Kivinjari cha Firefox kina kasi na salama kupata yaliyo bora mtandaoni Wateja wako wanaweza tazama tovuti zao kutoka kwa skrini zao za nyumbani ama watumie ubao wa kutafuta au watembelee tovuti, tafuta na ufikie historia ya kuvinjari ongeza tabo na utembelee kurasa tofauti kwa mara moja. Yote imeundwa na Mozilla jamii ya dunia nzima iliyojitolea kuhakikisha kuwa mtandao umebaki wazi na unaweza fikiwa na wote.