0:00:00.600,0:00:04.030 kama nitachora mkono, subiri nichore mkona chapu chapu 0:00:04.030,0:00:07.500 nitachora mkono wa kushoto 0:00:07.500,0:00:10.620 umekaa kama hivi 0:00:10.620,0:00:12.220 huu ni mkono wa kushoto 0:00:12.220,0:00:14.970 sasa, kama nikuchukua picha yake ukitizama katika kioo, tuseme 0:00:14.970,0:00:18.460 huu mstari ndo kioo, namie nataka kuchukua picha yake ukitizama tika kioo 0:00:18.460,0:00:20.970 nitachora picha ya pili kwa kijani 0:00:20.970,0:00:23.450 picha yapili itakaa kama hivi 0:00:26.540,0:00:28.910 sio sawasawa, lakini unafamu nimekusudia nini 0:00:28.910,0:00:30.590 picha ya kushoto imekaa kama 0:00:30.590,0:00:32.140 picha ya kulia 0:00:32.140,0:00:35.780 sasa, vovote nikijaribu ku peleka au kuzungusha mkono kama 0:00:35.780,0:00:39.750 hivi, naweza ku jaribu kuzungusha mia moja na thamanini digrii, ili 0:00:39.750,0:00:42.500 kidole cha gumba kiwe upande wa pili kama picha hii 0:00:42.500,0:00:45.260 lakini kutu chochote nitofanya, sitoweza kufanya picha mbili 0:00:45.260,0:00:47.340 zikae sawasawa. 0:00:47.340,0:00:50.190 naweza kui peleka huku and huku na kui zungusha, lakini haitoweza kupelekeka. 0:00:50.190,0:00:53.590 sitoweza kuifanya picha ya mkono was bluu ikae juu ya picha 0:00:53.590,0:00:54.870 ya mkono was kijani. 0:00:54.870,0:00:58.110 nikisema ilo neno superimpose, nakusudia kuweka mkono katika 0:00:58.110,0:01:00.490 mkono was kijani sawasawa.