1 00:00:00,600 --> 00:00:04,030 kama nitachora mkono, subiri nichore mkona chapu chapu 2 00:00:04,030 --> 00:00:07,500 nitachora mkono wa kushoto 3 00:00:07,500 --> 00:00:10,620 umekaa kama hivi 4 00:00:10,620 --> 00:00:12,220 huu ni mkono wa kushoto 5 00:00:12,220 --> 00:00:14,970 sasa, kama nikuchukua picha yake ukitizama katika kioo, tuseme 6 00:00:14,970 --> 00:00:18,460 huu mstari ndo kioo, namie nataka kuchukua picha yake ukitizama tika kioo 7 00:00:18,460 --> 00:00:20,970 nitachora picha ya pili kwa kijani 8 00:00:20,970 --> 00:00:23,450 picha yapili itakaa kama hivi 9 00:00:26,540 --> 00:00:28,910 sio sawasawa, lakini unafamu nimekusudia nini 10 00:00:28,910 --> 00:00:30,590 picha ya kushoto imekaa kama 11 00:00:30,590 --> 00:00:32,140 picha ya kulia 12 00:00:32,140 --> 00:00:35,780 sasa, vovote nikijaribu ku peleka au kuzungusha mkono kama 13 00:00:35,780 --> 00:00:39,750 hivi, naweza ku jaribu kuzungusha mia moja na thamanini digrii, ili 14 00:00:39,750 --> 00:00:42,500 kidole cha gumba kiwe upande wa pili kama picha hii 15 00:00:42,500 --> 00:00:45,260 lakini kutu chochote nitofanya, sitoweza kufanya picha mbili 16 00:00:45,260 --> 00:00:47,340 zikae sawasawa. 17 00:00:47,340 --> 00:00:50,190 naweza kui peleka huku and huku na kui zungusha, lakini haitoweza kupelekeka. 18 00:00:50,190 --> 00:00:53,590 sitoweza kuifanya picha ya mkono was bluu ikae juu ya picha 19 00:00:53,590 --> 00:00:54,870 ya mkono was kijani. 20 00:00:54,870 --> 00:00:58,110 nikisema ilo neno superimpose, nakusudia kuweka mkono katika 21 00:00:58,110 --> 00:01:00,490 mkono was kijani sawasawa.