< Return to Video

WEKWA KATIKA NAFASI ya MAENDELEO!!! | Maombi ya Mafanikio | Ndugu Chris

  • 0:00 - 0:07
    Kwa mamlaka ya jina kuu la YESU KRISTO
  • 0:07 - 0:12
    Wekwa katika mkao wa ushindi na mafanikio
  • 0:12 - 0:15
    Wekwa katika mkao wa mafanikio ya KIUNGU
  • 0:15 - 0:19
    Wekwa katika mkao wa neema sizizo za kawaida
  • 0:19 - 0:25
    wekwa mahali pa kuendelea!
  • 0:28 - 0:41
    Naongea na kila moyo ulio chini ya ushawishi wa maombi haya .
  • 0:41 - 0:54
    Naongea na kila Moyo uliounganika na ibada hii kwa mwaliko wa kiungu.
  • 0:54 - 0:59
    Ni wakati wa kuamka.
  • 0:59 - 1:03
    Naona watu wakisimama kwa miguu yao kwa maombi.
  • 1:03 - 1:05
    Hilo ni jema , hilo ni la ajabu sana.
  • 1:05 - 1:12
    Lakini kumbuka , kusimama kwa kweli ni moyoni.
  • 1:12 - 1:22
    Ikija kwa mambo ya MUNGU , la muhimu sio mwilini.
  • 1:22 - 1:27
    Cha muhimu ni kuweka tayari Mioyo yetu.
  • 1:27 - 1:32
    Ninaposema , "niwakati wa kusimama " simaanishi tu kusimama kwa miguu
  • 1:32 - 1:39
    Ninachomaanisha ni , wacha mioyo iinuke na itafute vitu vilivyo juu.
  • 1:39 - 1:42
    Amka juu !
  • 1:42 - 1:45
    Amka sasa
  • 1:45 - 1:48
    Amka ukashinde kutosamehe
  • 1:48 - 1:51
    Amka juu ya maumivu ya zamani
  • 1:51 - 1:54
    Amka ukashinde uchungu .
  • 1:54 - 1:57
    Amka ukaushinde tamaa ya vitu za dunia
  • 1:57 - 2:00
    Amka juu ukaushinde tamaa ya mwili.
  • 2:00 - 2:03
    Inuka juu ya mambo ya kawaida
  • 2:03 - 2:12
    Na ukampe , YESU KRISTO umakini wote
  • 2:12 - 2:15
    Sababu yeye ndiye MKOMBOZI WAKO.
  • 2:15 - 2:17
    Yeye ndiye mrejeshi wako.
  • 2:17 - 2:19
    Yeye ndiye mtengenezaji wako
  • 2:19 - 2:21
    Yeye ndiye muumbaji wako
  • 2:21 - 2:23
    Yeye ndiye mtoa huduma wako
  • 2:23 - 2:28
    Yeye ndiye mmiliki wa nafsi zetu na mponyaji wa vidonda vyetu.
  • 2:28 - 2:32
    Ata gusa hali yako leo.
  • 2:32 - 2:40
    nataka ukiri hali yako mbele ya MUNGU.
  • 2:40 - 2:49
    Kama mwenye dhambi , anaye hitaji Rehema ya KIUNGU.
  • 2:49 - 2:54
    Mwana wa Daudi , tuonee hurma .
  • 2:54 - 2:59
    Mwana wa Daudi , tuonee huruma
  • 2:59 - 3:02
    Fanya ombi hilo sasa.
  • 3:33 - 3:37
    Ukiwa unakiri makosa yako.
  • 3:37 - 3:45
    Safishwa kwa damu ya thamani sana ya YESU KRISTO.
  • 3:57 - 4:02
    Unapo tubu dhambi zako.
  • 4:02 - 4:10
    safishwa kwa damu ya thamana sana ya YESU KRISTO.
  • 4:25 - 4:30
    Chochote kinachosumbua moyo wako, kinachovuruga moyo wako.
  • 4:30 - 4:36
    Inuka juu yake na upokee Roho huru sasa!
  • 4:36 - 4:40
    Pokea Roho huru kwa sababu ya KRISTO.
  • 5:00 - 5:10
    Na kukawe na urejesho katika uhusiano wako na MUNGU.
  • 5:25 - 5:32
    Kuna mioyo mingine bado imeweka ule uchungu wa zamani , umeshikilia kuto samehe.
  • 5:32 - 5:39
    Naongea na moyo huo , achiliwa sasa.
  • 5:39 - 5:44
    Achiliwa kwa jina la YESU KRISTO.
  • 6:08 - 6:17
    Kuna nguvu katika jina kuu la YESU KRISTO.
  • 6:17 - 6:23
    Kuna nguvu kwa hilo jina lenye thamani kubwa la YESU KRISTO.
  • 6:23 - 6:30
    linalo fanya shetani na wakala wake watetemeke na wakimbie.
  • 6:51 - 6:56
    sasa hivi , watu wa MUNGU, mahali popote ulipojiunga na ibada hii.
  • 6:56 - 7:04
    Nataka uweke mkono wako kwenye kichwa chako na ukiri, sema na mimi sasa.
  • 7:04 - 7:12
    mimi ni wa YESU KRISTO
  • 7:12 - 7:14
    KIRI HIVI SASA.
  • 7:40 - 7:47
    Wewe shetani , nakuamuru uondoe mkono wako!
  • 7:47 - 7:50
    Ondoa mkono wako kwenye familia hiyo.
  • 7:50 - 7:53
    Ondoa mkono wako kwenye nyumba ile
  • 7:53 - 7:55
    Ondoa mkono wako kwenye ndoa ile.
  • 7:55 - 8:02
    Nakuamuru sasa toka sasa hivi!
  • 8:02 - 8:04
    Toka na vifungo vyako.
  • 8:04 - 8:05
    Toka na mizigo yako.
  • 8:05 - 8:08
    Ondoka kwa jina la YESU.
  • 8:33 - 8:45
    Ndiyo ! Naamuru kira roho mchafu afanyae kazi kwenye kichwa chako , macho , masikio mdomo-
  • 8:45 - 8:50
    wewe roho mchafu , toka sasa hivi!
  • 8:50 - 8:55
    Toka ! kwa jina kuu la YESU KRISTO
  • 9:20 - 9:26
    Watu wa MUNGU ROHO MTAKATIFU yuko anafanya kazi sasa, sikiza!
  • 9:26 - 9:37
    Kila shambulizi la kimapenzi (Ngono) kwenye ndoto- huyo mwanamume wa ajabu au usiye mjua , mwanamke anayelala nawe-
  • 9:37 - 9:42
    na sema achanishwa naye.
  • 9:42 - 9:45
    achanishwa naye kwa jina LA YESU .
  • 10:15 - 10:22
    Huo muunganiko na mume mchafu wa kiroho, huo munganiko na mke wa kimapepo-
  • 10:22 - 10:30
    na sema kwa huo muunganiko wa kipepo! vunjwa sasa!
  • 10:30 - 10:37
    Vunja huo muunganiko wa kipepo. Uvunje!
  • 11:06 - 11:13
    Hizo ndoto mbaya , huo uvamizi wa kiroho unaosumbua usingizi wako. usiku wako-
  • 11:13 - 11:20
    Nasema kwa hizo ndoto mbaya, vunjwa sasa hivi.
  • 11:48 - 11:56
    sasa hivi , hiyo tabia mbaya inayofungua mlango wa kifungo maishani mwako-
  • 11:56 - 12:04
    na sema sasa, wekwa huru!, wekwa huru, kwa jina la YESU KRISTO
  • 12:04 - 12:07
    Wekwa huru kutoka kwenye hiyo tabia mbaya!
  • 12:07 - 12:09
    Wekwa huru kutoka kwenye huo uraibu!
  • 12:09 - 12:14
    wekwa huru kwa jina la YESU KRISTO.
  • 12:40 - 12:43
    Hilo gereza la uraibu-
  • 12:43 - 12:55
    Uraibu wa pombe, sigara , picha za ngono, simu , mtandao, mitandao ya kijamii-
  • 12:55 - 13:03
    na sema kwa huo uraibu , vunjika sasa.
  • 13:03 - 13:06
    Vunjika! kwa jina la YESU KRISTO
  • 13:06 - 13:10
    Wekwa huru kutokana na uraibu huo.
  • 13:10 - 13:14
    Wekwa huru kwa jina la YESU KRISTO.
  • 13:43 - 13:52
    Kuna watu wengi hii leo ambao wako chini ya uvamizi wa roho ya kuchanganyikiwa.
  • 13:52 - 13:55
    Hawajielewi wao ni kina nani .
  • 13:55 - 14:01
    Wamechanganyikiwa kuhusu wao ni kina nani haswa, kuhusu MUNGU ANASEMA WAO NI KINA NANI.
  • 14:01 - 14:12
    Sasa hivi! Nasema kwa huyo roho wa kuchanganyikiwa- tupwa inje.
  • 14:12 - 14:17
    Tupwa inje, kwa jina la YESU KRISTO
  • 14:49 - 14:53
    Watu wa MUNGU, katika hii hali ya IMANI , Tunaona ROHO MTAKATIFU AKITENDA KAZI.
  • 14:53 - 14:55
    Tunamwona ROHO MTAKATIFU akitembea.
  • 14:55 - 15:01
    Weka mkono wako mahali popote unapohisi maumivu mwilini.
  • 15:01 - 15:07
    Weka mkono wako hapo kama mahali pa mawasiliano kwa imani
  • 15:07 - 15:22
    Mahali popote pale ugonjwa ulipokita mizizi na kuweka makao mwilini mwako, na tangaza uponyaji!
  • 15:22 - 15:27
    Pokea uponyaji , kwa jina la YESU.
  • 15:52 - 15:57
    Sikiliza , usikubali shida hiyo kama sehemu yako.
  • 15:57 - 16:00
    Usikubali au kuhitimisha ugonjwa huo kama ni haki yako.
  • 16:00 - 16:09
    Maandiko yanasema katika kitabu cha WAKORINTHO 6:19 kwamba mwili wako ni hekalu la ROHO MTAKATIFU,
  • 16:09 - 16:14
    Sio hekalu la roho wa magonjwa, mateso ama uchungu.
  • 16:14 - 16:26
    Sasa hivi , kuingo chochote kilicho haribiwa na roho wa magonjwa.
  • 16:26 - 16:37
    Natangaza urejesho, Huwishwa!
  • 17:18 - 17:28
    Kila kiungo kilicho haribiwa mwilini mwako- anza kutenda kazi sasa!
  • 17:28 - 17:32
    Mahali popote palipo haribiwa moyoni mwako-
  • 17:32 - 17:35
    Je ni akilini mwako ? je ni tumboni mwako?.
  • 17:35 - 17:38
    Je ni mapafu , maini, figo zako ?
  • 17:38 - 17:45
    Mahali popote palipo haribiwa , anza kufanya kazi sasa!
  • 17:45 - 17:50
    Fanya kazi kwa nguvu iliyoko kwa jina la YESU KRISTO.
  • 18:23 - 18:26
    Ni wapi ugonjwa huo ulipo jificha?.
  • 18:26 - 18:31
    Ni wapi ugonjwa huo unapo vizia mwilini mwako ?.
  • 18:31 - 18:37
    sasa! chochote ulicho kula kutoka kwa meza ya adui .
  • 18:37 - 18:43
    Kwenye ndoto ambacho kimetia au kuleta sumu mwilini.
  • 18:43 - 18:52
    nasema sasa- safishwa inje(Tolewa inje )
  • 18:52 - 18:58
    Itapike sasa, tapika ugonjwa huo, sumu
  • 18:58 - 19:04
    Hayo mateso usiyo yaelewa- toka sasa!
  • 19:47 - 19:51
    Najua kuna wengine wetu wako na picha za wapendwa wetu.
  • 19:51 - 19:56
    Hawako ki mwili na wewe kwa maombi haya lakini kwa imani wako na wewe.
  • 19:56 - 20:02
    Shikilia juu picha zao sasa., tusimame kwa imani kwa niaba yao.
  • 20:02 - 20:15
    Nasema kwake huyo mwana familia, kwa huyo mpendwa aliye katika kifungo cha uraibu, ukaidi, kifungoni
  • 20:15 - 20:23
    Mahali popote walipo sasa- wekwa huru!
  • 20:23 - 20:28
    Wekwa huru kwa jina la YESU!
  • 20:55 - 21:00
    Natuma neno la imani kwa huyo mpendwa aliye kitandani mgonjwa.
  • 21:00 - 21:08
    Aliyezingirwa na magonjwa, huzuni , shida.
  • 21:08 - 21:16
    kwa jina la YESU , wekwa huru!
  • 21:16 - 21:20
    wekwa huru kwa jina la YESU.
  • 21:49 - 21:55
    Nataka sasa kufanya maombi na walioko kwa ndoa, walioko kwa ibada hii
  • 21:55 - 22:00
    kama uko hapa na mume wako ama mke wako sasa-
  • 22:00 - 22:01
    tafadhali mshiliane mikono.
  • 22:01 - 22:04
    Wacha tukaombee ndoa.
  • 22:04 - 22:14
    Chochote kinacho kuibia pumziko katika ndoa yako , nyumbani mwako,
  • 22:14 - 22:22
    nasema sasa- ondolewa ! ondolewa kwa jina la YESU!
  • 22:44 - 22:52
    Natamka urejesho kwa nyumba yako , Huwishwa!
  • 22:52 - 22:56
    Wacha mateso hayo yakaondolewe.(Huwishwa)
  • 22:56 - 23:00
    Wacha kuelewana kukarejeshwe.
  • 23:00 - 23:07
    Wacha umoja ukarudishwe.
  • 23:33 - 23:37
    Kuna nyumba nyingi ambazo zina kosa amani leo.
  • 23:37 - 23:45
    Sababu badala tupate somo na makosa yetu tunayarudia.
  • 23:45 - 23:51
    Sababu ya haya sio mbali na kiburi.
  • 23:51 - 23:58
    Na amuru kila roho wa kiburianaye sababisha usitambue makosa yako.
  • 23:58 - 24:03
    Huyo roho wa kiburi- toka sasa!
  • 24:03 - 24:08
    Toka kwa ndoa yako !, toka inje ya nyumba yako ! toka inje ya familia yako!
  • 24:08 - 24:12
    toka kwa JINA LA YESU KRISTO.
  • 24:50 - 24:56
    Mabwana na mabibi mlioko chini ya ibada hii- sikiliza hii
  • 24:56 - 24:59
    Weka yakale na uendelee mbele.
  • 24:59 - 25:04
    Weka mambo madogo madogo nyuma na uendelee mbele
  • 25:04 - 25:06
    Endelea mbele na ndoa yako
  • 25:06 - 25:08
    Endelea mbele katika utu uzima
  • 25:08 - 25:09
    endelea mbele kwa upendo.
  • 25:09 - 25:11
    Endelea mbele katika kuelewana
  • 25:11 - 25:15
    Pokea neema ya kuendelea mbele.
  • 25:49 - 25:54
    katika hali hiyo, kuna wengi wetu wamejiunga sasa
  • 25:54 - 26:02
    ambao biashara zao , kazi zao , zimekwama au ziko katika hali ya Vilio.
  • 26:02 - 26:09
    mzunguko wa ukosefu , yatosha yatosha!
  • 26:09 - 26:17
    sasa! pokea neema ya kuendelea mbele kwa biashara yako.
  • 26:17 - 26:19
    Endelea mbele kifedha.
  • 26:19 - 26:21
    Endelea mbele katika kazi yako.
  • 26:21 - 26:25
    Endelea mbele.
  • 26:25 - 26:28
    Usikwame katika vilio.
  • 26:28 - 26:30
    Usijikute katika kubeba mambo ya kale na kuyaleta katika wakati huu
  • 26:30 - 26:33
    endelea mbele kwa jina la YESU.
  • 27:26 - 27:33
    Kwa mammlaka yalioko kwa jina la YESU KRISTO.
  • 27:33 - 27:37
    Wekwa kunako mafanikio
  • 27:37 - 27:41
    Wekwa katika mafanikio ya kiungu.
  • 27:41 - 27:45
    wekwa katika kibali kisicho cha kawaida.
  • 27:45 - 27:51
    wekwa katika kuendelea.
  • 28:15 - 28:19
    Wenye wanatafuta kuajiriwa kazi,
  • 28:19 - 28:24
    nawaambia sasa- wekwa kwa kazi yako!
  • 28:24 - 28:29
    Wenye mnao cheleweshwa kupandishwa cheo kazini.
  • 28:29 - 28:33
    nawaambia sasa- wekwa katika kupandishwa ngazi.
  • 28:33 - 28:39
    Wekwa katika maongezeko! wekwa katika kuendelea !
  • 29:06 - 29:14
    Watu wa MUNGU! nataka kufanya Ombi sasa kwa wanafunzi.
  • 29:14 - 29:20
    Najua kuna wanafunzi wengi wanaosomea mitihani, na walioko katikati mwa mitihani.
  • 29:20 - 29:22
    nataka kuwaombea sasa.
  • 29:22 - 29:32
    Kama unavyo omba kama kila kitu kinategemea MUNGU, na kusoma kama kila kitu kinakutegemea wewe
  • 29:32 - 29:38
    pokea Neema ya kufaulu!
  • 29:38 - 29:46
    natangaza kufaulu kimasomo kwa jina la YESU.
  • 30:14 - 30:27
    Huyo roho wa kuhairisha mambo - toka sasa, kwa jina la YESU.
  • 30:45 - 30:57
    Chochote kinachokatiza mtazamo wako au kuzingatia kwako- toka ondolewa ! ondoka sasa!
  • 30:57 - 31:05
    Hiyo roho ya kupoteza mwelekeo au mtazamo - nasema , toka kwa JINA LA YESU.
  • 31:30 - 31:35
    Watu wa MUNGU , sasa , nataka ushikilie bendera ya inchi yako.
  • 31:35 - 31:40
    Tusimame kwa Maombi kwa ajili ya mataifa ya duniani.
  • 31:40 - 31:52
    Chochote kinacholeta mvutano kwa inchi yako , kiwe ni siyasa, dini ama mvutano wa kitamaduni.
  • 31:52 - 32:01
    Mvutano wowote , mwulize MUNGU sasa kwa utulivu utawale inchi yako
  • 32:01 - 32:07
    Kwa amani yake itawale, kwa haki yake itawale inchi yako.
  • 32:07 - 32:15
    Mwulize sasa kwa huo utulivu kutoka juu utawale inchi yako.
  • 32:52 - 33:01
    Mwulize MUNGU sasa akusaidie upate tabia za KIUNGU.
  • 33:01 - 33:05
    Zenye zitakusaidia kulinda ama kuhifadhi uhusiano na YEYE
  • 33:05 - 33:07
    Mwombe sasa.
  • 33:07 - 33:15
    Mwombe MUNGU akusaidie upate tabia za KIUNGU zenye zita kutia nguvu maisha yako ya ROHONI.
  • 33:15 - 33:19
    Zenye zitakusaidia kuhifathi ama kutunza uhusiano wako na YEYE
  • 33:19 - 33:22
    Mwombe sasa!
  • 33:57 - 34:11
    Kwa hii safari ya imani, mwulize MUNGU akusaidie uinuke juu ya uwoga, wasiwasi,
  • 34:11 - 34:19
    Mwulize sasa, Mwulize YEYE. Akusaidie upande juu ya yote.
  • 34:48 - 34:58
    Huo mtego wa kujilinganisha- nasema , panda juu yake.
  • 34:58 - 35:05
    Mtego wa kujilinganisha uliotiwa moto na ubinadamu wa nyama na damu panda juu yake.
  • 35:05 - 35:13
    Huo mtego wa kujiona duni- panda juu yake kwa JINA LA YESU.
  • 35:45 - 35:52
    Kwa jina la YESU KRISTO TUMEOMBA.
  • 35:59 - 36:12
    Watu wa MUNGU, KATIKA ZAMBURI 107:13-14 MAANDIKO YANASEMA HIVI :
  • 36:12 - 36:21
    Alafu wakamlilia MUNGU wakati washida,
  • 36:21 - 36:25
    NAE AKAWAOKOA KUTOKA KWA MATESO
  • 36:25 - 36:32
    Akawatoa kutoka giza, na minyororo ya Kifo.
  • 36:32 - 36:38
    na akavunja minyororo vipande vipande.
  • 36:38 - 36:44
    Leo, nasema kwako kwa imani-
  • 36:44 - 36:57
    MUNGU AMEKUTOA WEWE GIZANI NA AKAKULETA KWA MWANGAZA WAKE MKUUNA AKAVUNJA HIYO MINYORORO!
  • 36:57 - 37:03
    AMEKUTOA KWA KIFUNGO HICHO NA AKAKUWEKA HURU
  • 37:03 - 37:07
    AMEKUTOA KWA MAGONJWA AKAKUWEKA KWENYE UZIMA WA AFYA.
  • 37:07 - 37:11
    Amekutoa kwa uwoga akakuweka kunako uhuru.
  • 37:11 - 37:15
    Amekutoa kunako uchungu akakuweka kunako amani.
  • 37:15 - 37:22
    Amekukomboa na kuvunja hiyo minyororo.
  • 37:22 - 37:24
    Furahia kuwekwa huru kwako.
  • 37:24 - 37:28
    Leo , umewekwa katika nafasi ya kuendelea na mafanikio
  • 37:28 - 37:31
    Umewekwa nafasi ya maendeleo na mafanikio
  • 37:31 - 37:34
    Umewekwa nafasi ya mpenyo wa kiungu.
  • 37:34 - 37:37
    Umewekwa nafasi ya upendeleo wa kiungu usio wa kawaida.
  • 37:37 - 37:40
    Umewekwa kwa , katika nafasi za kipekee.
  • 37:40 - 37:45
    Furahia kuachiliwa kwako.
  • 37:45 - 37:56
    Lakini weka hili makini- leo umewekwa karika masafa ya kiungu au mbiguni.
  • 37:56 - 38:07
    Usikubali hali yeyote ya Dunia hii kuweka moyo wako chini, kaa umejiunganisha.
  • 38:07 - 38:10
    Usirudie kutosamehe kwako
  • 38:10 - 38:12
    usirudie nyuma tena kwa hali yako ya zamani.
  • 38:12 - 38:16
    Usirudi nyuma kwa uongo wa shetani
  • 38:16 - 38:19
    Kua umeunganika.
  • 38:19 - 38:29
    shetani anawezatu fanikiwa kukudanganya wakati umejiteremsha kiwango chake
  • 38:29 - 38:38
    Vifaa vyake vya vita vinaweza fanya kazi tu ukijiteremsha kwa kiwanja chake cha vita.
  • 38:38 - 38:44
    Hii ni wakati unapigana kwa Damu na nyama
  • 38:44 - 38:55
    Sababu mwamini au mkristo anayetembelea hali ya dunia hawezani na shetani
  • 38:55 - 39:00
    Kwa hiyo watu wa MUNGU , Hii inamaanisha nini kwa mimi na wewe.
  • 39:00 - 39:06
    Usikuwe tu wa kiroho wakati tu wa ibada.
  • 39:06 - 39:11
    kua wa kiroho wakati wowote wa maisha yako.
  • 39:11 - 39:20
    Kumtafuta MUNGU isikue tu ya msimu ama wakati uko na matatizo flani yanakusukuma
  • 39:20 - 39:25
    hapana , iwe jambo la kila siku maishani mwako.
  • 39:25 - 39:34
    kwa hiyo ndio ufarahie muujiza , baraka , na uhuru , na mguso uliopokea leo .
  • 39:34 - 39:43
    Tumia imani yako siku baada ya siku , lisaa baada ya lisaa, dakika baada ya dakika, sekunde baada ya sekunde....
  • Not Synced
    .......
  • Not Synced
Title:
WEKWA KATIKA NAFASI ya MAENDELEO!!! | Maombi ya Mafanikio | Ndugu Chris
Description:

Jiunge na wakati huu wa maombi ya nguvu- pamoja na maelfu ya waumini duniani - naupokee kufanikiwa kwa ajabu kwa kila kitengo cha maisha yako kwa JINA LA YESU

MAELEZO
Kwa mamlaka yaliyoko kwa jina KUU LA YESU KRISTO, Wekwa katika Nafasi nzuri ya kufanikiwa! wekwa katika mpenyo wa kiungu! wekwa katika upendeleo usiokua wa kawaida.! wekwa katika kuendelea! - NDUGU CHRIS

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
40:13

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions