< Return to Video

ONYO: Kabla ya kutazama ponografia, zingatia hili...

  • 0:00 - 0:05
    Unapotazama ponografia,
  • 0:05 - 0:15
    unamshushia hadhi mtu aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu.
  • 0:15 - 0:20
    binti wa mtu, mtoto wa mtu -
  • 0:20 - 0:29
    unashusha utu wa mtu kuwa kama kitu kwa raha yako binafsi,
  • 0:29 - 0:36
    kwa starehe yako ya muda mfupi.
  • 0:36 - 0:53
    Na kile unachokiona kama burudani ni mtego.
  • 0:53 - 1:00
    Kwa sababu jaribio lolote la kukidhi tamaa huizidisha tu.
Title:
ONYO: Kabla ya kutazama ponografia, zingatia hili...
Description:

Je, unajaribiwa kutazama ponografia? Zingatia ukweli huu na ufikirie mara mbili kabla ya kulifanyia kazi jaribu hilo...

"Unapotazama ponografia, unamshushia hadhi mtu aliyeumbwa kwa sura ya Mungu - binti wa mtu, mtoto wa mtu - unashusha utu wa mtu kuwa kama kitu kwa raha zako binafsi, kwa starehe yako ya muda mfupi tu. Na kile unachokiona kuwa burudani kiuhalisia ni mtego. kwa sababu jaribio lolote la kukidhi tamaa huzidisha tu." - Ndugu Chris

Unaweza kutazama mahubiri kamili hapa - https://www.youtube.com/watch?v=RMMASDuT9rM

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
01:00

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions