:00:00.000,0:00:00.630 0:00:00.630,0:00:06.730 Tafuta thamani ya 3 kwenye namba 4, 356. 0:00:06.730,0:00:09.190 Ninapofikiria thamani ya namba 0:00:09.190,0:00:11.720 fanya mazoezi mengi ili iwe kawaida kwako 0:00:11.720,0:00:14.600 Ila ninapoona swali kama hili 0:00:14.600,0:00:20.320 ninapenda kuirefusha ili tujue ina maana gani, nitaiandika tena 0:00:20.320,0:00:20.880 namba . 0:00:20.880,0:00:21.940 Kama ningetakiwa kuliiandika tena--ningetumia 0:00:21.940,0:00:23.210 rangi tofauti. 0:00:23.210,0:00:33.420 kwa hiyo 4, 356 ni sawa na --fikiria 0:00:33.420,0:00:34.360 nilichosema. 0:00:34.360,0:00:48.190 ni sawa na 4,000 jumlisha 300 jumlisha 50 jumlisha 6. 0:00:48.190,0:00:50.600 Na ungeisoma hivi kama nilivyosema 0:00:50.600,0:00:54.810 elfu nne, mia tatu, na hamsini na sita. 0:00:54.810,0:00:58.060 Njia nyingine ni sawa na kusema 0:00:58.060,0:01:07.520 hii ni elfu 4 jumlisha 0:01:07.520,0:01:16.880 mia 3 jumlisha 50, 0:01:16.880,0:01:22.040 makumi matano jumlisha 6. 0:01:22.040,0:01:24.420 Na badala ya 6, ungesema jumlisha mamoja 6. 0:01:24.420,0:01:27.570 0:01:27.570,0:01:32.620 Tukirudi kwenye swali letu hii 4,356 ni 0:01:32.620,0:01:36.440 sawa na 4--nitaiandika hapa chini. 0:01:36.440,0:01:39.230 Nitaiandika kama hivi. 0:01:39.230,0:01:51.020 Hii ni sawa na elfu 4, mia 3, makumi 5 0:01:51.020,0:01:53.670 na mamoja 6. 0:01:53.670,0:01:59.820 Hivyo ukiulizwa thamani ya 3 kwenye 4, 356, 0:01:59.820,0:02:02.120 tunashughulika na 3 hapa, 0:02:02.120,0:02:03.260 na thamani yake. 0:02:03.260,0:02:05.090 Iko kwenye sehemu ya mamia. 0:02:05.090,0:02:06.970 Kama kuna 4 hapa, tungesema tutashughulika na 0:02:06.970,0:02:07.850 mamia 4. 0:02:07.850,0:02:09.850 kama ni 5, mamia 5. 0:02:09.850,0:02:12.260 ni ya tatu kutoka kulia. 0:02:12.260,0:02:13.410 Hii ni sehemu ya mamoja. 0:02:13.410,0:02:16.500 Hii ni mamoja 6, makumi 5, mamia 3. 0:02:16.500,0:02:20.190 Hivyo hapa jibu ni sehemu ya mamia. 0:02:20.190,0:02:24.534