-
Kwa mamlaka ya jina kuu la YESU KRISTO
-
Wekwa katika mkao wa ushindi na mafanikio
-
Wekwa katika mkao wa mafanikio ya KIUNGU
-
Wekwa katika mkao wa neema sizizo kua za kawaida
-
wekwa mahali pa kuendelea!
-
Naongea na kila moyo ulio kua chini ya maombi haya .
-
Naongea na kila Moyo uliounganika na ibada hii kwa mwaliko wa kiungu.
-
Ni wakati wa kuamka.
-
Naona watu wakisimama kwa miguu yao kwa maombi.
-
Hilo ni jema , hilo ni la ajabu sana.
-
Lakini kumbuka , kusimama kwa kweli ni moyoni.
-
Ikija kwa mambo ya MUNGU , la muhimu sio mwilini.
-
Cha muhimu ni kuweka tayari Mioyo yetu.
-
Ninaposema , "niwakati wa kusimama " simaanishi tu kusimama kwa miguu
-
Ninachomaanisha ni , wacha mioyo iinuke na itafute vitu vilivyo juu.
-
Amka juu !
-
Amka sasa
-
Amka ukashinde kutosamehe
-
Amka juu ya maumivu ya zamani
-
Amka ukashinde uchungu .
-
Amka ukaushinde tamaa ya vitu za dunia
-
Amka juu ukaushinde tamaa ya mwili.
-
Inuka juu ya mambo ya kawaida
-
Na ukampe , YESU KRISTO umakini wote
-
Sababu yeye ndio MKOMBOZI WAKO.
-
Yeye ndie mrejeshi wako.
-
Yeye ndie mtengenezaji wako
-
Yeye ndie muumbaji wako
-
Yeye ndie mtoa huduma wako
-
Yeye ndie mwenye nafsi zetu na mponyaji wa vidonda vyetu.
-
Ata gusa hali yako leo.
-
nataka ukiri hali yako mbele ya MUNGU.
-
Kama mwenye dhambi , anaye hitaji Rehema ya KIUNGU.
-
Mwana wa Daudi , tuone hurma .
-
Mwana wa Daudi , tuonee huruma
-
Fanya ombi hilo sasa.
-
Ukiwa unakiri makosa yako.
-
Safishwa na damu ya dhamani sana ya YESU KRISTO.
-
Unapo tubu dhambi zako.
-
safishwa na damu ya thamana sana ya YESU KRISTO.
-
Chochote kinacho sumbua moyo wako., kinachosumbua moyo wako.
-
Inuka juu yake na upokee Roho huru sasa!
-
Pokea Roho huru kwa sababu ya KRISTO.
-
Wacha kukawe na urejesho katika uhusiano wako na MUNGU.
-
Kuna mioyo mingine bado imeweka ule uchungu wa zamani , umeshikilia kuto samehe.
-
Naongea na muyo huo , achiliwa sasa.
-
Achiliwa kwa jina la YESU KRISTO.
-
Kuna nguvu katika jina kuu la YESU KRISTO.
-
Kuna nguvu kwa hilo jina lenye dhamani kubwa la YESU KRISTO.
-
linalo fanya shetani na wakala wake watetemeke na wakimbie.
-
sasa hivi , watu wa MUNGU, mahali popote ulipojiunga na ibada hii.
-
Nataka uweke mkono wako kwa kichwa chako na ukiri, sema na mimi sasa.
-
mimi ni wa YESU KRISTO
-
KIRI HAYA SASA.
-
Wewe shetani , nakuamuru uondoe mkono wako!
-
Ondoa mkono wako kwa familia hiyo.
-
Ondoa mkono wako kwa nyumba ile
-
Ondoa mkono wako kwa ndoa ile.
-
Nakuamuru sasa toka sasa hivi!
-
Toka na utumwa wako.
-
Toka na mizigo yako.
-
Ondoka kwa jina la YESU.
-
Ndio ! na amuru kira roho mchafu afanyae kazi kwa kichwa chako , macho , masikio mdomo-
-
wewe roho mchafu , toka sasa !
-
Toka ! kwa jina kuu la YESU KRISTO
-
Watu wa MUNGU ROHO MTAKATIFU ako anafanya kazi sasa, sikiza!
-
Kila shambulizi la kimapenzi (Ngono) kwenye ndoto- huyo mwanamume wa ajabu au usiye mjua , mwanamke anayelala nawe-
-
na sema achanishwa nae.
-
achanishwa nae kwa jina LA YESU .
-
Hua muunganiko na mume mchafu wa kiroho, uhu munganiko na mke wa kimapepo-
-
na sema kwa huo muunganiko wa kimapepo! vunjwa sasa!
-
Vunja huo muunganiko wa kimapepo. vunja !
-
Hizo ndoto mbaya , huo uvamizi wa kiroho unaosumbua usingizi wako. usiku wako-
-
Nasema kwa hizo ndoto mbaya, kunjika sasa.
-
sasa hivi , hiyo tabia mbaya inayo fungua mlango wa kifungo maishani mwako-
-
na sema sasa, wekwa huru!, wekwa huru, kwa jina la YESU KRISTO
-
Wekwa huru kutokana na tabia mbaya!
-
wekwa huru kutokana na uraibu!
-
wekwa huru kwa jina la YESU KRISTO.
-
Hilo gereza la uraibu-
-
Uraibu wa pombe, sigara , picha za ngono, simu , mtandao, mitandao ya kijamii-
-
na sema kwa huo uraibu , vunjika sasa.
-
Vunjika! kwa jina la YESU KRISTO
-
Wekwa huru kutokana na uraibu huo.
-
Wekwa huru kwa jina la YESU KRISTO.
-
Kuna watu wengi hii leo ambao wako chini ya uvamizi wa roho ya kuchanganyikiwa.
-
Hawajielewi wao ni kina nani .
-
Wamechanganyikiwa kuhusu wao ni kina nani haswa, kuhusu MUNGU ANASEMA WAO NI KINA NANI.
-
Sasa ! na sema kwa huyo roho wa kuchanganyikiwa- tupwa inje.
-
Tupwa inje, kwa jina la YESU KRISTO
-
Watu wa MUNGU, katika hii hali ya IMANI , Tunaona ROHO MTAKATIFU AKITENDA KAZI.
-
Tunamwona ROHO MTAKATIFU akitembea.
-
Weka mkono wako mahali popote unapo hisi maumivu mwilini.
-
Weka mkono wako hapo. kama mahali pa mawasiliano kwa imani
-
Mahali popote ugonjwa ulipo kita mizizi na kuweka makao mwilini mwako, na tangaza uponyaji!
-
Pokea uponyaji , kwa jina la YESU.
-
Sikiliza , usikubali shida hiyo kama yako.
-
Usikubali au kuhitimisha ugonjwa huo kama ni haki yako.
-
Maandiko yanasema katika kitabu cha WAKORINTHO 6:19 kwamba mwili wako ni hekalu la ROHO MTAKATIFU,
-
Sio hekalu la roho wa magonjwa, mateso ama uchungu.
-
Sasa hivi , kuingo chochote kilicho haribiwa na roho wa magonjwa.
-
na tangaza kuhuwishwa (Urejesho), Huwishwa!
-
Kila kiungo kilicho haribiwa mwilini mwako- anza kutenda kazi sasa!
-
Mahali popote palipo haribiwa moyoni mwako-
-
Je ni akilini mwako ? je ni tumboni mwako?.
-
Je ni mapafu , maini, figo zako ?
-
Mahali popote palipo haribiwa , anza kufanya kazi sasa !
-
Fanya kazi kwa nguvu iliyoko kwa jina la YESU KRISTO.
-
Ni wapi ugonjwa huo ulipo jificha?.
-
Ni wapi ugonjwa huo unapo vizia mwilini mwako ?.
-
sasa! chochote ulicho kula kutoka kwa meza ya adui .
-
Kwenye ndoto ambacho kimetia au kuleta sumu mwilini.
-
nasema sasa- safishwa inje(Tolewa inje )
-
Itapike sasa, tapika ugonjwa huo, sumu
-
Hayo mateso usiyo yaelewa- toka sasa!
-
Najua kuna wengine wetu wako na picha za wapendwa wetu.
-
Hawako ki mwili na wewe kwa maombi haya lakini kwa imani wako na wewe.
-
Shikilia juu picha zao sasa., tusimame kwa imani kwa niaba yao.
-
Nasema kwake huyo mwana familia, kwa huyo mpendwa aliye katika kifungo cha uraibu, ukaidi, kifungoni
-
Mahali popote walipo sasa- wekwa huru!
-
Wekwa huru kwa jina la YESU!
-
Natuma neno la imani kwa huyo mpendwa aliye kitandani mgonjwa.
-
Aliyezingirwa na magonjwa, huzuni , shida.
-
kwa jina la YESU , wekwa huru!
-
wekwa huru kwa jina la YESU.
-
Nataka sasa kufanya maombi na walioko kwa ndoa, walioko kwa ibada hii
-
kama uko hapa na mume wako ama mke wako sasa-
-
tafadhali mshiliane mikono.
-
Wacha tukaombee ndoa.
-
Chochote kinacho kuibia pumziko katika ndoa yako , nyumbani mwako,
-
nasema sasa- ondolewa ! ondolewa kwa jina la YESU!
-
Natamka urejesho kwa nyumba yako , Huwishwa!
-
Wacha mateso hayo yakaondolewe.(Huwishwa)
-
Wacha kuelewana kukarejeshwe.
-
Wacha umoja ukarudishwe.
-
Kuna nyumba nyingi ambazo zina kosa amani leo.
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-