-
kama nitachora mkono, subiri nichore mkona chapu chapu
-
nitachora mkono wa kushoto
-
umekaa kama hivi
-
huu ni mkono wa kushoto
-
sasa, kama nikuchukua picha yake ukitizama katika kioo, tuseme
-
huu mstari ndo kioo, namie nataka kuchukua picha yake ukitizama tika kioo
-
nitachora picha ya pili kwa kijani
-
picha yapili itakaa kama hivi
-
sio sawasawa, lakini unafamu nimekusudia nini
-
picha ya kushoto imekaa kama
-
picha ya kulia
-
sasa, vovote nikijaribu ku peleka au kuzungusha mkono kama
-
hivi, naweza ku jaribu kuzungusha mia moja na thamanini digrii, ili
-
kidole cha gumba kiwe upande wa pili kama picha hii
-
lakini kutu chochote nitofanya, sitoweza kufanya picha mbili
-
zikae sawasawa.
-
naweza kui peleka huku and huku na kui zungusha, lakini haitoweza kupelekeka.
-
sitoweza kuifanya picha ya mkono was bluu ikae juu ya picha
-
ya mkono was kijani.
-
nikisema ilo neno superimpose, nakusudia kuweka mkono katika
-
mkono was kijani sawasawa.