-
-
Hebu tufanye maswali ya kugawanya.
-
Tunachukua 280 na tunaigawanya kwa 5.
-
Ninakushauri usimamishe video
-
na ujaribu kutumia njia
-
tulizojifunza mwanzo kujua
-
280 gawanya kwa 5 ni ngapi.
-
Tuanze.
-
Tunaweza kuandika tena.
-
Tumeshaona ni 280 gawanya kwa 5.
-
Swali la kwanza kujiuliza
-
ni 5 inaingia kwa 2 mara ngapi?
-
5 haingii kwa 2.
-
Inaingia mara 0.
-
0 mara 5 ni 0.
-
Na kisha tunatoa.
-
2 kutoa 0 ni 2.
-
Na sasa, tunaweza kushusha tarakimu inayofuata,
-
ambayo katika mfano huu ni 8.
-
Ni mara ngapi
-
5 inaingia kwa 28 bila kuzidi?
-
Tunaweza kufikiria, 5 mara 5 ni 25.
-
5 mara 6 ni 330
-
5 mara 6 itazidi 28.
-
Kwa hiyo tunarudi kwa 5 mara 5.
-
Kwa hiyo 5 inaingia kwa 28 mara 5.
-
5 mara 5 ni 25
-
Na unatoa.
-
28 kutoa 25 ni 3
-
Na sasa, tushushe tarakimu inayofuata.
-
Kwenye mfano huu, ni 0.
-
Kwa hiyo mara ngapi tano inaingia kwa 30?
-
Inaingia mara 6
-
Tulishafanya hii
-
6 mara 5 ni 30.
-
Tunatoa.
-
Na hatuna kilichobaki.
-
Kwa hiyo tumepata 280 gawanya kwa 5 ni sawa na 56.
-
Sasa, kwa nini njia hii imetupa jibu sahihi?
-
Njia ya kwanza ya kufikiria hili, tuna
-
200 kwenye sehemu ya mamia
-
-
-
Njia moja ya kufikiria hili ni, ni mara mia ngapi
-
5 inaingia kwa 200?
-
Na haingii kwa 100.
-
Na kama hii inachanganya,
-
usiogope.
-
Lakini unatakiwa kufikitia
-
kuhusu nafasi.
-
Lakini tumeweza kuongeza,
-
badala ya 200 tuna 280.
-
Hii ni 28 hapa, kama utafikiria
-
hii 2 ipo nafasi ya mamia.
-
Hii 8 ipo nafasi ya makumi.
-
Kwa hiyo hii inawakilisha 280.
-
Na tulisema ni mara kumi ngapi 5 inaingia kwa 280?
-
Inaenda mara kumi 5, au inaenda mara 50.
-
50 mara 5 ni 250.
-
Ukitoa 250 kutoka 280, unapata 30.
-
Na hakuna chochote kwenye sehemu ya momoja
-
Kwa hiyo tunatafuta ni mara ngapi
-
5 inaingia kwa 30.
-
Natumaini, hii imekupa maana
-
ya kianchoendelea kwenye tendo la kugawanya.
-
Sio maajabu.
-
Tunaangalia thamani za namba tu.
-
Kitu kingine ninachotaka kukuonyesha
-
ni kwamba haikuwa na ulazima wa kuiandika hii 0 hapa.
-
Njia nyingine ya kufanya,
-
tungesma 280 gawanya kwa 5
-
Na tungesema ni mara ngapi 5 inaingia kwa 2.
-
Hapa haingii mara zozote.
-
Kwa hiyo tunafikiria 5 inaingia kwa 28.
-
5 inaingia kwa 28 mara 5
-
5 mara 5 ni 25.
-
Toa
-
28 toa 25 ni 3
-
Shusha 0
-
5 inaingia kwa 30 mara 6
-
6 mara 5 ni 30
-
Na hatuna kilichabaki.
-
Na tena, tunasema
-
5 haingii kwa 200 mara mia zozote.
-
Kama hii ingekuwa 500, ungesema
-
inaingia mara 100.
-
Lakini badala yake, tumesema 5 inaingia mara ngapi kwa 280?
-
Inaingia mara 50
-
50 mara 5 ni 250.
-
280 mara 250 ni 30
-
5 inaingia kwa 30 mara sita.
-
Natumaini, hii imeleta maana.
-