0:00:00.000,0:00:05.320 Unapotazama ponografia, 0:00:05.320,0:00:14.920 unamshushia hadhi mtu aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu. 0:00:14.920,0:00:19.840 binti wa mtu, mtoto wa mtu - 0:00:19.840,0:00:29.400 unashusha utu wa mtu kuwa kama kitu kwa raha yako binafsi, 0:00:29.400,0:00:36.080 kwa starehe yako ya muda mfupi. 0:00:36.080,0:00:52.560 Na kile unachokiona kama burudani ni mtego. 0:00:52.560,0:00:59.960 Kwa sababu jaribio lolote la kukidhi tamaa huizidisha tu.