0:00:00.000,0:00:04.040 Weka mkono wako popote unapohisi maumivu 0:00:04.040,0:00:05.600 katika mwili wako. 0:00:05.600,0:00:10.520 Weka mkono wako hapo kama mahali pa kuwasiliana kwa imani. 0:00:10.520,0:00:20.080 Popote pale ugonjwa huo ulipokita mizizi au kukaa ndani yako, 0:00:20.080,0:00:23.160 Natangaza uponyaji! 0:00:23.160,0:00:29.400 Uponywe, katika jina la Yesu! 0:00:29.400,0:00:37.800 Maandiko yanasema katika 1 Wakorintho 6:19 miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu; 0:00:37.800,0:00:43.320 sio hekalu la roho ya magonjwa, mateso au maumivu. 0:00:43.320,0:00:48.840 Hivi sasa, kiungo chochote katika mwili wako 0:00:48.840,0:00:53.120 kilichoharibiwa na roho ya ugonjwa, 0:00:53.120,0:00:56.040 Ninatangaza urejesho. 0:00:56.040,0:00:59.880 Urejeshwe!