< Return to Video

ONYO: Kabla ya kutazama ponografia, zingatia hili...

  • 0:00 - 0:05
    Unapotazama ponografia,
  • 0:05 - 0:15
    unamshushia hadhi mtu aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu.
  • 0:15 - 0:20
    binti wa mtu, mtoto wa mtu -
  • 0:20 - 0:29
    unadhalilisha mtu kwa kitu kwa raha yako binafsi,
  • 0:29 - 0:36
    kwa starehe yako ya muda mfupi.
  • 0:36 - 0:53
    Na kile unachokiona kama burudani ni mtego.
  • 0:53 - 1:00
    Kwa sababu jaribio lolote la kukidhi tamaa huzidisha tu.
Title:
ONYO: Kabla ya kutazama ponografia, zingatia hili...
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
01:00

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions