< Return to Video

MAOMBI YA UPONYAJI katika JINA LA YESU!

  • 0:00 - 0:04
    Weka mkono wako popote unapohisi maumivu
  • 0:04 - 0:06
    katika mwili wako.
  • 0:06 - 0:11
    Weka mkono wako hapo kama mahali pa kuwasiliana kwa imani.
  • 0:11 - 0:20
    Popote pale ugonjwa huo ulipokita mizizi au kukaa ndani yako,
  • 0:20 - 0:23
    Natangaza uponyaji!
  • 0:23 - 0:29
    Uponywe, katika jina la Yesu!
  • 0:29 - 0:38
    Maandiko yanasema katika 1 Wakorintho 6:19 miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu;
  • 0:38 - 0:43
    sio hekalu la roho ya magonjwa, mateso au maumivu.
  • 0:43 - 0:49
    Hivi sasa, kiungo chochote katika mwili wako
  • 0:49 - 0:53
    kilichoharibiwa na roho ya ugonjwa,
  • 0:53 - 0:56
    Ninatangaza urejesho.
  • 0:56 - 1:00
    Urejeshwe!
Title:
MAOMBI YA UPONYAJI katika JINA LA YESU!
Description:

“Maandiko yanasema katika 1 Wakorintho 6:19 kwamba mwili wako ni hekalu la Roho Mtakatifu, si hekalu la roho ya magonjwa, mateso au maumivu. Hivi sasa, kiungo chochote katika mwili wako kilichoharibiwa na roho ya ugonjwa, natangaza urejesho. Urejeshwe, katika jina la Yesu!” - Ndugu Chris

Ili kupokea maombi bila malipo kutoka kwa Ndugu Chris wakati wa Huduma ya Maombi Shirikishi kupitia Zoom, tafadhali tuma ombi lako la maombi hapa - https://www.godsheart.tv/zoom

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:59

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions