Unapotazama ponografia, unamshushia hadhi mtu aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu. binti wa mtu, mtoto wa mtu - unashusha utu wa mtu kuwa kama kitu kwa raha yako binafsi, kwa starehe yako ya muda mfupi. Na kile unachokiona kama burudani ni mtego. Kwa sababu jaribio lolote la kukidhi tamaa huizidisha tu.