0:00:00.000,0:00:00.570 0:00:00.570,0:00:03.500 Hebu tufanye maswali ya kugawanya. 0:00:03.500,0:00:06.606 Tunachukua 280 na tunaigawanya kwa 5. 0:00:06.606,0:00:08.230 Ninakushauri usimamishe video 0:00:08.230,0:00:09.760 na ujaribu kutumia njia 0:00:09.760,0:00:11.634 tulizojifunza mwanzo kujua 0:00:11.634,0:00:14.630 280 gawanya kwa 5 ni ngapi. 0:00:14.630,0:00:15.890 Tuanze. 0:00:15.890,0:00:16.970 Tunaweza kuandika tena. 0:00:16.970,0:00:24.390 Tumeshaona ni 280 gawanya kwa 5. 0:00:24.390,0:00:26.200 Swali la kwanza kujiuliza 0:00:26.200,0:00:28.300 ni 5 inaingia kwa 2 mara ngapi? 0:00:28.300,0:00:30.360 5 haingii kwa 2. 0:00:30.360,0:00:31.845 Inaingia mara 0. 0:00:31.845,0:00:35.590 0 mara 5 ni 0. 0:00:35.590,0:00:36.940 Na kisha tunatoa. 0:00:36.940,0:00:39.220 2 kutoa 0 ni 2. 0:00:39.220,0:00:41.390 Na sasa, tunaweza kushusha tarakimu inayofuata, 0:00:41.390,0:00:44.139 ambayo katika mfano huu ni 8. 0:00:44.139,0:00:45.930 Ni mara ngapi 0:00:45.930,0:00:49.570 5 inaingia kwa 28 bila kuzidi? 0:00:49.570,0:00:54.450 Tunaweza kufikiria, 5 mara 5 ni 25. 0:00:54.450,0:00:58.770 5 mara 6 ni 330 0:00:58.770,0:01:01.150 5 mara 6 itazidi 28. 0:01:01.150,0:01:03.760 Kwa hiyo tunarudi kwa 5 mara 5. 0:01:03.760,0:01:06.630 Kwa hiyo 5 inaingia kwa 28 mara 5. 0:01:06.630,0:01:09.280 5 mara 5 ni 25 0:01:09.280,0:01:11.340 Na unatoa. 0:01:11.340,0:01:13.490 28 kutoa 25 ni 3 0:01:13.490,0:01:15.710 Na sasa, tushushe tarakimu inayofuata. 0:01:15.710,0:01:18.360 Kwenye mfano huu, ni 0. 0:01:18.360,0:01:20.290 Kwa hiyo mara ngapi tano inaingia kwa 30? 0:01:20.290,0:01:21.830 Inaingia mara 6 0:01:21.830,0:01:23.520 Tulishafanya hii 0:01:23.520,0:01:26.110 6 mara 5 ni 30. 0:01:26.110,0:01:27.350 Tunatoa. 0:01:27.350,0:01:30.260 Na hatuna kilichobaki. 0:01:30.260,0:01:37.830 Kwa hiyo tumepata 280 gawanya kwa 5 ni sawa na 56. 0:01:37.830,0:01:39.989 Sasa, kwa nini njia hii imetupa jibu sahihi? 0:01:39.989,0:01:41.780 Njia ya kwanza ya kufikiria hili, tuna 0:01:41.780,0:01:42.606 200 kwenye sehemu ya mamia 0:01:42.606,0:01:43.980 0:01:43.980,0:01:46.080 0:01:46.080,0:01:49.020 Njia moja ya kufikiria hili ni, ni mara mia ngapi 0:01:49.020,0:01:52.175 5 inaingia kwa 200? 0:01:52.175,0:01:53.800 Na haingii kwa 100. 0:01:53.800,0:01:54.930 Na kama hii inachanganya, 0:01:54.930,0:01:56.140 usiogope. 0:01:56.140,0:01:57.681 Lakini unatakiwa kufikitia 0:01:57.681,0:01:59.190 kuhusu nafasi. 0:01:59.190,0:02:00.860 Lakini tumeweza kuongeza, 0:02:00.860,0:02:04.170 badala ya 200 tuna 280. 0:02:04.170,0:02:06.150 Hii ni 28 hapa, kama utafikiria 0:02:06.150,0:02:08.020 hii 2 ipo nafasi ya mamia. 0:02:08.020,0:02:09.710 Hii 8 ipo nafasi ya makumi. 0:02:09.710,0:02:12.030 Kwa hiyo hii inawakilisha 280. 0:02:12.030,0:02:15.340 Na tulisema ni mara kumi ngapi 5 inaingia kwa 280? 0:02:15.340,0:02:19.220 Inaenda mara kumi 5, au inaenda mara 50. 0:02:19.220,0:02:22.220 50 mara 5 ni 250. 0:02:22.220,0:02:26.340 Ukitoa 250 kutoka 280, unapata 30. 0:02:26.340,0:02:28.590 Na hakuna chochote kwenye sehemu ya momoja 0:02:28.590,0:02:30.423 Kwa hiyo tunatafuta ni mara ngapi 0:02:30.423,0:02:31.990 5 inaingia kwa 30. 0:02:31.990,0:02:33.590 Natumaini, hii imekupa maana 0:02:33.590,0:02:36.860 ya kianchoendelea kwenye tendo la kugawanya. 0:02:36.860,0:02:38.070 Sio maajabu. 0:02:38.070,0:02:41.194 Tunaangalia thamani za namba tu. 0:02:41.194,0:02:42.610 Kitu kingine ninachotaka kukuonyesha 0:02:42.610,0:02:45.629 ni kwamba haikuwa na ulazima wa kuiandika hii 0 hapa. 0:02:45.629,0:02:47.170 Njia nyingine ya kufanya, 0:02:47.170,0:02:52.465 tungesma 280 gawanya kwa 5 0:02:52.465,0:02:55.080 Na tungesema ni mara ngapi 5 inaingia kwa 2. 0:02:55.080,0:02:56.330 Hapa haingii mara zozote. 0:02:56.330,0:03:00.140 Kwa hiyo tunafikiria 5 inaingia kwa 28. 0:03:00.140,0:03:03.330 5 inaingia kwa 28 mara 5 0:03:03.330,0:03:05.820 5 mara 5 ni 25. 0:03:05.820,0:03:07.020 Toa 0:03:07.020,0:03:09.310 28 toa 25 ni 3 0:03:09.310,0:03:11.190 Shusha 0 0:03:11.190,0:03:13.690 5 inaingia kwa 30 mara 6 0:03:13.690,0:03:15.630 6 mara 5 ni 30 0:03:15.630,0:03:17.330 Na hatuna kilichabaki. 0:03:17.330,0:03:19.580 Na tena, tunasema 0:03:19.580,0:03:24.282 5 haingii kwa 200 mara mia zozote. 0:03:24.282,0:03:25.865 Kama hii ingekuwa 500, ungesema 0:03:25.865,0:03:27.660 inaingia mara 100. 0:03:27.660,0:03:30.600 Lakini badala yake, tumesema 5 inaingia mara ngapi kwa 280? 0:03:30.600,0:03:32.080 Inaingia mara 50 0:03:32.080,0:03:34.400 50 mara 5 ni 250. 0:03:34.400,0:03:36.880 280 mara 250 ni 30 0:03:36.880,0:03:38.870 5 inaingia kwa 30 mara sita. 0:03:38.870,0:03:41.644 Natumaini, hii imeleta maana. 0:03:41.644,0:03:42.144