[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:00.63,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:00:00.63,0:00:06.73,Default,,0000,0000,0000,,Tafuta thamani ya 3 kwenye namba 4, 356. Dialogue: 0,0:00:06.73,0:00:09.19,Default,,0000,0000,0000,,Ninapofikiria thamani ya namba Dialogue: 0,0:00:09.19,0:00:11.72,Default,,0000,0000,0000,,fanya mazoezi mengi ili iwe kawaida kwako Dialogue: 0,0:00:11.72,0:00:14.60,Default,,0000,0000,0000,,Ila ninapoona swali kama hili Dialogue: 0,0:00:14.60,0:00:20.32,Default,,0000,0000,0000,,ninapenda kuirefusha ili tujue ina maana gani, nitaiandika tena Dialogue: 0,0:00:20.32,0:00:20.88,Default,,0000,0000,0000,,namba . Dialogue: 0,0:00:20.88,0:00:21.94,Default,,0000,0000,0000,,Kama ningetakiwa kuliiandika tena--ningetumia Dialogue: 0,0:00:21.94,0:00:23.21,Default,,0000,0000,0000,,rangi tofauti. Dialogue: 0,0:00:23.21,0:00:33.42,Default,,0000,0000,0000,,kwa hiyo 4, 356 ni sawa na --fikiria Dialogue: 0,0:00:33.42,0:00:34.36,Default,,0000,0000,0000,,nilichosema. Dialogue: 0,0:00:34.36,0:00:48.19,Default,,0000,0000,0000,,ni sawa na 4,000 jumlisha 300 jumlisha 50 jumlisha 6. Dialogue: 0,0:00:48.19,0:00:50.60,Default,,0000,0000,0000,,Na ungeisoma hivi kama nilivyosema Dialogue: 0,0:00:50.60,0:00:54.81,Default,,0000,0000,0000,,elfu nne, mia tatu, na hamsini na sita. Dialogue: 0,0:00:54.81,0:00:58.06,Default,,0000,0000,0000,,Njia nyingine ni sawa na kusema Dialogue: 0,0:00:58.06,0:01:07.52,Default,,0000,0000,0000,,hii ni elfu 4 jumlisha Dialogue: 0,0:01:07.52,0:01:16.88,Default,,0000,0000,0000,,mia 3 jumlisha 50, Dialogue: 0,0:01:16.88,0:01:22.04,Default,,0000,0000,0000,,makumi matano jumlisha 6. Dialogue: 0,0:01:22.04,0:01:24.42,Default,,0000,0000,0000,,Na badala ya 6, ungesema jumlisha mamoja 6. Dialogue: 0,0:01:24.42,0:01:27.57,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:01:27.57,0:01:32.62,Default,,0000,0000,0000,,Tukirudi kwenye swali letu hii 4,356 ni Dialogue: 0,0:01:32.62,0:01:36.44,Default,,0000,0000,0000,,sawa na 4--nitaiandika hapa chini. Dialogue: 0,0:01:36.44,0:01:39.23,Default,,0000,0000,0000,,Nitaiandika kama hivi. Dialogue: 0,0:01:39.23,0:01:51.02,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni sawa na elfu 4, mia 3, makumi 5 Dialogue: 0,0:01:51.02,0:01:53.67,Default,,0000,0000,0000,,na mamoja 6. Dialogue: 0,0:01:53.67,0:01:59.82,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo ukiulizwa thamani ya 3 kwenye 4, 356, Dialogue: 0,0:01:59.82,0:02:02.12,Default,,0000,0000,0000,,tunashughulika na 3 hapa, Dialogue: 0,0:02:02.12,0:02:03.26,Default,,0000,0000,0000,,na thamani yake. Dialogue: 0,0:02:03.26,0:02:05.09,Default,,0000,0000,0000,,Iko kwenye sehemu ya mamia. Dialogue: 0,0:02:05.09,0:02:06.97,Default,,0000,0000,0000,,Kama kuna 4 hapa, tungesema tutashughulika na Dialogue: 0,0:02:06.97,0:02:07.85,Default,,0000,0000,0000,,mamia 4. Dialogue: 0,0:02:07.85,0:02:09.85,Default,,0000,0000,0000,,kama ni 5, mamia 5. Dialogue: 0,0:02:09.85,0:02:12.26,Default,,0000,0000,0000,,ni ya tatu kutoka kulia. Dialogue: 0,0:02:12.26,0:02:13.41,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni sehemu ya mamoja. Dialogue: 0,0:02:13.41,0:02:16.50,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni mamoja 6, makumi 5, mamia 3. Dialogue: 0,0:02:16.50,0:02:20.19,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo hapa jibu ni sehemu ya mamia. Dialogue: 0,0:02:20.19,0:02:24.53,Default,,0000,0000,0000,,