< Return to Video

KANUNI Hii Itabadilisha Maisha Yako Ya MAOMBI!

  • 0:00 - 0:03
    Acha kuomba dhidi ya adui zako
  • 0:03 - 0:06
    na anza kuomba dhidi ya udhaifu wako.
  • 0:06 - 0:10
    Kwa sababu udhaifu wako ndio njia, njia
  • 0:10 - 0:12
    ambayo shetani hutumia kuingia
  • 0:12 - 0:15
    na kukupiga, kukutesa na kukugusa.
Title:
KANUNI Hii Itabadilisha Maisha Yako Ya MAOMBI!
Description:

ACHA kuomba dhidi ya adui zako na ANZA kuomba dhidi ya udhaifu wako!

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:15

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions