-
Kwa mamlaka ya jina kuu la YESU KRISTO
-
Wekwa katika mkao wa ushindi na mafanikio
-
Wekwa katika mkao wa mafanikio ya KIUNGU
-
Wekwa katika mkao wa neema sizizo kua za kawaida
-
wekwa mahali pa kuendelea!
-
Naongea na kila moyo ulio kua chini ya maombi haya .
-
Naongea na kila Moyo uliounganika na ibada hii kwa mwaliko wa kiungu.
-
Ni wakati wa kuamka.
-
Naona watu wakisimama kwa miguu yao kwa maombi.
-
Hilo ni jema , hilo ni la ajabu sana.
-
Lakini kumbuka , kusimama kwa kweli ni moyoni.
-
Ikija kwa mambo ya MUNGU , la muhimu sio mwilini.
-
Cha muhimu ni kuweka tayari Mioyo yetu.
-
Ninaposema , "niwakati wa kusimama " simaanishi tu kusimama kwa miguu
-
Ninachomaanisha ni , wacha mioyo iinuke na itafute vitu vilivyo juu.
-
Amka juu !
-
Amka sasa
-
Amka ukashinde kutosamehe
-
Amka juu ya maumivu ya zamani
-
Amka ukashinde uchungu .
-
Amka ukaushinde tamaa ya vitu za dunia
-
Amka juu ukaushinde tamaa ya mwili.
-
Inuka juu ya mambo ya kawaida
-
Na ukampe , YESU KRISTO umakini wote
-
Sababu yeye ndio MKOMBOZI WAKO.
-
Yeye ndie mrejeshi wako.
-
Yeye ndie mtengenezaji wako
-
Yeye ndie muumbaji wako
-
Yeye ndie mtoa huduma wako
-
Yeye ndie mwenye nafsi zetu na mponyaji wa vidonda vyetu.
-
Ata gusa hali yako leo.
-
nataka ukiri hali yako mbele ya MUNGU.
-
Kama mwenye dhambi , anaye hitaji Rehema ya KIUNGU.
-
Mwana wa Daudi , tuone hurma .
-
Mwana wa Daudi , tuonee huruma
-
Fanya ombi hilo sasa.
-
Ukiwa unakiri makosa yako.
-
Safishwa na damu ya dhamani sana ya YESU KRISTO.
-
Unapo tubu dhambi zako.
-
safishwa na damu ya thamana sana ya YESU KRISTO.
-
Chochote kinacho sumbua moyo wako., kinachosumbua moyo wako.
-
Inuka juu yake na upokee Roho huru sasa!
-
Pokea Roho huru kwa sababu ya KRISTO.
-
Wacha kukawe na urejesho katika uhusiano wako na MUNGU.
-
Kuna mioyo mingine bado imeweka ule uchungu wa zamani , umeshikilia kuto samehe.
-
Naongea na muyo huo , achiliwa sasa.
-
Achiliwa kwa jina la YESU KRISTO.
-
Kuna nguvu katika jina kuu la YESU KRISTO.
-
Kuna nguvu kwa hilo jina lenye dhamani kubwa la YESU KRISTO.
-
linalo fanya shetani na wakala wake watetemeke na wakimbie.
-
sasa hivi , watu wa MUNGU, mahali popote ulipojiunga na ibada hii.
-
Nataka uweke mkono wako kwa kichwa chako na ukiri, sema na mimi sasa.
-
mimi ni wa YESU KRISTO
-
KIRI HAYA SASA.
-
Wewe shetani , nakuamuru uondoe mkono wako!
-
Ondoa mkono wako kwa familia hiyo.
-
Ondoa mkono wako kwa nyumba ile
-
Ondoa mkono wako kwa ndoa ile.
-
Nakuamuru sasa toka sasa hivi!
-
Toka na utumwa wako.
-
Toka na mizigo yako.
-
Ondoka kwa jina la YESU.
-
Ndio ! na amuru kira roho mchafu afanyae kazi kwa kichwa chako , macho , masikio mdomo-
-
wewe roho mchafu , toka sasa !
-
Toka ! kwa jina kuu la YESU KRISTO
-
Watu wa MUNGU ROHO MTAKATIFU ako anafanya kazi sasa, sikiza!
-
Kila shambulizi la kimapenzi (Ngono) kwenye ndoto- huyo mwanamume wa ajabu au usiye mjua , mwanamke anayelala nawe-
-
na sema achanishwa nae.
-
achanishwa nae kwa jina LA YESU .
-
Hua muunganiko na mume mchafu wa kiroho, uhu munganiko na mke wa kimapepo-
-
na sema kwa huo muunganiko wa kimapepo! vunjwa sasa!
-
Vunja huo muunganiko wa kimapepo. vunja !
-
Hizo ndoto mbaya , huo uvamizi wa kiroho unaosumbua usingizi wako. usiku wako-
-
Nasema kwa hizo ndoto mbaya, kunjika sasa.
-
sasa hivi , hiyo tabia mbaya inayo fungua mlango wa kifungo maishani mwako-
-
na sema sasa, wekwa huru!, wekwa huru, kwa jina la YESU KRISTO
-
Wekwa huru kutokana na tabia mbaya!
-
wekwa huru kutokana na uraibu!
-
wekwa huru kwa jina la YESU KRISTO.
-
Hilo gereza la uraibu-
-
Uraibu wa pombe, sigara , picha za ngono, simu , mtandao, mitandao ya kijamii-
-
na sema kwa huo uraibu , vunjika sasa.
-
Vunjika! kwa jina la YESU KRISTO
-
Wekwa huru kutokana na uraibu huo.
-
Wekwa huru kwa jina la YESU KRISTO.
-
Kuna watu wengi hii leo ambao wako chini ya uvamizi wa roho ya kuchanganyikiwa.
-
Hawajielewi wao ni kina nani .
-
Wamechanganyikiwa kuhusu wao ni kina nani haswa, kuhusu MUNGU ANASEMA WAO NI KINA NANI.
-
Sasa ! na sema kwa huyo roho wa kuchanganyikiwa- tupwa inje.
-
Tupwa inje, kwa jina la YESU KRISTO
-
Watu wa MUNGU, katika hii hali ya IMANI , Tunaona ROHO MTAKATIFU AKITENDA KAZI.
-
Tunamwona ROHO MTAKATIFU akitembea.
-
Weka mkono wako mahali popote unapo hisi maumivu mwilini.
-
Weka mkono wako hapo. kama mahali pa mawasiliano kwa imani
-
Mahali popote ugonjwa ulipo kita mizizi na kuweka makao mwilini mwako, na tangaza uponyaji!
-
Pokea uponyaji , kwa jina la YESU.
-
Sikiliza , usikubali shida hiyo kama yako.
-
Usikubali au kuhitimisha ugonjwa huo kama ni haki yako.
-
Maandiko yanasema katika kitabu cha WAKORINTHO 6:19 kwamba mwili wako ni hekalu la ROHO MTAKATIFU,
-
Sio hekalu la roho wa magonjwa, mateso ama uchungu.
-
Sasa hivi , kuingo chochote kilicho haribiwa na roho wa magonjwa.
-
na tangaza kuhuwishwa (Urejesho), Huwishwa!
-
Kila kiungo kilicho haribiwa mwilini mwako- anza kutenda kazi sasa!
-
Mahali popote palipo haribiwa moyoni mwako-
-
Je ni akilini mwako ? je ni tumboni mwako?.
-
Je ni mapafu , maini, figo zako ?
-
Mahali popote palipo haribiwa , anza kufanya kazi sasa !
-
Fanya kazi kwa nguvu iliyoko kwa jina la YESU KRISTO.
-
Ni wapi ugonjwa huo ulipo jificha?.
-
Ni wapi ugonjwa huo unapo vizia mwilini mwako ?.
-
sasa! chochote ulicho kula kutoka kwa meza ya adui .
-
Kwenye ndoto ambacho kimetia au kuleta sumu mwilini.
-
nasema sasa- safishwa inje(Tolewa inje )
-
Itapike sasa, tapika ugonjwa huo, sumu
-
Hayo mateso usiyo yaelewa- toka sasa!
-
Najua kuna wengine wetu wako na picha za wapendwa wetu.
-
Hawako ki mwili na wewe kwa maombi haya lakini kwa imani wako na wewe.
-
Shikilia juu picha zao sasa., tusimame kwa imani kwa niaba yao.
-
Nasema kwake huyo mwana familia, kwa huyo mpendwa aliye katika kifungo cha uraibu, ukaidi, kifungoni
-
Mahali popote walipo sasa- wekwa huru!
-
Wekwa huru kwa jina la YESU!
-
Natuma neno la imani kwa huyo mpendwa aliye kitandani mgonjwa.
-
Aliyezingirwa na magonjwa, huzuni , shida.
-
kwa jina la YESU , wekwa huru!
-
wekwa huru kwa jina la YESU.
-
Nataka sasa kufanya maombi na walioko kwa ndoa, walioko kwa ibada hii
-
kama uko hapa na mume wako ama mke wako sasa-
-
tafadhali mshiliane mikono.
-
Wacha tukaombee ndoa.
-
Chochote kinacho kuibia pumziko katika ndoa yako , nyumbani mwako,
-
nasema sasa- ondolewa ! ondolewa kwa jina la YESU!
-
Natamka urejesho kwa nyumba yako , Huwishwa!
-
Wacha mateso hayo yakaondolewe.(Huwishwa)
-
Wacha kuelewana kukarejeshwe.
-
Wacha umoja ukarudishwe.
-
Kuna nyumba nyingi ambazo zina kosa amani leo.
-
Sababu badala tupate somo na makosa yetu tunayarudia.
-
Sababu ya haya sio mbali na kiburi.
-
Na amuru kila roho wa kiburianaye sababisha usitambue makosa yako.
-
Huyo roho wa kiburi- toka sasa!
-
Toka kwa ndoa yako !, toka inje ya nyumba yako ! toka inje ya familia yako!
-
toka kwa JINA LA YESU KRISTO.
-
Mabwana na mabibi mlioko chini ya ibada hii- sikiliza hii
-
Weka yakale na uendelee mbele.
-
Weka mambo madogo madogo nyuma na uendelee mbele
-
Endelea mbele na ndoa yako
-
Endelea mbele katika utu uzima
-
endelea mbele kwa upendo.
-
Endelea mbele katika kuelewana
-
Pokea neema ya kuendelea mbele.
-
katika hali hiyo, kuna wengi wetu wamejiunga sasa
-
ambao biashara zao , kazi zao , zimekwama au ziko katika hali ya Vilio.
-
mzunguko wa ukosefu , yatosha yatosha!
-
sasa! pokea neema ya kuendelea mbele kwa biashara yako.
-
Endelea mbele kifedha.
-
Endelea mbele katika kazi yako.
-
Endelea mbele.
-
Usikwame katika vilio.
-
Usijikute katika kubeba mambo ya kale na kuyaleta katika wakati huu
-
endelea mbele kwa jina la YESU.
-
Kwa mammlaka yalioko kwa jina la YESU KRISTO.
-
Wekwa kunako mafanikio
-
Wekwa katika mafanikio ya kiungu.
-
wekwa katika kibali kisicho cha kawaida.
-
wekwa katika kuendelea.
-
Wenye wanatafuta kuajiriwa kazi,
-
nawaambia sasa- wekwa kwa kazi yako!
-
Wenye mnao cheleweshwa kupandishwa cheo kazini.
-
nawaambia sasa- wekwa katika kupandishwa ngazi.
-
Wekwa katika maongezeko! wekwa katika kuendelea !
-
Watu wa MUNGU! nataka kufanya Ombi sasa kwa wanafunzi.
-
Najua kuna wanafunzi wengi wanaosomea mitihani, na walioko katikati mwa mitihani.
-
nataka kuwaombea sasa.
-
Kama unavyo omba kama kila kitu kinategemea MUNGU, na kusoma kama kila kitu kinakutegemea wewe
-
pokea Neema ya kufaulu!
-
natangaza kufaulu kimasomo kwa jina la YESU.
-
Huyo roho wa kuhairisha mambo - toka sasa, kwa jina la YESU.
-
Chochote kinachokatiza mtazamo wako au kuzingatia kwako- toka ondolewa ! ondoka sasa!
-
Hiyo roho ya kupoteza mwelekeo au mtazamo - nasema , toka kwa JINA LA YESU.
-
Watu wa MUNGU , sasa , nataka ushikilie bendera ya inchi yako.
-
Tusimame kwa Maombi kwa ajili ya mataifa ya duniani.
-
Chochote kinacholeta mvutano kwa inchi yako , kiwe ni siyasa, dini ama mvutano wa kitamaduni.
-
Mvutano wowote , mwulize MUNGU sasa kwa utulivu utawale inchi yako
-
Kwa amani yake itawale, kwa haki yake itawale inchi yako.
-
Mwulize sasa kwa huo utulivu kutoka juu utawale inchi yako.
-
Mwulize MUNGU sasa akusaidie upate tabia za KIUNGU.
-
Zenye zitakusaidia kulinda ama kuhifadhi uhusiano na YEYE
-
Mwombe sasa.
-
Mwombe MUNGU akusaidie upate tabia za KIUNGU zenye zita kutia nguvu maisha yako ya ROHONI.
-
Zenye zitakusaidia kuhifathi ama kutunza uhusiano wako na YEYE
-
Mwombe sasa!
-
Kwa hii safari ya imani, mwulize MUNGU akusaidie uinuke juu ya uwoga, wasiwasi,
-
Mwulize sasa, Mwulize YEYE. Akusaidie upande juu ya yote.
-
Huo mtego wa kujilinganisha- nasema , panda juu yake.
-
Mtego wa kujilinganisha uliotiwa moto na ubinadamu wa nyama na damu panda juu yake.
-
Huo mtego wa kujiona duni- panda juu yake kwa JINA LA YESU.
-
Kwa jina la YESU KRISTO TUMEOMBA.
-
Watu wa MUNGU, KATIKA ZAMBURI 107:13-14 MAANDIKO YANASEMA HIVI :
-
Alafu wakamlilia MUNGU wakati washida,
-
NAE AKAWAOKOA KUTOKA KWA MATESO
-
Akawatoa kutoka giza, na minyororo ya Kifo.
-
na akavunja minyororo vipande vipande.
-
Leo, nasema kwako kwa imani-
-
MUNGU AMEKUTOA WEWE GIZANI NA AKAKULETA KWA MWANGAZA WAKE MKUUNA AKAVUNJA HIYO MINYORORO!
-
AMEKUTOA KWA KIFUNGO HICHO NA AKAKUWEKA HURU
-
AMEKUTOA KWA MAGONJWA AKAKUWEKA KWENYE UZIMA WA AFYA.
-
Amekutoa kwa uwoga akakuweka kunako uhuru.
-
Amekutoa kunako uchungu akakuweka kunako amani.
-
Amekukomboa na kuvunja hiyo minyororo.
-
Furahia kuwekwa huru kwako.
-
Leo , umewekwa katika nafasi ya kuendelea na mafanikio
-
Umewekwa nafasi ya maendeleo na mafanikio
-
Umewekwa nafasi ya mpenyo wa kiungu.
-
Umewekwa nafasi ya upendeleo wa kiungu usio wa kawaida.
-
Umewekwa kwa , katika nafasi za kipekee.
-
Furahia kuachiliwa kwako.
-
Lakini weka hili makini- leo umewekwa karika masafa ya kiungu au mbiguni.
-
Usikubali hali yeyote ya Dunia hii kuweka moyo wako chini, kaa umejiunganisha.
-
Usirudie kutosamehe kwako
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-