0:00:00.000,0:00:00.830 0:00:00.830,0:00:03.240 Hapa, tuna tuna umbo la pande nne, 0:00:03.240,0:00:06.530 au pembenne, ambapo pande mbili 0:00:06.530,0:00:08.520 ni sambamba. 0:00:08.520,0:00:10.636 Na kwa hiyo hii ni trapeza. 0:00:10.636,0:00:14.530 0:00:14.530,0:00:16.570 Na tunachotaka kufanya ni, kupitia vipimo 0:00:16.570,0:00:20.630 tulivyopewa, tutafute eneo la trapeza. 0:00:20.630,0:00:22.660 Kwa hebu tufikiri. 0:00:22.660,0:00:26.250 Tutapata nini kama tukizidisha hichi kitako kirefu 0:00:26.250,0:00:28.670 6 mara urefu 3? 0:00:28.670,0:00:33.750 Kwa hiyo utapata nini ukizidisha 6 mara 3? 0:00:33.750,0:00:35.900 Tutapata eneo la mstatili ambalo 0:00:35.900,0:00:39.790 ni hatua 6 upana na kimo ni hatua 3. 0:00:39.790,0:00:42.530 Kwa hiyo hiyo itatupa eneo la umbo ambalo 0:00:42.530,0:00:44.980 litaonekana kama-- hebu nichore kwa rangi ya pinki. 0:00:44.980,0:00:49.940 Eneo la umbo ambalo linaonekana kama hivi litakuwa 6 mara 3. 0:00:49.940,0:00:53.790 Kwa hiyo litatupa eneo lote pale. 0:00:53.790,0:00:55.760 Sasa, trapeza ni ndogo kuliko hiyo 0:00:55.760,0:00:58.770 lakini hebu tufanye kwa majaribio. 0:00:58.770,0:01:04.980 Sasa nini kitatokea tukichukua 2 mara 3? 0:01:04.980,0:01:07.910 Tutakuwa tunatafuta eneo la mstatili ambalo 0:01:07.910,0:01:10.260 lina upana wa 2 na urefu wa 3. 0:01:10.260,0:01:14.810 Kwa hiyo unaweza kuchukulia kwamba huo ni huu mstatili hapa. 0:01:14.810,0:01:18.240 Huu mstatili hapa. 0:01:18.240,0:01:22.130 Kwa hiyo huo ni mstatili wa 2 mara 3. 0:01:22.130,0:01:26.160 Sasa inaonekana kama eneo la trapeza 0:01:26.160,0:01:28.910 linatakiwa liwe kati ya namba hizi mbili. 0:01:28.910,0:01:32.490 Labda inaweza kuwa nusu yake 0:01:32.490,0:01:36.050 kwa sababu ukiangalia eneo tofauti kati ya mistatili 0:01:36.050,0:01:39.240 miwili -- na ngoja nitumie rangi. 0:01:39.240,0:01:43.030 Kwa hiyo hii ni tofauti ya eneo upande wa kushoto. 0:01:43.030,0:01:48.980 Na hii ni tofauti ya eneo upande wa kulia. 0:01:48.980,0:01:51.090 Na tukiweka msisitizo kwenye trapeza, 0:01:51.090,0:01:56.480 kama tukianzia kwenye huu mstatili mdogo wa njano, 0:01:56.480,0:01:59.610 inachukua nusu ya eneo, nusu 0:01:59.610,0:02:03.030 ya tofauti kati ya mstatili mdogo 0:02:03.030,0:02:05.240 na mkubwa upande wa kushoto. 0:02:05.240,0:02:07.920 Tunapata nusu ya eneo upande wa kushoto. 0:02:07.920,0:02:10.050 Na tunapata nusu ya tofauti kati ya mstatili mdogo 0:02:10.050,0:02:12.290 na mkubwa upande wa kulia. 0:02:12.290,0:02:17.260 Kwa hiyo inaleta maana kwamba eneo 0:02:17.260,0:02:20.420 la trapeza, hili eneo lote hapa, 0:02:20.420,0:02:22.310 inatakiwa iwe wastani. 0:02:22.310,0:02:25.420 Inatakiwa iwe nusu kati ya maeneo ya 0:02:25.420,0:02:28.172 mstatili mdogo na mstatili mkubwa. 0:02:28.172,0:02:30.130 Kwa hiyo hebu tuchukue wastani wa hizo namba mbili. 0:02:30.130,0:02:38.160 Itakwenda kuwa 6 mara 3 jumlisha 2 mara 3, yote hiyo juu ya 2. 0:02:38.160,0:02:40.230 Kwa hiyo ukifikiria kuhusu eneo la trapeza, 0:02:40.230,0:02:44.940 unaangalia vitako viwili, kitako kirefu na kitako kifupi. 0:02:44.940,0:02:47.840 0:02:47.840,0:02:50.410 Zidisha kila ya hicho mara urefu, na halafu 0:02:50.410,0:02:51.720 unaweza kuchukua wastani wake. 0:02:51.720,0:02:53.680 Au unaweza kuifikiria kama hii 0:02:53.680,0:02:57.440 ni kitu kile kile kama 6 jumlisha 2. 0:02:57.440,0:02:59.490 Na ninatoa nje 3 hapa. 0:02:59.490,0:03:12.760 6 jumlisha 2 mara 3, na halafu yote hiyo juu ya 2, 0:03:12.760,0:03:14.274 ambayo ni kitu kile kile kama-- na 0:03:14.274,0:03:15.690 ninaiandika katika njia tofauti. 0:03:15.690,0:03:17.690 Hizi ni njia tofauti za kuifikiria -- 0:03:17.690,0:03:25.450 6 jumlisha 2 juu ya 2, na halau hiyo juu ya 3. 0:03:25.450,0:03:27.820 Kwa hiyo unaweza kuiona kama wastani 0:03:27.820,0:03:30.560 wa pembetatu ndogo na kubwa 0:03:30.560,0:03:32.790 Kwa hiyo zidisha kila ya hichi kitako mara urefu 0:03:32.790,0:03:34.180 na halfu chukua wastani. 0:03:34.180,0:03:37.540 Unaweza kuiona kama-- ngoja tujumlishe urefu wa 0:03:37.540,0:03:41.360 vitako viwili, zidisha kwa kimo, na halafu gawanya kwa 2 0:03:41.360,0:03:43.710 Au unaweza kusema, hebu tuchukue wastani wa urefu 0:03:43.710,0:03:46.481 vitako viwili na zidisha kwa 3, 0:03:46.481,0:03:48.230 N ahiyo inakupa njia nyingine ya kuvutia 0:03:48.230,0:03:48.980 ya kufikiria kuhusu hili. 0:03:48.980,0:03:52.850 Ukichukua wastani wa` urefu wa mistari hii miwili, 6 jumlisha 2 juu ya 2 0:03:52.850,0:03:54.660 ni 4. 0:03:54.660,0:03:57.770 Kwa hiyo huo utakuwa ni upana ambao unaonekana kitu 0:03:57.770,0:03:59.690 kama hiki. 0:03:59.690,0:04:03.080 Upana wa 4 utaonekana kitu kama hiki. 0:04:03.080,0:04:05.000 Upana wa 4 uanonekana kitu kama hicho, 0:04:05.000,0:04:07.050 na unazidisha hicho kwa kimo. 0:04:07.050,0:04:11.440 Huo utakuwa mstatili kama huu ambao ni 0:04:11.440,0:04:14.190 nusu kati ya maeneo ya mstatili 0:04:14.190,0:04:16.089 mdogo na mkubwa. 0:04:16.089,0:04:18.420 Kwa hiyo hizi zote ni sawa sawa. 0:04:18.420,0:04:20.010 Sasa hebu tukokotoe. 0:04:20.010,0:04:21.176 Kwa hiyo tunaweza kufanya lolote kati ya haya. 0:04:21.176,0:04:24.120 6 mara 3 ni 18. 0:04:24.120,0:04:28.630 Hii ni 18 jumlisha 6, juu ya 2. 0:04:28.630,0:04:31.501 Hiyo ni 24/2, au 12. 0:04:31.501,0:04:32.750 Ungeweza pia kufanya kwa njia hii. 0:04:32.750,0:04:38.090 6 jumlisha 2 ni 8, mara 3 ni 24, gawanya kwa 2 ni 12. 0:04:38.090,0:04:42.430 6 jumlisha 2 gawanya kwa 2 ni 4 mara 3 ni 12. 0:04:42.430,0:04:47.600 Kwa njia yoyote, eneo la trapeza ni hatua za mara 12.