[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:00.83,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:00:00.83,0:00:03.24,Default,,0000,0000,0000,,Hapa, tuna tuna umbo la pande nne, Dialogue: 0,0:00:03.24,0:00:06.53,Default,,0000,0000,0000,,au pembenne, ambapo pande mbili Dialogue: 0,0:00:06.53,0:00:08.52,Default,,0000,0000,0000,,ni sambamba. Dialogue: 0,0:00:08.52,0:00:10.64,Default,,0000,0000,0000,,Na kwa hiyo hii ni trapeza. Dialogue: 0,0:00:10.64,0:00:14.53,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:00:14.53,0:00:16.57,Default,,0000,0000,0000,,Na tunachotaka kufanya ni, kupitia vipimo Dialogue: 0,0:00:16.57,0:00:20.63,Default,,0000,0000,0000,,tulivyopewa, tutafute eneo la trapeza. Dialogue: 0,0:00:20.63,0:00:22.66,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hebu tufikiri. Dialogue: 0,0:00:22.66,0:00:26.25,Default,,0000,0000,0000,,Tutapata nini kama tukizidisha hichi kitako kirefu Dialogue: 0,0:00:26.25,0:00:28.67,Default,,0000,0000,0000,,6 mara urefu 3? Dialogue: 0,0:00:28.67,0:00:33.75,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo utapata nini ukizidisha 6 mara 3? Dialogue: 0,0:00:33.75,0:00:35.90,Default,,0000,0000,0000,,Tutapata eneo la mstatili ambalo Dialogue: 0,0:00:35.90,0:00:39.79,Default,,0000,0000,0000,,ni hatua 6 upana na kimo ni hatua 3. Dialogue: 0,0:00:39.79,0:00:42.53,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo hiyo itatupa eneo la umbo ambalo Dialogue: 0,0:00:42.53,0:00:44.98,Default,,0000,0000,0000,,litaonekana kama-- hebu nichore kwa rangi ya pinki. Dialogue: 0,0:00:44.98,0:00:49.94,Default,,0000,0000,0000,,Eneo la umbo ambalo linaonekana kama hivi litakuwa 6 mara 3. Dialogue: 0,0:00:49.94,0:00:53.79,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo litatupa eneo lote pale. Dialogue: 0,0:00:53.79,0:00:55.76,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, trapeza ni ndogo kuliko hiyo Dialogue: 0,0:00:55.76,0:00:58.77,Default,,0000,0000,0000,,lakini hebu tufanye kwa majaribio. Dialogue: 0,0:00:58.77,0:01:04.98,Default,,0000,0000,0000,,Sasa nini kitatokea tukichukua 2 mara 3? Dialogue: 0,0:01:04.98,0:01:07.91,Default,,0000,0000,0000,,Tutakuwa tunatafuta eneo la mstatili ambalo Dialogue: 0,0:01:07.91,0:01:10.26,Default,,0000,0000,0000,,lina upana wa 2 na urefu wa 3. Dialogue: 0,0:01:10.26,0:01:14.81,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo unaweza kuchukulia kwamba huo ni huu mstatili hapa. Dialogue: 0,0:01:14.81,0:01:18.24,Default,,0000,0000,0000,,Huu mstatili hapa. Dialogue: 0,0:01:18.24,0:01:22.13,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo huo ni mstatili wa 2 mara 3. Dialogue: 0,0:01:22.13,0:01:26.16,Default,,0000,0000,0000,,Sasa inaonekana kama eneo la trapeza Dialogue: 0,0:01:26.16,0:01:28.91,Default,,0000,0000,0000,,linatakiwa liwe kati ya namba hizi mbili. Dialogue: 0,0:01:28.91,0:01:32.49,Default,,0000,0000,0000,,Labda inaweza kuwa nusu yake Dialogue: 0,0:01:32.49,0:01:36.05,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu ukiangalia eneo tofauti kati ya mistatili Dialogue: 0,0:01:36.05,0:01:39.24,Default,,0000,0000,0000,,miwili -- na ngoja nitumie rangi. Dialogue: 0,0:01:39.24,0:01:43.03,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo hii ni tofauti ya eneo upande wa kushoto. Dialogue: 0,0:01:43.03,0:01:48.98,Default,,0000,0000,0000,,Na hii ni tofauti ya eneo upande wa kulia. Dialogue: 0,0:01:48.98,0:01:51.09,Default,,0000,0000,0000,,Na tukiweka msisitizo kwenye trapeza, Dialogue: 0,0:01:51.09,0:01:56.48,Default,,0000,0000,0000,,kama tukianzia kwenye huu mstatili mdogo wa njano, Dialogue: 0,0:01:56.48,0:01:59.61,Default,,0000,0000,0000,,inachukua nusu ya eneo, nusu Dialogue: 0,0:01:59.61,0:02:03.03,Default,,0000,0000,0000,,ya tofauti kati ya mstatili mdogo Dialogue: 0,0:02:03.03,0:02:05.24,Default,,0000,0000,0000,,na mkubwa upande wa kushoto. Dialogue: 0,0:02:05.24,0:02:07.92,Default,,0000,0000,0000,,Tunapata nusu ya eneo upande wa kushoto. Dialogue: 0,0:02:07.92,0:02:10.05,Default,,0000,0000,0000,,Na tunapata nusu ya tofauti kati ya mstatili mdogo Dialogue: 0,0:02:10.05,0:02:12.29,Default,,0000,0000,0000,,na mkubwa upande wa kulia. Dialogue: 0,0:02:12.29,0:02:17.26,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo inaleta maana kwamba eneo Dialogue: 0,0:02:17.26,0:02:20.42,Default,,0000,0000,0000,,la trapeza, hili eneo lote hapa, Dialogue: 0,0:02:20.42,0:02:22.31,Default,,0000,0000,0000,,inatakiwa iwe wastani. Dialogue: 0,0:02:22.31,0:02:25.42,Default,,0000,0000,0000,,Inatakiwa iwe nusu kati ya maeneo ya Dialogue: 0,0:02:25.42,0:02:28.17,Default,,0000,0000,0000,,mstatili mdogo na mstatili mkubwa. Dialogue: 0,0:02:28.17,0:02:30.13,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo hebu tuchukue wastani wa hizo namba mbili. Dialogue: 0,0:02:30.13,0:02:38.16,Default,,0000,0000,0000,,Itakwenda kuwa 6 mara 3 jumlisha 2 mara 3, yote hiyo juu ya 2. Dialogue: 0,0:02:38.16,0:02:40.23,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo ukifikiria kuhusu eneo la trapeza, Dialogue: 0,0:02:40.23,0:02:44.94,Default,,0000,0000,0000,,unaangalia vitako viwili, kitako kirefu na kitako kifupi. Dialogue: 0,0:02:44.94,0:02:47.84,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:02:47.84,0:02:50.41,Default,,0000,0000,0000,,Zidisha kila ya hicho mara urefu, na halafu Dialogue: 0,0:02:50.41,0:02:51.72,Default,,0000,0000,0000,,unaweza kuchukua wastani wake. Dialogue: 0,0:02:51.72,0:02:53.68,Default,,0000,0000,0000,,Au unaweza kuifikiria kama hii Dialogue: 0,0:02:53.68,0:02:57.44,Default,,0000,0000,0000,,ni kitu kile kile kama 6 jumlisha 2. Dialogue: 0,0:02:57.44,0:02:59.49,Default,,0000,0000,0000,,Na ninatoa nje 3 hapa. Dialogue: 0,0:02:59.49,0:03:12.76,Default,,0000,0000,0000,,6 jumlisha 2 mara 3, na halafu yote hiyo juu ya 2, Dialogue: 0,0:03:12.76,0:03:14.27,Default,,0000,0000,0000,,ambayo ni kitu kile kile kama-- na Dialogue: 0,0:03:14.27,0:03:15.69,Default,,0000,0000,0000,,ninaiandika katika njia tofauti. Dialogue: 0,0:03:15.69,0:03:17.69,Default,,0000,0000,0000,,Hizi ni njia tofauti za kuifikiria -- Dialogue: 0,0:03:17.69,0:03:25.45,Default,,0000,0000,0000,,6 jumlisha 2 juu ya 2, na halau hiyo juu ya 3. Dialogue: 0,0:03:25.45,0:03:27.82,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo unaweza kuiona kama wastani Dialogue: 0,0:03:27.82,0:03:30.56,Default,,0000,0000,0000,,wa pembetatu ndogo na kubwa Dialogue: 0,0:03:30.56,0:03:32.79,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo zidisha kila ya hichi kitako mara urefu Dialogue: 0,0:03:32.79,0:03:34.18,Default,,0000,0000,0000,,na halfu chukua wastani. Dialogue: 0,0:03:34.18,0:03:37.54,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza kuiona kama-- ngoja tujumlishe urefu wa Dialogue: 0,0:03:37.54,0:03:41.36,Default,,0000,0000,0000,,vitako viwili, zidisha kwa kimo, na halafu gawanya kwa 2 Dialogue: 0,0:03:41.36,0:03:43.71,Default,,0000,0000,0000,,Au unaweza kusema, hebu tuchukue wastani wa urefu Dialogue: 0,0:03:43.71,0:03:46.48,Default,,0000,0000,0000,,vitako viwili na zidisha kwa 3, Dialogue: 0,0:03:46.48,0:03:48.23,Default,,0000,0000,0000,,N ahiyo inakupa njia nyingine ya kuvutia Dialogue: 0,0:03:48.23,0:03:48.98,Default,,0000,0000,0000,,ya kufikiria kuhusu hili. Dialogue: 0,0:03:48.98,0:03:52.85,Default,,0000,0000,0000,,Ukichukua wastani wa` urefu wa mistari hii miwili, 6 jumlisha 2 juu ya 2 Dialogue: 0,0:03:52.85,0:03:54.66,Default,,0000,0000,0000,,ni 4. Dialogue: 0,0:03:54.66,0:03:57.77,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo huo utakuwa ni upana ambao unaonekana kitu Dialogue: 0,0:03:57.77,0:03:59.69,Default,,0000,0000,0000,,kama hiki. Dialogue: 0,0:03:59.69,0:04:03.08,Default,,0000,0000,0000,,Upana wa 4 utaonekana kitu kama hiki. Dialogue: 0,0:04:03.08,0:04:05.00,Default,,0000,0000,0000,,Upana wa 4 uanonekana kitu kama hicho, Dialogue: 0,0:04:05.00,0:04:07.05,Default,,0000,0000,0000,,na unazidisha hicho kwa kimo. Dialogue: 0,0:04:07.05,0:04:11.44,Default,,0000,0000,0000,,Huo utakuwa mstatili kama huu ambao ni Dialogue: 0,0:04:11.44,0:04:14.19,Default,,0000,0000,0000,,nusu kati ya maeneo ya mstatili Dialogue: 0,0:04:14.19,0:04:16.09,Default,,0000,0000,0000,,mdogo na mkubwa. Dialogue: 0,0:04:16.09,0:04:18.42,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo hizi zote ni sawa sawa. Dialogue: 0,0:04:18.42,0:04:20.01,Default,,0000,0000,0000,,Sasa hebu tukokotoe. Dialogue: 0,0:04:20.01,0:04:21.18,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo tunaweza kufanya lolote kati ya haya. Dialogue: 0,0:04:21.18,0:04:24.12,Default,,0000,0000,0000,,6 mara 3 ni 18. Dialogue: 0,0:04:24.12,0:04:28.63,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni 18 jumlisha 6, juu ya 2. Dialogue: 0,0:04:28.63,0:04:31.50,Default,,0000,0000,0000,,Hiyo ni 24/2, au 12. Dialogue: 0,0:04:31.50,0:04:32.75,Default,,0000,0000,0000,,Ungeweza pia kufanya kwa njia hii. Dialogue: 0,0:04:32.75,0:04:38.09,Default,,0000,0000,0000,,6 jumlisha 2 ni 8, mara 3 ni 24, gawanya kwa 2 ni 12. Dialogue: 0,0:04:38.09,0:04:42.43,Default,,0000,0000,0000,,6 jumlisha 2 gawanya kwa 2 ni 4 mara 3 ni 12. Dialogue: 0,0:04:42.43,0:04:47.60,Default,,0000,0000,0000,,Kwa njia yoyote, eneo la trapeza ni hatua za mara 12.