WEKWA KATIKA NAFASI ya MAENDELEO!!! | Maombi ya Mafanikio | Ndugu Chris
-
0:00 - 0:07Kwa mamlaka ya jina kuu la YESU KRISTO
-
0:07 - 0:12Wekwa katika mkao wa ushindi na mafanikio
-
0:12 - 0:15Wekwa katika mkao wa mafanikio ya KIUNGU
-
0:15 - 0:19Wekwa katika mkao wa neema sizizo za kawaida
-
0:19 - 0:25wekwa mahali pa kuendelea!
-
0:28 - 0:41Naongea na kila moyo ulio chini ya ushawishi wa maombi haya .
-
0:41 - 0:54Naongea na kila Moyo uliounganika na ibada hii kwa mwaliko wa kiungu.
-
0:54 - 0:59Ni wakati wa kuamka.
-
0:59 - 1:03Naona watu wakisimama kwa miguu yao kwa maombi.
-
1:03 - 1:05Hilo ni jema , hilo ni la ajabu sana.
-
1:05 - 1:12Lakini kumbuka , kusimama kwa kweli ni moyoni.
-
1:12 - 1:22Ikija kwa mambo ya MUNGU , la muhimu sio mwilini.
-
1:22 - 1:27Cha muhimu ni kuweka tayari Mioyo yetu.
-
1:27 - 1:32Ninaposema , "niwakati wa kusimama " simaanishi tu kusimama kwa miguu
-
1:32 - 1:39Ninachomaanisha ni , wacha mioyo iinuke na itafute vitu vilivyo juu.
-
1:39 - 1:42Amka juu !
-
1:42 - 1:45Amka sasa
-
1:45 - 1:48Amka ukashinde kutosamehe
-
1:48 - 1:51Amka juu ya maumivu ya zamani
-
1:51 - 1:54Amka ukashinde uchungu .
-
1:54 - 1:57Amka ukaushinde tamaa ya vitu za dunia
-
1:57 - 2:00Amka juu ukaushinde tamaa ya mwili.
-
2:00 - 2:03Inuka juu ya mambo ya kawaida
-
2:03 - 2:12Na ukampe , YESU KRISTO umakini wote
-
2:12 - 2:15Sababu yeye ndiye MKOMBOZI WAKO.
-
2:15 - 2:17Yeye ndiye mrejeshi wako.
-
2:17 - 2:19Yeye ndiye mtengenezaji wako
-
2:19 - 2:21Yeye ndiye muumbaji wako
-
2:21 - 2:23Yeye ndiye mtoa huduma wako
-
2:23 - 2:28Yeye ndiye mmiliki wa nafsi zetu na mponyaji wa vidonda vyetu.
-
2:28 - 2:32Ata gusa hali yako leo.
-
2:32 - 2:40nataka ukiri hali yako mbele ya MUNGU.
-
2:40 - 2:49Kama mwenye dhambi , anaye hitaji Rehema ya KIUNGU.
-
2:49 - 2:54Mwana wa Daudi , tuonee hurma .
-
2:54 - 2:59Mwana wa Daudi , tuonee huruma
-
2:59 - 3:02Fanya ombi hilo sasa.
-
3:33 - 3:37Ukiwa unakiri makosa yako.
-
3:37 - 3:45Safishwa kwa damu ya thamani sana ya YESU KRISTO.
-
3:57 - 4:02Unapo tubu dhambi zako.
-
4:02 - 4:10safishwa kwa damu ya thamana sana ya YESU KRISTO.
-
4:25 - 4:30Chochote kinachosumbua moyo wako, kinachovuruga moyo wako.
-
4:30 - 4:36Inuka juu yake na upokee Roho huru sasa!
-
4:36 - 4:40Pokea Roho huru kwa sababu ya KRISTO.
-
5:00 - 5:10Na kukawe na urejesho katika uhusiano wako na MUNGU.
-
5:25 - 5:32Kuna mioyo mingine bado imeweka ule uchungu wa zamani , umeshikilia kuto samehe.
-
5:32 - 5:39Naongea na moyo huo , achiliwa sasa.
-
5:39 - 5:44Achiliwa kwa jina la YESU KRISTO.
-
6:08 - 6:17Kuna nguvu katika jina kuu la YESU KRISTO.
-
6:17 - 6:23Kuna nguvu kwa hilo jina lenye thamani kubwa la YESU KRISTO.
-
6:23 - 6:30linalo fanya shetani na wakala wake watetemeke na wakimbie.
-
6:51 - 6:56sasa hivi , watu wa MUNGU, mahali popote ulipojiunga na ibada hii.
-
6:56 - 7:04Nataka uweke mkono wako kwenye kichwa chako na ukiri, sema na mimi sasa.
-
7:04 - 7:12mimi ni wa YESU KRISTO
-
7:12 - 7:14KIRI HIVI SASA.
-
7:40 - 7:47Wewe shetani , nakuamuru uondoe mkono wako!
-
7:47 - 7:50Ondoa mkono wako kwenye familia hiyo.
-
7:50 - 7:53Ondoa mkono wako kwenye nyumba ile
-
7:53 - 7:55Ondoa mkono wako kwenye ndoa ile.
-
7:55 - 8:02Nakuamuru sasa toka sasa hivi!
-
8:02 - 8:04Toka na vifungo vyako.
-
8:04 - 8:05Toka na mizigo yako.
-
8:05 - 8:08Ondoka kwa jina la YESU.
-
8:33 - 8:45Ndio ! na amuru kira roho mchafu afanyae kazi kwa kichwa chako , macho , masikio mdomo-
-
8:45 - 8:50wewe roho mchafu , toka sasa !
-
8:50 - 8:55Toka ! kwa jina kuu la YESU KRISTO
-
9:20 - 9:26Watu wa MUNGU ROHO MTAKATIFU ako anafanya kazi sasa, sikiza!
-
9:26 - 9:37Kila shambulizi la kimapenzi (Ngono) kwenye ndoto- huyo mwanamume wa ajabu au usiye mjua , mwanamke anayelala nawe-
-
9:37 - 9:42na sema achanishwa nae.
-
9:42 - 9:45achanishwa nae kwa jina LA YESU .
-
10:15 - 10:22Hua muunganiko na mume mchafu wa kiroho, uhu munganiko na mke wa kimapepo-
-
10:22 - 10:30na sema kwa huo muunganiko wa kimapepo! vunjwa sasa!
-
10:30 - 10:37Vunja huo muunganiko wa kimapepo. vunja !
-
11:06 - 11:13Hizo ndoto mbaya , huo uvamizi wa kiroho unaosumbua usingizi wako. usiku wako-
-
11:13 - 11:20Nasema kwa hizo ndoto mbaya, kunjika sasa.
-
11:48 - 11:56sasa hivi , hiyo tabia mbaya inayo fungua mlango wa kifungo maishani mwako-
-
11:56 - 12:04na sema sasa, wekwa huru!, wekwa huru, kwa jina la YESU KRISTO
-
12:04 - 12:07Wekwa huru kutokana na tabia mbaya!
-
12:07 - 12:09wekwa huru kutokana na uraibu!
-
12:09 - 12:14wekwa huru kwa jina la YESU KRISTO.
-
12:40 - 12:43Hilo gereza la uraibu-
-
12:43 - 12:55Uraibu wa pombe, sigara , picha za ngono, simu , mtandao, mitandao ya kijamii-
-
12:55 - 13:03na sema kwa huo uraibu , vunjika sasa.
-
13:03 - 13:06Vunjika! kwa jina la YESU KRISTO
-
13:06 - 13:10Wekwa huru kutokana na uraibu huo.
-
13:10 - 13:14Wekwa huru kwa jina la YESU KRISTO.
-
13:43 - 13:52Kuna watu wengi hii leo ambao wako chini ya uvamizi wa roho ya kuchanganyikiwa.
-
13:52 - 13:55Hawajielewi wao ni kina nani .
-
13:55 - 14:01Wamechanganyikiwa kuhusu wao ni kina nani haswa, kuhusu MUNGU ANASEMA WAO NI KINA NANI.
-
14:01 - 14:12Sasa ! na sema kwa huyo roho wa kuchanganyikiwa- tupwa inje.
-
14:12 - 14:17Tupwa inje, kwa jina la YESU KRISTO
-
14:49 - 14:53Watu wa MUNGU, katika hii hali ya IMANI , Tunaona ROHO MTAKATIFU AKITENDA KAZI.
-
14:53 - 14:55Tunamwona ROHO MTAKATIFU akitembea.
-
14:55 - 15:01Weka mkono wako mahali popote unapo hisi maumivu mwilini.
-
15:01 - 15:07Weka mkono wako hapo. kama mahali pa mawasiliano kwa imani
-
15:07 - 15:22Mahali popote ugonjwa ulipo kita mizizi na kuweka makao mwilini mwako, na tangaza uponyaji!
-
15:22 - 15:27Pokea uponyaji , kwa jina la YESU.
-
15:52 - 15:57Sikiliza , usikubali shida hiyo kama yako.
-
15:57 - 16:00Usikubali au kuhitimisha ugonjwa huo kama ni haki yako.
-
16:00 - 16:09Maandiko yanasema katika kitabu cha WAKORINTHO 6:19 kwamba mwili wako ni hekalu la ROHO MTAKATIFU,
-
16:09 - 16:14Sio hekalu la roho wa magonjwa, mateso ama uchungu.
-
16:14 - 16:26Sasa hivi , kuingo chochote kilicho haribiwa na roho wa magonjwa.
-
16:26 - 16:37na tangaza kuhuwishwa (Urejesho), Huwishwa!
-
17:18 - 17:28Kila kiungo kilicho haribiwa mwilini mwako- anza kutenda kazi sasa!
-
17:28 - 17:32Mahali popote palipo haribiwa moyoni mwako-
-
17:32 - 17:35Je ni akilini mwako ? je ni tumboni mwako?.
-
17:35 - 17:38Je ni mapafu , maini, figo zako ?
-
17:38 - 17:45Mahali popote palipo haribiwa , anza kufanya kazi sasa !
-
17:45 - 17:50Fanya kazi kwa nguvu iliyoko kwa jina la YESU KRISTO.
-
18:23 - 18:26Ni wapi ugonjwa huo ulipo jificha?.
-
18:26 - 18:31Ni wapi ugonjwa huo unapo vizia mwilini mwako ?.
-
18:31 - 18:37sasa! chochote ulicho kula kutoka kwa meza ya adui .
-
18:37 - 18:43Kwenye ndoto ambacho kimetia au kuleta sumu mwilini.
-
18:43 - 18:52nasema sasa- safishwa inje(Tolewa inje )
-
18:52 - 18:58Itapike sasa, tapika ugonjwa huo, sumu
-
18:58 - 19:04Hayo mateso usiyo yaelewa- toka sasa!
-
19:47 - 19:51Najua kuna wengine wetu wako na picha za wapendwa wetu.
-
19:51 - 19:56Hawako ki mwili na wewe kwa maombi haya lakini kwa imani wako na wewe.
-
19:56 - 20:02Shikilia juu picha zao sasa., tusimame kwa imani kwa niaba yao.
-
20:02 - 20:15Nasema kwake huyo mwana familia, kwa huyo mpendwa aliye katika kifungo cha uraibu, ukaidi, kifungoni
-
20:15 - 20:23Mahali popote walipo sasa- wekwa huru!
-
20:23 - 20:28Wekwa huru kwa jina la YESU!
-
20:55 - 21:00Natuma neno la imani kwa huyo mpendwa aliye kitandani mgonjwa.
-
21:00 - 21:08Aliyezingirwa na magonjwa, huzuni , shida.
-
21:08 - 21:16kwa jina la YESU , wekwa huru!
-
21:16 - 21:20wekwa huru kwa jina la YESU.
-
21:49 - 21:55Nataka sasa kufanya maombi na walioko kwa ndoa, walioko kwa ibada hii
-
21:55 - 22:00kama uko hapa na mume wako ama mke wako sasa-
-
22:00 - 22:01tafadhali mshiliane mikono.
-
22:01 - 22:04Wacha tukaombee ndoa.
-
22:04 - 22:14Chochote kinacho kuibia pumziko katika ndoa yako , nyumbani mwako,
-
22:14 - 22:22nasema sasa- ondolewa ! ondolewa kwa jina la YESU!
-
22:44 - 22:52Natamka urejesho kwa nyumba yako , Huwishwa!
-
22:52 - 22:56Wacha mateso hayo yakaondolewe.(Huwishwa)
-
22:56 - 23:00Wacha kuelewana kukarejeshwe.
-
23:00 - 23:07Wacha umoja ukarudishwe.
-
23:33 - 23:37Kuna nyumba nyingi ambazo zina kosa amani leo.
-
23:37 - 23:45Sababu badala tupate somo na makosa yetu tunayarudia.
-
23:45 - 23:51Sababu ya haya sio mbali na kiburi.
-
23:51 - 23:58Na amuru kila roho wa kiburianaye sababisha usitambue makosa yako.
-
23:58 - 24:03Huyo roho wa kiburi- toka sasa!
-
24:03 - 24:08Toka kwa ndoa yako !, toka inje ya nyumba yako ! toka inje ya familia yako!
-
24:08 - 24:12toka kwa JINA LA YESU KRISTO.
-
24:50 - 24:56Mabwana na mabibi mlioko chini ya ibada hii- sikiliza hii
-
24:56 - 24:59Weka yakale na uendelee mbele.
-
24:59 - 25:04Weka mambo madogo madogo nyuma na uendelee mbele
-
25:04 - 25:06Endelea mbele na ndoa yako
-
25:06 - 25:08Endelea mbele katika utu uzima
-
25:08 - 25:09endelea mbele kwa upendo.
-
25:09 - 25:11Endelea mbele katika kuelewana
-
25:11 - 25:15Pokea neema ya kuendelea mbele.
-
25:49 - 25:54katika hali hiyo, kuna wengi wetu wamejiunga sasa
-
25:54 - 26:02ambao biashara zao , kazi zao , zimekwama au ziko katika hali ya Vilio.
-
26:02 - 26:09mzunguko wa ukosefu , yatosha yatosha!
-
26:09 - 26:17sasa! pokea neema ya kuendelea mbele kwa biashara yako.
-
26:17 - 26:19Endelea mbele kifedha.
-
26:19 - 26:21Endelea mbele katika kazi yako.
-
26:21 - 26:25Endelea mbele.
-
26:25 - 26:28Usikwame katika vilio.
-
26:28 - 26:30Usijikute katika kubeba mambo ya kale na kuyaleta katika wakati huu
-
26:30 - 26:33endelea mbele kwa jina la YESU.
-
27:26 - 27:33Kwa mammlaka yalioko kwa jina la YESU KRISTO.
-
27:33 - 27:37Wekwa kunako mafanikio
-
27:37 - 27:41Wekwa katika mafanikio ya kiungu.
-
27:41 - 27:45wekwa katika kibali kisicho cha kawaida.
-
27:45 - 27:51wekwa katika kuendelea.
-
28:15 - 28:19Wenye wanatafuta kuajiriwa kazi,
-
28:19 - 28:24nawaambia sasa- wekwa kwa kazi yako!
-
28:24 - 28:29Wenye mnao cheleweshwa kupandishwa cheo kazini.
-
28:29 - 28:33nawaambia sasa- wekwa katika kupandishwa ngazi.
-
28:33 - 28:39Wekwa katika maongezeko! wekwa katika kuendelea !
-
29:06 - 29:14Watu wa MUNGU! nataka kufanya Ombi sasa kwa wanafunzi.
-
29:14 - 29:20Najua kuna wanafunzi wengi wanaosomea mitihani, na walioko katikati mwa mitihani.
-
29:20 - 29:22nataka kuwaombea sasa.
-
29:22 - 29:32Kama unavyo omba kama kila kitu kinategemea MUNGU, na kusoma kama kila kitu kinakutegemea wewe
-
29:32 - 29:38pokea Neema ya kufaulu!
-
29:38 - 29:46natangaza kufaulu kimasomo kwa jina la YESU.
-
30:14 - 30:27Huyo roho wa kuhairisha mambo - toka sasa, kwa jina la YESU.
-
30:45 - 30:57Chochote kinachokatiza mtazamo wako au kuzingatia kwako- toka ondolewa ! ondoka sasa!
-
30:57 - 31:05Hiyo roho ya kupoteza mwelekeo au mtazamo - nasema , toka kwa JINA LA YESU.
-
31:30 - 31:35Watu wa MUNGU , sasa , nataka ushikilie bendera ya inchi yako.
-
31:35 - 31:40Tusimame kwa Maombi kwa ajili ya mataifa ya duniani.
-
31:40 - 31:52Chochote kinacholeta mvutano kwa inchi yako , kiwe ni siyasa, dini ama mvutano wa kitamaduni.
-
31:52 - 32:01Mvutano wowote , mwulize MUNGU sasa kwa utulivu utawale inchi yako
-
32:01 - 32:07Kwa amani yake itawale, kwa haki yake itawale inchi yako.
-
32:07 - 32:15Mwulize sasa kwa huo utulivu kutoka juu utawale inchi yako.
-
32:52 - 33:01Mwulize MUNGU sasa akusaidie upate tabia za KIUNGU.
-
33:01 - 33:05Zenye zitakusaidia kulinda ama kuhifadhi uhusiano na YEYE
-
33:05 - 33:07Mwombe sasa.
-
33:07 - 33:15Mwombe MUNGU akusaidie upate tabia za KIUNGU zenye zita kutia nguvu maisha yako ya ROHONI.
-
33:15 - 33:19Zenye zitakusaidia kuhifathi ama kutunza uhusiano wako na YEYE
-
33:19 - 33:22Mwombe sasa!
-
33:57 - 34:11Kwa hii safari ya imani, mwulize MUNGU akusaidie uinuke juu ya uwoga, wasiwasi,
-
34:11 - 34:19Mwulize sasa, Mwulize YEYE. Akusaidie upande juu ya yote.
-
34:48 - 34:58Huo mtego wa kujilinganisha- nasema , panda juu yake.
-
34:58 - 35:05Mtego wa kujilinganisha uliotiwa moto na ubinadamu wa nyama na damu panda juu yake.
-
35:05 - 35:13Huo mtego wa kujiona duni- panda juu yake kwa JINA LA YESU.
-
35:45 - 35:52Kwa jina la YESU KRISTO TUMEOMBA.
-
35:59 - 36:12Watu wa MUNGU, KATIKA ZAMBURI 107:13-14 MAANDIKO YANASEMA HIVI :
-
36:12 - 36:21Alafu wakamlilia MUNGU wakati washida,
-
36:21 - 36:25NAE AKAWAOKOA KUTOKA KWA MATESO
-
36:25 - 36:32Akawatoa kutoka giza, na minyororo ya Kifo.
-
36:32 - 36:38na akavunja minyororo vipande vipande.
-
36:38 - 36:44Leo, nasema kwako kwa imani-
-
36:44 - 36:57MUNGU AMEKUTOA WEWE GIZANI NA AKAKULETA KWA MWANGAZA WAKE MKUUNA AKAVUNJA HIYO MINYORORO!
-
36:57 - 37:03AMEKUTOA KWA KIFUNGO HICHO NA AKAKUWEKA HURU
-
37:03 - 37:07AMEKUTOA KWA MAGONJWA AKAKUWEKA KWENYE UZIMA WA AFYA.
-
37:07 - 37:11Amekutoa kwa uwoga akakuweka kunako uhuru.
-
37:11 - 37:15Amekutoa kunako uchungu akakuweka kunako amani.
-
37:15 - 37:22Amekukomboa na kuvunja hiyo minyororo.
-
37:22 - 37:24Furahia kuwekwa huru kwako.
-
37:24 - 37:28Leo , umewekwa katika nafasi ya kuendelea na mafanikio
-
37:28 - 37:31Umewekwa nafasi ya maendeleo na mafanikio
-
37:31 - 37:34Umewekwa nafasi ya mpenyo wa kiungu.
-
37:34 - 37:37Umewekwa nafasi ya upendeleo wa kiungu usio wa kawaida.
-
37:37 - 37:40Umewekwa kwa , katika nafasi za kipekee.
-
37:40 - 37:45Furahia kuachiliwa kwako.
-
37:45 - 37:56Lakini weka hili makini- leo umewekwa karika masafa ya kiungu au mbiguni.
-
37:56 - 38:07Usikubali hali yeyote ya Dunia hii kuweka moyo wako chini, kaa umejiunganisha.
-
38:07 - 38:10Usirudie kutosamehe kwako
-
38:10 - 38:12usirudie nyuma tena kwa hali yako ya zamani.
-
38:12 - 38:16Usirudi nyuma kwa uongo wa shetani
-
38:16 - 38:19Kua umeunganika.
-
38:19 - 38:29shetani anawezatu fanikiwa kukudanganya wakati umejiteremsha kiwango chake
-
38:29 - 38:38Vifaa vyake vya vita vinaweza fanya kazi tu ukijiteremsha kwa kiwanja chake cha vita.
-
38:38 - 38:44Hii ni wakati unapigana kwa Damu na nyama
-
38:44 - 38:55Sababu mwamini au mkristo anayetembelea hali ya dunia hawezani na shetani
-
38:55 - 39:00Kwa hiyo watu wa MUNGU , Hii inamaanisha nini kwa mimi na wewe.
-
39:00 - 39:06Usikuwe tu wa kiroho wakati tu wa ibada.
-
39:06 - 39:11kua wa kiroho wakati wowote wa maisha yako.
-
39:11 - 39:20Kumtafuta MUNGU isikue tu ya msimu ama wakati uko na matatizo flani yanakusukuma
-
39:20 - 39:25hapana , iwe jambo la kila siku maishani mwako.
-
39:25 - 39:34kwa hiyo ndio ufarahie muujiza , baraka , na uhuru , na mguso uliopokea leo .
-
39:34 - 39:43Tumia imani yako siku baada ya siku , lisaa baada ya lisaa, dakika baada ya dakika, sekunde baada ya sekunde....
-
Not Synced.......
-
Not Synced
- Title:
- WEKWA KATIKA NAFASI ya MAENDELEO!!! | Maombi ya Mafanikio | Ndugu Chris
- Description:
-
more » « less
Jiunge na wakati huu wa maombi ya nguvu- pamoja na maelfu ya waumini duniani - naupokee kufanikiwa kwa ajabu kwa kila kitengo cha maisha yako kwa JINA LA YESU
MAELEZO
Kwa mamlaka yaliyoko kwa jina KUU LA YESU KRISTO, Wekwa katika Nafasi nzuri ya kufanikiwa! wekwa katika mpenyo wa kiungu! wekwa katika upendeleo usiokua wa kawaida.! wekwa katika kuendelea! - NDUGU CHRIS - Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 40:13
| georgejbudeba edited Swahili subtitles for Be POSITIONED for PROGRESS!!! | Breakthrough Prayer | Brother Chris | ||
| georgejbudeba edited Swahili subtitles for Be POSITIONED for PROGRESS!!! | Breakthrough Prayer | Brother Chris | ||
| georgejbudeba edited Swahili subtitles for Be POSITIONED for PROGRESS!!! | Breakthrough Prayer | Brother Chris | ||
| georgejbudeba edited Swahili subtitles for Be POSITIONED for PROGRESS!!! | Breakthrough Prayer | Brother Chris | ||
| georgejbudeba edited Swahili subtitles for Be POSITIONED for PROGRESS!!! | Breakthrough Prayer | Brother Chris | ||
| georgejbudeba edited Swahili subtitles for Be POSITIONED for PROGRESS!!! | Breakthrough Prayer | Brother Chris | ||
| georgejbudeba edited Swahili subtitles for Be POSITIONED for PROGRESS!!! | Breakthrough Prayer | Brother Chris | ||
| georgejbudeba edited Swahili subtitles for Be POSITIONED for PROGRESS!!! | Breakthrough Prayer | Brother Chris |