0:00:06.780,0:00:12.930 Kivinjari cha Firefox kina kasi na salama kupata yaliyo bora mtandaoni 0:00:13.200,0:00:17.300 Wateja wako wanaweza tazama tovuti zao kutoka kwa skrini zao za nyumbani 0:00:17.680,0:00:20.300 ama watumie ubao wa kutafuta au watembelee tovuti, 0:00:20.550,0:00:24.310 tafuta na ufikie historia ya kuvinjari 0:00:24.440,0:00:28.180 ongeza tabo na utembelee kurasa tofauti kwa mara moja. 0:00:29.080,0:00:31.050 Yote imeundwa na Mozilla[br] 0:00:31.050,0:00:38.138 jamii ya dunia nzima iliyojitolea kuhakikisha kuwa mtandao umebaki wazi na unaweza fikiwa na wote.