[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:06.78,0:00:12.93,Default,,0000,0000,0000,,Kivinjari cha Firefox kina kasi na salama kupata yaliyo bora mtandaoni Dialogue: 0,0:00:13.20,0:00:17.30,Default,,0000,0000,0000,,Wateja wako wanaweza tazama tovuti zao kutoka kwa skrini zao za nyumbani Dialogue: 0,0:00:17.68,0:00:20.30,Default,,0000,0000,0000,,ama watumie ubao wa kutafuta au watembelee tovuti, Dialogue: 0,0:00:20.55,0:00:24.31,Default,,0000,0000,0000,,tafuta na ufikie historia ya kuvinjari Dialogue: 0,0:00:24.44,0:00:28.18,Default,,0000,0000,0000,,ongeza tabo na utembelee kurasa tofauti kwa mara moja. Dialogue: 0,0:00:29.08,0:00:31.05,Default,,0000,0000,0000,,Yote imeundwa na Mozilla\N Dialogue: 0,0:00:31.05,0:00:38.14,Default,,0000,0000,0000,,jamii ya dunia nzima iliyojitolea kuhakikisha kuwa mtandao umebaki wazi na unaweza fikiwa na wote.