Return to Video

MasterFirefoxOS.com: Firefox Browser

  • 0:07 - 0:13
    Kivinjari cha Firefox kina kasi na salama kupata yaliyo bora mtandaoni
  • 0:13 - 0:17
    Wateja wako wanaweza tazama tovuti zao kutoka kwa skrini zao za nyumbani
  • 0:18 - 0:20
    ama watumie ubao wa kutafuta au watembelee tovuti,
  • 0:21 - 0:24
    tafuta na ufikie historia ya kuvinjari
  • 0:24 - 0:28
    ongeza tabo na utembelee kurasa tofauti kwa mara moja.
  • 0:29 - 0:31
    Yote imeundwa na Mozilla
  • 0:31 - 0:38
    jamii ya dunia nzima iliyojitolea kuhakikisha kuwa mtandao umebaki wazi na unaweza fikiwa na wote.
Title:
MasterFirefoxOS.com: Firefox Browser
Video Language:
English
Duration:
0:39

Swahili subtitles

Revisions