Acha kuomba dhidi ya adui zako
na anza kuomba dhidi ya udhaifu wako.
Kwa sababu udhaifu wako ndio njia, njia
ambayo shetani hutumia kuingia
na kukupiga, kukutesa na kukugusa.