1 00:00:06,780 --> 00:00:12,930 Kivinjari cha Firefox kina kasi na salama kupata yaliyo bora mtandaoni 2 00:00:13,200 --> 00:00:17,300 Wateja wako wanaweza tazama tovuti zao kutoka kwa skrini zao za nyumbani 3 00:00:17,680 --> 00:00:20,300 ama watumie ubao wa kutafuta au watembelee tovuti, 4 00:00:20,550 --> 00:00:24,310 tafuta na ufikie historia ya kuvinjari 5 00:00:24,440 --> 00:00:28,180 ongeza tabo na utembelee kurasa tofauti kwa mara moja. 6 00:00:29,080 --> 00:00:31,050 Yote imeundwa na Mozilla 7 00:00:31,050 --> 00:00:38,138 jamii ya dunia nzima iliyojitolea kuhakikisha kuwa mtandao umebaki wazi na unaweza fikiwa na wote.