0:00:00.000,0:00:02.960 Acha kuomba dhidi ya adui zako 0:00:02.960,0:00:06.400 na anza kuomba dhidi ya udhaifu wako. 0:00:06.400,0:00:10.080 Kwa sababu udhaifu wako ndio njia, njia 0:00:10.080,0:00:12.080 ambayo shetani hutumia kuingia 0:00:12.080,0:00:14.680 na kukupiga, kukutesa na kukugusa.