< Return to Video

How to handle PROVOCATION in relationships!

  • 0:00 - 0:06
    Mambo ambayo yanaweza kusababisha migongano,kutokuelewana na matatizo
  • 0:06 - 0:08
    katika mahusiano ya kibinadamu, huwa hayakosekani,
  • 0:08 - 0:16
    Lakini kadiri unavyotegemea mwitiko wako kwenye matendo ya mtu mwingine,
  • 0:16 - 0:19
    kamwe hautapatia.
  • 0:19 - 0:20
    Namaanisha nini?
  • 0:20 - 0:26
    'Hey, alinikasirisha. Ndiyo maana nina hasira.'
  • 0:26 - 0:29
    'Aliniambia hivi. Ndiyo maana nilimfokea tena.'
  • 0:29 - 0:36
    Kadiri unavyoegemeza mwitikio wako kwenye kitendo cha mtu huyo, umekosea
  • 0:36 - 0:40
    kwa sababu unafanya kazi chini ya kiwango kilichoundwa na mwanadamu, si kiwango cha Mungu.
  • 0:40 - 0:42
    Mtu anaweza kukuchokoza.
  • 0:42 - 0:46
    Angalia, simtetei mtu kama huyo. Ni vibaya kumkasirisha mtu.
  • 0:46 - 0:52
    Lakini majibu yangu ya hasira sio jukumu la mtu huyo, ni langu.
  • 0:52 - 0:56
    Jibu langu la hasira linaonyesha mahali ambapo moyo wangu hauko vizuri na Mungu,
  • 0:56 - 0:58
    si kile ambacho mtu huyo amekifanya ili kunikasirisha.
Title:
How to handle PROVOCATION in relationships!
Description:

Mambo ambayo yanaweza kusababisha migongano,kutokuelewana na matatizo katika mahusiano ya kibinadamu, huwa hayakosekani,Lakini kadiri unavyotegemea mwitiko wako kwenye matendo ya mtu mwingine, kamwe hautapatia. Namaanisha nini? 'Hey, alinikasirisha. Ndiyo maana nina hasira.''Aliniambia hivi. Ndiyo maana nilimfokea tena.'Kadiri unavyoegemeza mwitikio wako kwenye kitendo cha mtu huyo, umekosea kwa sababu unafanya kazi chini ya kiwango kilichoundwa na mwanadamu, si kiwango cha Mungu. Mtu anaweza kukuchokoza. Angalia, simtetei mtu kama huyo. Ni vibaya kumkasirisha mtu. Lakini majibu yangu ya hasira sio jukumu la mtu huyo, ni langu. Jibu langu la hasira linaonyesha mahali ambapo moyo wangu hauko vizuri na Mungu,si kile ambacho mtu huyo amekifanya ili kunikasirisha.

Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa Kaka Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=xfA4ENvxvh

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:59

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions