WEBVTT 00:00:00.600 --> 00:00:04.030 kama nitachora mkono, subiri nichore mkona chapu chapu 00:00:04.030 --> 00:00:07.500 nitachora mkono wa kushoto 00:00:07.500 --> 00:00:10.620 umekaa kama hivi 00:00:10.620 --> 00:00:12.220 huu ni mkono wa kushoto 00:00:12.220 --> 00:00:14.970 sasa, kama nikuchukua picha yake ukitizama katika kioo, tuseme 00:00:14.970 --> 00:00:18.460 huu mstari ndo kioo, namie nataka kuchukua picha yake ukitizama tika kioo 00:00:18.460 --> 00:00:20.970 nitachora picha ya pili kwa kijani 00:00:20.970 --> 00:00:23.450 picha yapili itakaa kama hivi 00:00:26.540 --> 00:00:28.910 sio sawasawa, lakini unafamu nimekusudia nini 00:00:28.910 --> 00:00:30.590 picha ya kushoto imekaa kama 00:00:30.590 --> 00:00:32.140 picha ya kulia 00:00:32.140 --> 00:00:35.780 sasa, vovote nikijaribu ku peleka au kuzungusha mkono kama 00:00:35.780 --> 00:00:39.750 hivi, naweza ku jaribu kuzungusha mia moja na thamanini digrii, ili 00:00:39.750 --> 00:00:42.500 kidole cha gumba kiwe upande wa pili kama picha hii 00:00:42.500 --> 00:00:45.260 lakini kutu chochote nitofanya, sitoweza kufanya picha mbili 00:00:45.260 --> 00:00:47.340 zikae sawasawa. 00:00:47.340 --> 00:00:50.190 naweza kui peleka huku and huku na kui zungusha, lakini haitoweza kupelekeka. 00:00:50.190 --> 00:00:53.590 sitoweza kuifanya picha ya mkono was bluu ikae juu ya picha 00:00:53.590 --> 00:00:54.870 ya mkono was kijani. 00:00:54.870 --> 00:00:58.110 nikisema ilo neno superimpose, nakusudia kuweka mkono katika 00:00:58.110 --> 00:01:00.490 mkono was kijani sawasawa.