WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:00.570 00:00:00.570 --> 00:00:03.500 Hebu tufanye maswali ya kugawanya. 00:00:03.500 --> 00:00:06.606 Tunachukua 280 na tunaigawanya kwa 5. 00:00:06.606 --> 00:00:08.230 Ninakushauri usimamishe video 00:00:08.230 --> 00:00:09.760 na ujaribu kutumia njia 00:00:09.760 --> 00:00:11.634 tulizojifunza mwanzo kujua 00:00:11.634 --> 00:00:14.630 280 gawanya kwa 5 ni ngapi. 00:00:14.630 --> 00:00:15.890 Tuanze. 00:00:15.890 --> 00:00:16.970 Tunaweza kuandika tena. 00:00:16.970 --> 00:00:24.390 Tumeshaona ni 280 gawanya kwa 5. 00:00:24.390 --> 00:00:26.200 Swali la kwanza kujiuliza 00:00:26.200 --> 00:00:28.300 ni 5 inaingia kwa 2 mara ngapi? 00:00:28.300 --> 00:00:30.360 5 haingii kwa 2. 00:00:30.360 --> 00:00:31.845 Inaingia mara 0. 00:00:31.845 --> 00:00:35.590 0 mara 5 ni 0. 00:00:35.590 --> 00:00:36.940 Na kisha tunatoa. 00:00:36.940 --> 00:00:39.220 2 kutoa 0 ni 2. 00:00:39.220 --> 00:00:41.390 Na sasa, tunaweza kushusha tarakimu inayofuata, 00:00:41.390 --> 00:00:44.139 ambayo katika mfano huu ni 8. 00:00:44.139 --> 00:00:45.930 Ni mara ngapi 00:00:45.930 --> 00:00:49.570 5 inaingia kwa 28 bila kuzidi? 00:00:49.570 --> 00:00:54.450 Tunaweza kufikiria, 5 mara 5 ni 25. 00:00:54.450 --> 00:00:58.770 5 mara 6 ni 330 00:00:58.770 --> 00:01:01.150 5 mara 6 itazidi 28. 00:01:01.150 --> 00:01:03.760 Kwa hiyo tunarudi kwa 5 mara 5. 00:01:03.760 --> 00:01:06.630 Kwa hiyo 5 inaingia kwa 28 mara 5. 00:01:06.630 --> 00:01:09.280 5 mara 5 ni 25 00:01:09.280 --> 00:01:11.340 Na unatoa. 00:01:11.340 --> 00:01:13.490 28 kutoa 25 ni 3 00:01:13.490 --> 00:01:15.710 Na sasa, tushushe tarakimu inayofuata. 00:01:15.710 --> 00:01:18.360 Kwenye mfano huu, ni 0. 00:01:18.360 --> 00:01:20.290 Kwa hiyo mara ngapi tano inaingia kwa 30? 00:01:20.290 --> 00:01:21.830 Inaingia mara 6 00:01:21.830 --> 00:01:23.520 Tulishafanya hii 00:01:23.520 --> 00:01:26.110 6 mara 5 ni 30. 00:01:26.110 --> 00:01:27.350 Tunatoa. 00:01:27.350 --> 00:01:30.260 Na hatuna kilichobaki. 00:01:30.260 --> 00:01:37.830 Kwa hiyo tumepata 280 gawanya kwa 5 ni sawa na 56. 00:01:37.830 --> 00:01:39.989 Sasa, kwa nini njia hii imetupa jibu sahihi? 00:01:39.989 --> 00:01:41.780 Njia ya kwanza ya kufikiria hili, tuna 00:01:41.780 --> 00:01:42.606 200 kwenye sehemu ya mamia 00:01:42.606 --> 00:01:43.980 00:01:43.980 --> 00:01:46.080 00:01:46.080 --> 00:01:49.020 Njia moja ya kufikiria hili ni, ni mara mia ngapi 00:01:49.020 --> 00:01:52.175 5 inaingia kwa 200? 00:01:52.175 --> 00:01:53.800 Na haingii kwa 100. 00:01:53.800 --> 00:01:54.930 Na kama hii inachanganya, 00:01:54.930 --> 00:01:56.140 usiogope. 00:01:56.140 --> 00:01:57.681 Lakini unatakiwa kufikitia 00:01:57.681 --> 00:01:59.190 kuhusu nafasi. 00:01:59.190 --> 00:02:00.860 Lakini tumeweza kuongeza, 00:02:00.860 --> 00:02:04.170 badala ya 200 tuna 280. 00:02:04.170 --> 00:02:06.150 Hii ni 28 hapa, kama utafikiria 00:02:06.150 --> 00:02:08.020 hii 2 ipo nafasi ya mamia. 00:02:08.020 --> 00:02:09.710 Hii 8 ipo nafasi ya makumi. 00:02:09.710 --> 00:02:12.030 Kwa hiyo hii inawakilisha 280. 00:02:12.030 --> 00:02:15.340 Na tulisema ni mara kumi ngapi 5 inaingia kwa 280? 00:02:15.340 --> 00:02:19.220 Inaenda mara kumi 5, au inaenda mara 50. 00:02:19.220 --> 00:02:22.220 50 mara 5 ni 250. 00:02:22.220 --> 00:02:26.340 Ukitoa 250 kutoka 280, unapata 30. 00:02:26.340 --> 00:02:28.590 Na hakuna chochote kwenye sehemu ya momoja 00:02:28.590 --> 00:02:30.423 Kwa hiyo tunatafuta ni mara ngapi 00:02:30.423 --> 00:02:31.990 5 inaingia kwa 30. 00:02:31.990 --> 00:02:33.590 Natumaini, hii imekupa maana 00:02:33.590 --> 00:02:36.860 ya kianchoendelea kwenye tendo la kugawanya. 00:02:36.860 --> 00:02:38.070 Sio maajabu. 00:02:38.070 --> 00:02:41.194 Tunaangalia thamani za namba tu. 00:02:41.194 --> 00:02:42.610 Kitu kingine ninachotaka kukuonyesha 00:02:42.610 --> 00:02:45.629 ni kwamba haikuwa na ulazima wa kuiandika hii 0 hapa. 00:02:45.629 --> 00:02:47.170 Njia nyingine ya kufanya, 00:02:47.170 --> 00:02:52.465 tungesma 280 gawanya kwa 5 00:02:52.465 --> 00:02:55.080 Na tungesema ni mara ngapi 5 inaingia kwa 2. 00:02:55.080 --> 00:02:56.330 Hapa haingii mara zozote. 00:02:56.330 --> 00:03:00.140 Kwa hiyo tunafikiria 5 inaingia kwa 28. 00:03:00.140 --> 00:03:03.330 5 inaingia kwa 28 mara 5 00:03:03.330 --> 00:03:05.820 5 mara 5 ni 25. 00:03:05.820 --> 00:03:07.020 Toa 00:03:07.020 --> 00:03:09.310 28 toa 25 ni 3 00:03:09.310 --> 00:03:11.190 Shusha 0 00:03:11.190 --> 00:03:13.690 5 inaingia kwa 30 mara 6 00:03:13.690 --> 00:03:15.630 6 mara 5 ni 30 00:03:15.630 --> 00:03:17.330 Na hatuna kilichabaki. 00:03:17.330 --> 00:03:19.580 Na tena, tunasema 00:03:19.580 --> 00:03:24.282 5 haingii kwa 200 mara mia zozote. 00:03:24.282 --> 00:03:25.865 Kama hii ingekuwa 500, ungesema 00:03:25.865 --> 00:03:27.660 inaingia mara 100. 00:03:27.660 --> 00:03:30.600 Lakini badala yake, tumesema 5 inaingia mara ngapi kwa 280? 00:03:30.600 --> 00:03:32.080 Inaingia mara 50 00:03:32.080 --> 00:03:34.400 50 mara 5 ni 250. 00:03:34.400 --> 00:03:36.880 280 mara 250 ni 30 00:03:36.880 --> 00:03:38.870 5 inaingia kwa 30 mara sita. 00:03:38.870 --> 00:03:41.644 Natumaini, hii imeleta maana. 00:03:41.644 --> 00:03:42.144