-
-
Hapa, tuna tuna umbo la pande nne,
-
au pembenne, ambapo pande mbili
-
ni sambamba.
-
Na kwa hiyo hii ni trapeza.
-
-
Na tunachotaka kufanya ni, kupitia vipimo
-
tulivyopewa, tutafute eneo la trapeza.
-
Kwa hebu tufikiri.
-
Tutapata nini kama tukizidisha hichi kitako kirefu
-
6 mara urefu 3?
-
Kwa hiyo utapata nini ukizidisha 6 mara 3?
-
Tutapata eneo la mstatili ambalo
-
ni hatua 6 upana na kimo ni hatua 3.
-
Kwa hiyo hiyo itatupa eneo la umbo ambalo
-
litaonekana kama-- hebu nichore kwa rangi ya pinki.
-
Eneo la umbo ambalo linaonekana kama hivi litakuwa 6 mara 3.
-
Kwa hiyo litatupa eneo lote pale.
-
Sasa, trapeza ni ndogo kuliko hiyo
-
lakini hebu tufanye kwa majaribio.
-
Sasa nini kitatokea tukichukua 2 mara 3?
-
Tutakuwa tunatafuta eneo la mstatili ambalo
-
lina upana wa 2 na urefu wa 3.
-
Kwa hiyo unaweza kuchukulia kwamba huo ni huu mstatili hapa.
-
Huu mstatili hapa.
-
Kwa hiyo huo ni mstatili wa 2 mara 3.
-
Sasa inaonekana kama eneo la trapeza
-
linatakiwa liwe kati ya namba hizi mbili.
-
Labda inaweza kuwa nusu yake
-
kwa sababu ukiangalia eneo tofauti kati ya mistatili
-
miwili -- na ngoja nitumie rangi.
-
Kwa hiyo hii ni tofauti ya eneo upande wa kushoto.
-
Na hii ni tofauti ya eneo upande wa kulia.
-
Na tukiweka msisitizo kwenye trapeza,
-
kama tukianzia kwenye huu mstatili mdogo wa njano,
-
inachukua nusu ya eneo, nusu
-
ya tofauti kati ya mstatili mdogo
-
na mkubwa upande wa kushoto.
-
Tunapata nusu ya eneo upande wa kushoto.
-
Na tunapata nusu ya tofauti kati ya mstatili mdogo
-
na mkubwa upande wa kulia.
-
Kwa hiyo inaleta maana kwamba eneo
-
la trapeza, hili eneo lote hapa,
-
inatakiwa iwe wastani.
-
Inatakiwa iwe nusu kati ya maeneo ya
-
mstatili mdogo na mstatili mkubwa.
-
Kwa hiyo hebu tuchukue wastani wa hizo namba mbili.
-
Itakwenda kuwa 6 mara 3 jumlisha 2 mara 3, yote hiyo juu ya 2.
-
Kwa hiyo ukifikiria kuhusu eneo la trapeza,
-
unaangalia vitako viwili, kitako kirefu na kitako kifupi.
-
-
Zidisha kila ya hicho mara urefu, na halafu
-
unaweza kuchukua wastani wake.
-
Au unaweza kuifikiria kama hii
-
ni kitu kile kile kama 6 jumlisha 2.
-
Na ninatoa nje 3 hapa.
-
6 jumlisha 2 mara 3, na halafu yote hiyo juu ya 2,
-
ambayo ni kitu kile kile kama-- na
-
ninaiandika katika njia tofauti.
-
Hizi ni njia tofauti za kuifikiria --
-
6 jumlisha 2 juu ya 2, na halau hiyo juu ya 3.
-
Kwa hiyo unaweza kuiona kama wastani
-
wa pembetatu ndogo na kubwa
-
Kwa hiyo zidisha kila ya hichi kitako mara urefu
-
na halfu chukua wastani.
-
Unaweza kuiona kama-- ngoja tujumlishe urefu wa
-
vitako viwili, zidisha kwa kimo, na halafu gawanya kwa 2
-
Au unaweza kusema, hebu tuchukue wastani wa urefu
-
vitako viwili na zidisha kwa 3,
-
N ahiyo inakupa njia nyingine ya kuvutia
-
ya kufikiria kuhusu hili.
-
Ukichukua wastani wa` urefu wa mistari hii miwili, 6 jumlisha 2 juu ya 2
-
ni 4.
-
Kwa hiyo huo utakuwa ni upana ambao unaonekana kitu
-
kama hiki.
-
Upana wa 4 utaonekana kitu kama hiki.
-
Upana wa 4 uanonekana kitu kama hicho,
-
na unazidisha hicho kwa kimo.
-
Huo utakuwa mstatili kama huu ambao ni
-
nusu kati ya maeneo ya mstatili
-
mdogo na mkubwa.
-
Kwa hiyo hizi zote ni sawa sawa.
-
Sasa hebu tukokotoe.
-
Kwa hiyo tunaweza kufanya lolote kati ya haya.
-
6 mara 3 ni 18.
-
Hii ni 18 jumlisha 6, juu ya 2.
-
Hiyo ni 24/2, au 12.
-
Ungeweza pia kufanya kwa njia hii.
-
6 jumlisha 2 ni 8, mara 3 ni 24, gawanya kwa 2 ni 12.
-
6 jumlisha 2 gawanya kwa 2 ni 4 mara 3 ni 12.
-
Kwa njia yoyote, eneo la trapeza ni hatua za mara 12.