WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:00.830 00:00:00.830 --> 00:00:03.240 Hapa, tuna tuna umbo la pande nne, 00:00:03.240 --> 00:00:06.530 au pembenne, ambapo pande mbili 00:00:06.530 --> 00:00:08.520 ni sambamba. 00:00:08.520 --> 00:00:10.636 Na kwa hiyo hii ni trapeza. 00:00:10.636 --> 00:00:14.530 00:00:14.530 --> 00:00:16.570 Na tunachotaka kufanya ni, kupitia vipimo 00:00:16.570 --> 00:00:20.630 tulivyopewa, tutafute eneo la trapeza. 00:00:20.630 --> 00:00:22.660 Kwa hebu tufikiri. 00:00:22.660 --> 00:00:26.250 Tutapata nini kama tukizidisha hichi kitako kirefu 00:00:26.250 --> 00:00:28.670 6 mara urefu 3? 00:00:28.670 --> 00:00:33.750 Kwa hiyo utapata nini ukizidisha 6 mara 3? 00:00:33.750 --> 00:00:35.900 Tutapata eneo la mstatili ambalo 00:00:35.900 --> 00:00:39.790 ni hatua 6 upana na kimo ni hatua 3. 00:00:39.790 --> 00:00:42.530 Kwa hiyo hiyo itatupa eneo la umbo ambalo 00:00:42.530 --> 00:00:44.980 litaonekana kama-- hebu nichore kwa rangi ya pinki. 00:00:44.980 --> 00:00:49.940 Eneo la umbo ambalo linaonekana kama hivi litakuwa 6 mara 3. 00:00:49.940 --> 00:00:53.790 Kwa hiyo litatupa eneo lote pale. 00:00:53.790 --> 00:00:55.760 Sasa, trapeza ni ndogo kuliko hiyo 00:00:55.760 --> 00:00:58.770 lakini hebu tufanye kwa majaribio. 00:00:58.770 --> 00:01:04.980 Sasa nini kitatokea tukichukua 2 mara 3? 00:01:04.980 --> 00:01:07.910 Tutakuwa tunatafuta eneo la mstatili ambalo 00:01:07.910 --> 00:01:10.260 lina upana wa 2 na urefu wa 3. 00:01:10.260 --> 00:01:14.810 Kwa hiyo unaweza kuchukulia kwamba huo ni huu mstatili hapa. 00:01:14.810 --> 00:01:18.240 Huu mstatili hapa. 00:01:18.240 --> 00:01:22.130 Kwa hiyo huo ni mstatili wa 2 mara 3. 00:01:22.130 --> 00:01:26.160 Sasa inaonekana kama eneo la trapeza 00:01:26.160 --> 00:01:28.910 linatakiwa liwe kati ya namba hizi mbili. 00:01:28.910 --> 00:01:32.490 Labda inaweza kuwa nusu yake 00:01:32.490 --> 00:01:36.050 kwa sababu ukiangalia eneo tofauti kati ya mistatili 00:01:36.050 --> 00:01:39.240 miwili -- na ngoja nitumie rangi. 00:01:39.240 --> 00:01:43.030 Kwa hiyo hii ni tofauti ya eneo upande wa kushoto. 00:01:43.030 --> 00:01:48.980 Na hii ni tofauti ya eneo upande wa kulia. 00:01:48.980 --> 00:01:51.090 Na tukiweka msisitizo kwenye trapeza, 00:01:51.090 --> 00:01:56.480 kama tukianzia kwenye huu mstatili mdogo wa njano, 00:01:56.480 --> 00:01:59.610 inachukua nusu ya eneo, nusu 00:01:59.610 --> 00:02:03.030 ya tofauti kati ya mstatili mdogo 00:02:03.030 --> 00:02:05.240 na mkubwa upande wa kushoto. 00:02:05.240 --> 00:02:07.920 Tunapata nusu ya eneo upande wa kushoto. 00:02:07.920 --> 00:02:10.050 Na tunapata nusu ya tofauti kati ya mstatili mdogo 00:02:10.050 --> 00:02:12.290 na mkubwa upande wa kulia. 00:02:12.290 --> 00:02:17.260 Kwa hiyo inaleta maana kwamba eneo 00:02:17.260 --> 00:02:20.420 la trapeza, hili eneo lote hapa, 00:02:20.420 --> 00:02:22.310 inatakiwa iwe wastani. 00:02:22.310 --> 00:02:25.420 Inatakiwa iwe nusu kati ya maeneo ya 00:02:25.420 --> 00:02:28.172 mstatili mdogo na mstatili mkubwa. 00:02:28.172 --> 00:02:30.130 Kwa hiyo hebu tuchukue wastani wa hizo namba mbili. 00:02:30.130 --> 00:02:38.160 Itakwenda kuwa 6 mara 3 jumlisha 2 mara 3, yote hiyo juu ya 2. 00:02:38.160 --> 00:02:40.230 Kwa hiyo ukifikiria kuhusu eneo la trapeza, 00:02:40.230 --> 00:02:44.940 unaangalia vitako viwili, kitako kirefu na kitako kifupi. 00:02:44.940 --> 00:02:47.840 00:02:47.840 --> 00:02:50.410 Zidisha kila ya hicho mara urefu, na halafu 00:02:50.410 --> 00:02:51.720 unaweza kuchukua wastani wake. 00:02:51.720 --> 00:02:53.680 Au unaweza kuifikiria kama hii 00:02:53.680 --> 00:02:57.440 ni kitu kile kile kama 6 jumlisha 2. 00:02:57.440 --> 00:02:59.490 Na ninatoa nje 3 hapa. 00:02:59.490 --> 00:03:12.760 6 jumlisha 2 mara 3, na halafu yote hiyo juu ya 2, 00:03:12.760 --> 00:03:14.274 ambayo ni kitu kile kile kama-- na 00:03:14.274 --> 00:03:15.690 ninaiandika katika njia tofauti. 00:03:15.690 --> 00:03:17.690 Hizi ni njia tofauti za kuifikiria -- 00:03:17.690 --> 00:03:25.450 6 jumlisha 2 juu ya 2, na halau hiyo juu ya 3. 00:03:25.450 --> 00:03:27.820 Kwa hiyo unaweza kuiona kama wastani 00:03:27.820 --> 00:03:30.560 wa pembetatu ndogo na kubwa 00:03:30.560 --> 00:03:32.790 Kwa hiyo zidisha kila ya hichi kitako mara urefu 00:03:32.790 --> 00:03:34.180 na halfu chukua wastani. 00:03:34.180 --> 00:03:37.540 Unaweza kuiona kama-- ngoja tujumlishe urefu wa 00:03:37.540 --> 00:03:41.360 vitako viwili, zidisha kwa kimo, na halafu gawanya kwa 2 00:03:41.360 --> 00:03:43.710 Au unaweza kusema, hebu tuchukue wastani wa urefu 00:03:43.710 --> 00:03:46.481 vitako viwili na zidisha kwa 3, 00:03:46.481 --> 00:03:48.230 N ahiyo inakupa njia nyingine ya kuvutia 00:03:48.230 --> 00:03:48.980 ya kufikiria kuhusu hili. 00:03:48.980 --> 00:03:52.850 Ukichukua wastani wa` urefu wa mistari hii miwili, 6 jumlisha 2 juu ya 2 00:03:52.850 --> 00:03:54.660 ni 4. 00:03:54.660 --> 00:03:57.770 Kwa hiyo huo utakuwa ni upana ambao unaonekana kitu 00:03:57.770 --> 00:03:59.690 kama hiki. 00:03:59.690 --> 00:04:03.080 Upana wa 4 utaonekana kitu kama hiki. 00:04:03.080 --> 00:04:05.000 Upana wa 4 uanonekana kitu kama hicho, 00:04:05.000 --> 00:04:07.050 na unazidisha hicho kwa kimo. 00:04:07.050 --> 00:04:11.440 Huo utakuwa mstatili kama huu ambao ni 00:04:11.440 --> 00:04:14.190 nusu kati ya maeneo ya mstatili 00:04:14.190 --> 00:04:16.089 mdogo na mkubwa. 00:04:16.089 --> 00:04:18.420 Kwa hiyo hizi zote ni sawa sawa. 00:04:18.420 --> 00:04:20.010 Sasa hebu tukokotoe. 00:04:20.010 --> 00:04:21.176 Kwa hiyo tunaweza kufanya lolote kati ya haya. 00:04:21.176 --> 00:04:24.120 6 mara 3 ni 18. 00:04:24.120 --> 00:04:28.630 Hii ni 18 jumlisha 6, juu ya 2. 00:04:28.630 --> 00:04:31.501 Hiyo ni 24/2, au 12. 00:04:31.501 --> 00:04:32.750 Ungeweza pia kufanya kwa njia hii. 00:04:32.750 --> 00:04:38.090 6 jumlisha 2 ni 8, mara 3 ni 24, gawanya kwa 2 ni 12. 00:04:38.090 --> 00:04:42.430 6 jumlisha 2 gawanya kwa 2 ni 4 mara 3 ni 12. 00:04:42.430 --> 00:04:47.600 Kwa njia yoyote, eneo la trapeza ni hatua za mara 12.