Acha kuomba dhidi ya adui zako na anza kuomba dhidi ya udhaifu wako. Kwa sababu udhaifu wako ndio njia, njia ambayo shetani hutumia kuingia na kukupiga, kukutesa na kukugusa.