1 00:00:00,000 --> 00:00:00,630 2 00:00:00,630 --> 00:00:06,730 Tafuta thamani ya 3 kwenye namba 4, 356. 3 00:00:06,730 --> 00:00:09,190 Ninapofikiria thamani ya namba 4 00:00:09,190 --> 00:00:11,720 fanya mazoezi mengi ili iwe kawaida kwako 5 00:00:11,720 --> 00:00:14,600 Ila ninapoona swali kama hili 6 00:00:14,600 --> 00:00:20,320 ninapenda kuirefusha ili tujue ina maana gani, nitaiandika tena 7 00:00:20,320 --> 00:00:20,880 namba . 8 00:00:20,880 --> 00:00:21,940 Kama ningetakiwa kuliiandika tena--ningetumia 9 00:00:21,940 --> 00:00:23,210 rangi tofauti. 10 00:00:23,210 --> 00:00:33,420 kwa hiyo 4, 356 ni sawa na --fikiria 11 00:00:33,420 --> 00:00:34,360 nilichosema. 12 00:00:34,360 --> 00:00:48,190 ni sawa na 4,000 jumlisha 300 jumlisha 50 jumlisha 6. 13 00:00:48,190 --> 00:00:50,600 Na ungeisoma hivi kama nilivyosema 14 00:00:50,600 --> 00:00:54,810 elfu nne, mia tatu, na hamsini na sita. 15 00:00:54,810 --> 00:00:58,060 Njia nyingine ni sawa na kusema 16 00:00:58,060 --> 00:01:07,520 hii ni elfu 4 jumlisha 17 00:01:07,520 --> 00:01:16,880 mia 3 jumlisha 50, 18 00:01:16,880 --> 00:01:22,040 makumi matano jumlisha 6. 19 00:01:22,040 --> 00:01:24,420 Na badala ya 6, ungesema jumlisha mamoja 6. 20 00:01:24,420 --> 00:01:27,570 21 00:01:27,570 --> 00:01:32,620 Tukirudi kwenye swali letu hii 4,356 ni 22 00:01:32,620 --> 00:01:36,440 sawa na 4--nitaiandika hapa chini. 23 00:01:36,440 --> 00:01:39,230 Nitaiandika kama hivi. 24 00:01:39,230 --> 00:01:51,020 Hii ni sawa na elfu 4, mia 3, makumi 5 25 00:01:51,020 --> 00:01:53,670 na mamoja 6. 26 00:01:53,670 --> 00:01:59,820 Hivyo ukiulizwa thamani ya 3 kwenye 4, 356, 27 00:01:59,820 --> 00:02:02,120 tunashughulika na 3 hapa, 28 00:02:02,120 --> 00:02:03,260 na thamani yake. 29 00:02:03,260 --> 00:02:05,090 Iko kwenye sehemu ya mamia. 30 00:02:05,090 --> 00:02:06,970 Kama kuna 4 hapa, tungesema tutashughulika na 31 00:02:06,970 --> 00:02:07,850 mamia 4. 32 00:02:07,850 --> 00:02:09,850 kama ni 5, mamia 5. 33 00:02:09,850 --> 00:02:12,260 ni ya tatu kutoka kulia. 34 00:02:12,260 --> 00:02:13,410 Hii ni sehemu ya mamoja. 35 00:02:13,410 --> 00:02:16,500 Hii ni mamoja 6, makumi 5, mamia 3. 36 00:02:16,500 --> 00:02:20,190 Hivyo hapa jibu ni sehemu ya mamia. 37 00:02:20,190 --> 00:02:24,534