-
-
Kwenye video hii, nitaeleza kidogo
-
kuhusu ni nini maana ya namba tasa.
-
Katika video hii
-
au kitu utakachoona kwenye video hii,
-
ni dhana rahisi inayoweza kueleweka.
-
Lakini kadiri unavyoendelea kujifunza hesabati
-
utaweza kuona dhana ngumu
-
zinazoendana na namba tasa.
-
Mojawapo ni dhana ya mafumbo ya namba
-
Na pengine baadhi ya alama za mficho wa taarifa ambazo kompyuta yako inatua
-
kwasasa yawezekana zinatokana elimu ya namba tasa.
-
Kama hujui maana ya hii dhana ya mficho wa taarifa
-
huna haja ya kusumbuka.
-
Unachohitaji kujua ni kwamba namba tasa ni muhimu.
-
Nitakupa tafsiri yake
-
Na pengine hii tafsri inaweza kukuchanganya kidogo,
-
lakini tukitumia mifano,
-
itasaidia kuifanya iwe rahisi kuielewa.
-
Kwahiyo namba ni tasa ikiwa ni namba nzima
-
na namba kamili, tunarudia, kwa mfano,
-
ni namba kama vile 1, 2, 3 kwahiyo ni namba
-
zinazohesabika kuanzia 1 au unaweza
-
kusema ni namba chanya.
-
Ni namba kamili inayogawanyika moja kwa moja kwa namba mbili
-
au namba chanya nyingine mbili.
-
Nisiseme mbili nyingine,
-
Niseme namba chanya nyingine mbili
-
Kwahiyo sio namba chanya nyingine mbili
-
zinagawanyika moja kwa moja kwa namba chanya mbili.
-
Moja kati ya hizo namba ni yenyewe na nyingine ni moja.
-
Hizo ni namba mbili ambazo zinagawanyika.
-
Na ndio maana sikutaka kusema moja kwa moja
-
namba mbili chanya, kwa sababu moja kati ya hizi namba
-
ni yenyewe.
-
Na hii haileti maana kwako,
-
tufanye mifano kidogo hapa,
-
na tufanye tuone kama baadhi ya namba ni tasa au hapana.
-
Hebu tuanze na namba nzima ndogo kabisa-- namba 1.
-
Unaweza kusema, inagawanyika kwa 1
-
na inagawanyika kwa yenyewe.
-
Unaweza kusema, 1, ni namba tasa.
-
Lakini kumbuka, sehemu ya tafsiri yetu--
-
inatueleza kwamba lazima igawanyike kwa namba nzima mbili.
-
1 inagawanyika kwa namba nzima moja-- kwa 1 pekee.
-
Kwahiyo 1, ingawa inaonekana kuwa ndogo
-
sio tasa.
-
Twende kwenye 2.
-
-
Kwahiyo 2 inagawanyika kwa 1 na kwa 2 lakini
-
sio kwa namba nzima nyingine.
-
Inaonekana kukutana na kikwazo chetu.
-
Inagawanyika moja kwa moja kwa namba nzima mbili--yenyewe
-
nayo ni 2 upande huu, na 1.
-
Kwahiyo 2 ni tasa.
-
-
Nitaziweka ndani ya duara namba tasa.
-
Nitazungushia duara.
-
Ngoja nifanye kwatumia rangi nyingine,
-
kwakua tayari nimeshatumia hii rangi--
-
nitazizungushia duara.
-
Nitazizungushia duara namba ambazo ni tasa
-
Na 2 inavutia hapa kwa sababu
-
ni namba shufwa pekee ambayo ni tasa
-
Kama unafikiria kuhusu hiyo, namba shufwa nyingine yoyote
-
itagawanyika kwa 2, kubwa
-
na ndogo ya 1 na yenyewe.
-
Haitakua tasa.
-
Tutaishughulikia hiyo kwenye videozijazo.
-
Tujaribu 3.
-
Sawa, 3 inagawanyika kwa 1 na 3.
-
Na haigawanyika kwa namba nyingine katikati
-
Haigawanyiki kwa 2, kwahiyo 3 pia ni namba tasa.
-
Tujaribu 4.
-
Nitatumia rangi nyingine hapa.
-
Tujaribu 4.
-
Sawa, 4 inagawanyika kwa 1 na 4.
-
Lakini pia inagawanyika kwa 2.
-
2 mara 2 ni 4.
-
Nayo inagawanyik kwa 2.
-
Kwahiyo inagawanyika kwa namba nzima tatu-- 1, 2, na 4.
-
Kwahiyo haikutani na kikwazo chetu kwakua ni tasa.
-
Tujaribu 5.
-
Kwahiyo 5 inagawanyika kwa 1.
-
Haigawanyiki kwa 2.
-
Haigawanyiki kwa 3.
-
Haigawanyiki moja kwa moja kwa 4.
-
Unaweza kuzigawa kwa hiyo namba, lakini utabakiwa na namba.
-
Lakini inagawika moja kwa moja kwa 5,
-
Hapa tena, inagawanyika moja kwa moja kwa namba nzima mbili--
-
1 na 5.
-
Tena, 5 ni tasa.
-
Tuendelee, ili tuweze
-
kuona kama kuna kanuni yoyote hapa.
-
Na pengine nitajitahidi
-
kutumia njia ambayo inawababaisha wengi.
-
Tuchague namba.
-
6
-
Inagawanyika kwa 1.
-
Inagawanyika kwa 2.
-
Inagawanyika kwa 3.
-
Sio kwa 4 au 5, lakini inagawanyika kwa 6.
-
Kwahiyo ina vigawo vya namba nzima nne.
-
Nadhani ungeweza kusema kama hivyo.
-
Na hivyo haina namba mbili inazogawanyika nazo
-
moja kwa kwa moja.
-
Ina nne, kwahiyo ni tasa.
-
Tutumie 7.
-
7 inagawanyika kwa 1, sio 2, sio 3, sio 4, sio 5, sio 6.
-
Lakini pia inagawanyika kwa 7.
-
Kwahiyo 7 ni tasa.
-
Nadhani unaelewa dhana hii.
-
Namba nzima ngapi---namba
-
kama 1, 2, 3, 4, 5, namba ulizojifunza kipindi
-
ukiwa na umri wa miaka miwili, zisizokua 0 wala namba hasi
-
wala sehemu na zile zisizowiana na desimali
-
na zote zilizosalia, isipokua namba chanya za kawaida.
-
Kama una namba mbili pekee, kama zinagawanyika kwa
-
zenyewe na kwa moja, basi hizo ni tasa.
-
Na jinsi ninavyozitazama--kama
-
tukiachana na suala maalum la namba 1,
-
namba tasa ni mfano wa namba kama hizi.
-
Huwezi kuzivunjavunjazaidi
-
ni kama mfano wa atomu-- unavyofikiria kuhusu
-
atomu ni nini, au mwanzoni watu walivyokua wakifikiria
-
wakifikiria kuhusu atomu--
-
walidhani kua ni kitu kidogo kisichoweza kugawanyika
-
zaidi.
-
Sasa tunajua kwamba unaweza kuigawanya atomu
-
na kama unaweza kufanya hivyo, unaweza
-
kuunda mlipuko wa kinyuklia.
-
Lakini ni dhana ile ile kuhusu namba tasa.
-
Katika uhalisia wa namba tasa, sio dhahania,
-
tunajua kwamba huwezikuzivunjavunja
-
kua katika zao la namba nzima ndogo ndogo
-
Kama 6-- unaweza kusema, 6 ni 2 mara 3.
-
Unaweza kuivunjaavunja.
-
Na zingatia kwamba, unaweza kuivunjavunja kama zao la namba tasa.
-
Tumejaribu kuivunjavunja kwenye sehemu zake.
-
7, huwezi kuivunjavunja zaidi.
-
Unachoweza kusema ni kwamba 7 ni sawa na 1 mara 7,
-
na kwa hali hiyo, hujaivunjavunja zaidi.
-
Bado hapo unayo 7 tena.
-
6 unaweza kuivunjavunja.
-
4 unaweza kuivunjavunja kama 2 mara 2.
-
Sasa tukiachana na hiyo, tufikirie kuhusu namba kubwa
-
fikiria kuhusu kama hizo namba kubwa ni tasa.
-
Tufikirie 16.
-
Ni wazi kua, namba yoyote tasainagawanyika kwa 1 na yenyewe.
-
Namba nzima yoyote unayoiweka hapa
-
itagawanyika kwa kwa 1 na 16.
-
Kwahiyo daima utaanza na 2.
-
Kwahiyo unaweza kutafuta namba nyingine inayoingia kwenye hii
-
kisha unajua sio tasa
-
Na kwa 16, unaweza kua na 2 mara 8, pia 4 mara 4.
-
Kwahiyo ina vigawo vingi hapa
-
zaidi ya 1 na 16.
-
Kwahiyo 16 sio tasa.
-
Vipi kuhusu 17?
-
1 na 17 zitaingia kwenye.
-
2 haiingii kwenye 17.
-
3 hiingii.
-
4, 5, 6, 7, 8, 9, 10, 11-- namba yoyote kati hizi
-
hakuna namba yoyote kati ya 1 na 17 inayongia kwenye 17.
-
Kwahiyo 17 ni tasa.
-
Sasa nitakupa namba ngumu.
-
Hii inaweza kuwachanganya wengi.
-
Vipi kuhusu 51?
-
Je 51 ni tasa?
-
-
Kama unapenda,
-
unaweza kusimamisha kwa muda video
-
na kujaribu kufanya mwenyewe kama 51 ni namba tasa.
-
Kama unaweza kupata namba nyingine zaidi ya 1 au 51
-
ambayo inagawanyika kwa 51.
-
Inaonekana kama namba hii ni ya pekee
-
Unaweza kushawishika kusema ni tasa.
-
Lakini sasa nitakupa jibu--sio tasa,
-
kwasababu pia inagawanyika kwa 3 na 17.
-
3 mara 17 ni 51
-
Bila shaka hii inakupa dhana ya wazi
-
kuhusu nini hasa namba tasa.
-
Na natumai tunaweza kukupa mazoezi
-
kwa video zinzaofuata au baadha yamazoezi yetu.
-