[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:04.04,Default,,0000,0000,0000,,Weka mkono wako popote unapohisi maumivu Dialogue: 0,0:00:04.04,0:00:05.60,Default,,0000,0000,0000,,katika mwili wako. Dialogue: 0,0:00:05.60,0:00:10.52,Default,,0000,0000,0000,,Weka mkono wako hapo kama mahali pa kuwasiliana kwa imani. Dialogue: 0,0:00:10.52,0:00:20.08,Default,,0000,0000,0000,,Popote pale ugonjwa huo ulipokita mizizi au kukaa ndani yako, Dialogue: 0,0:00:20.08,0:00:23.16,Default,,0000,0000,0000,,Natangaza uponyaji! Dialogue: 0,0:00:23.16,0:00:29.40,Default,,0000,0000,0000,,Uponywe, katika jina la Yesu! Dialogue: 0,0:00:29.40,0:00:37.80,Default,,0000,0000,0000,,Maandiko yanasema katika 1 Wakorintho 6:19 miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu; Dialogue: 0,0:00:37.80,0:00:43.32,Default,,0000,0000,0000,,sio hekalu la roho ya magonjwa, mateso au maumivu. Dialogue: 0,0:00:43.32,0:00:48.84,Default,,0000,0000,0000,,Hivi sasa, kiungo chochote katika mwili wako Dialogue: 0,0:00:48.84,0:00:53.12,Default,,0000,0000,0000,,kilichoharibiwa na roho ya ugonjwa, Dialogue: 0,0:00:53.12,0:00:56.04,Default,,0000,0000,0000,,Ninatangaza urejesho. Dialogue: 0,0:00:56.04,0:00:59.88,Default,,0000,0000,0000,,Urejeshwe!