WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:00.421 00:00:00.421 --> 00:00:02.170 Kwenye video hii, nitaeleza kidogo 00:00:02.170 --> 00:00:06.264 kuhusu ni nini maana ya namba tasa. 00:00:06.264 --> 00:00:07.680 Katika video hii 00:00:07.680 --> 00:00:09.650 au kitu utakachoona kwenye video hii, 00:00:09.650 --> 00:00:11.840 ni dhana rahisi inayoweza kueleweka. 00:00:11.840 --> 00:00:14.097 Lakini kadiri unavyoendelea kujifunza hesabati 00:00:14.097 --> 00:00:16.680 utaweza kuona dhana ngumu 00:00:16.680 --> 00:00:20.030 zinazoendana na namba tasa. 00:00:20.030 --> 00:00:22.277 Mojawapo ni dhana ya mafumbo ya namba 00:00:22.277 --> 00:00:24.610 Na pengine baadhi ya alama za mficho wa taarifa ambazo kompyuta yako inatua 00:00:24.610 --> 00:00:26.879 kwasasa yawezekana zinatokana elimu ya namba tasa. 00:00:26.879 --> 00:00:28.545 Kama hujui maana ya hii dhana ya mficho wa taarifa 00:00:28.545 --> 00:00:30.450 huna haja ya kusumbuka. 00:00:30.450 --> 00:00:34.410 Unachohitaji kujua ni kwamba namba tasa ni muhimu. 00:00:34.410 --> 00:00:36.092 Nitakupa tafsiri yake 00:00:36.092 --> 00:00:38.050 Na pengine hii tafsri inaweza kukuchanganya kidogo, 00:00:38.050 --> 00:00:39.600 lakini tukitumia mifano, 00:00:39.600 --> 00:00:42.680 itasaidia kuifanya iwe rahisi kuielewa. 00:00:42.680 --> 00:00:48.790 Kwahiyo namba ni tasa ikiwa ni namba nzima 00:00:48.790 --> 00:00:51.740 na namba kamili, tunarudia, kwa mfano, 00:00:51.740 --> 00:00:55.130 ni namba kama vile 1, 2, 3 kwahiyo ni namba 00:00:55.130 --> 00:00:57.020 zinazohesabika kuanzia 1 au unaweza 00:00:57.020 --> 00:00:58.450 kusema ni namba chanya. 00:00:58.450 --> 00:01:11.740 Ni namba kamili inayogawanyika moja kwa moja kwa namba mbili 00:01:11.740 --> 00:01:13.240 au namba chanya nyingine mbili. 00:01:13.240 --> 00:01:14.698 Nisiseme mbili nyingine, 00:01:14.698 --> 00:01:17.630 Niseme namba chanya nyingine mbili 00:01:17.630 --> 00:01:19.870 Kwahiyo sio namba chanya nyingine mbili 00:01:19.870 --> 00:01:24.190 zinagawanyika moja kwa moja kwa namba chanya mbili. 00:01:24.190 --> 00:01:31.130 Moja kati ya hizo namba ni yenyewe na nyingine ni moja. 00:01:31.130 --> 00:01:33.380 Hizo ni namba mbili ambazo zinagawanyika. 00:01:33.380 --> 00:01:34.740 Na ndio maana sikutaka kusema moja kwa moja 00:01:34.740 --> 00:01:37.120 namba mbili chanya, kwa sababu moja kati ya hizi namba 00:01:37.120 --> 00:01:38.866 ni yenyewe. 00:01:38.866 --> 00:01:40.490 Na hii haileti maana kwako, 00:01:40.490 --> 00:01:42.030 tufanye mifano kidogo hapa, 00:01:42.030 --> 00:01:44.640 na tufanye tuone kama baadhi ya namba ni tasa au hapana. 00:01:44.640 --> 00:01:49.200 Hebu tuanze na namba nzima ndogo kabisa-- namba 1. 00:01:49.200 --> 00:01:52.430 Unaweza kusema, inagawanyika kwa 1 00:01:52.430 --> 00:01:54.220 na inagawanyika kwa yenyewe. 00:01:54.220 --> 00:01:56.860 Unaweza kusema, 1, ni namba tasa. 00:01:56.860 --> 00:01:58.550 Lakini kumbuka, sehemu ya tafsiri yetu-- 00:01:58.550 --> 00:02:02.620 inatueleza kwamba lazima igawanyike kwa namba nzima mbili. 00:02:02.620 --> 00:02:06.640 1 inagawanyika kwa namba nzima moja-- kwa 1 pekee. 00:02:06.640 --> 00:02:09.259 Kwahiyo 1, ingawa inaonekana kuwa ndogo 00:02:09.259 --> 00:02:15.590 sio tasa. 00:02:15.590 --> 00:02:16.680 Twende kwenye 2. 00:02:16.680 --> 00:02:19.490 00:02:19.490 --> 00:02:25.890 Kwahiyo 2 inagawanyika kwa 1 na kwa 2 lakini 00:02:25.890 --> 00:02:27.940 sio kwa namba nzima nyingine. 00:02:27.940 --> 00:02:30.150 Inaonekana kukutana na kikwazo chetu. 00:02:30.150 --> 00:02:33.950 Inagawanyika moja kwa moja kwa namba nzima mbili--yenyewe 00:02:33.950 --> 00:02:36.240 nayo ni 2 upande huu, na 1. 00:02:36.240 --> 00:02:37.685 Kwahiyo 2 ni tasa. 00:02:37.685 --> 00:02:40.610 00:02:40.610 --> 00:02:42.580 Nitaziweka ndani ya duara namba tasa. 00:02:42.580 --> 00:02:43.289 Nitazungushia duara. 00:02:43.289 --> 00:02:45.329 Ngoja nifanye kwatumia rangi nyingine, 00:02:45.329 --> 00:02:47.320 kwakua tayari nimeshatumia hii rangi-- 00:02:47.320 --> 00:02:48.220 nitazizungushia duara. 00:02:48.220 --> 00:02:51.500 Nitazizungushia duara namba ambazo ni tasa 00:02:51.500 --> 00:02:53.630 Na 2 inavutia hapa kwa sababu 00:02:53.630 --> 00:02:56.180 ni namba shufwa pekee ambayo ni tasa 00:02:56.180 --> 00:02:58.060 Kama unafikiria kuhusu hiyo, namba shufwa nyingine yoyote 00:02:58.060 --> 00:03:00.480 itagawanyika kwa 2, kubwa 00:03:00.480 --> 00:03:01.860 na ndogo ya 1 na yenyewe. 00:03:01.860 --> 00:03:03.030 Haitakua tasa. 00:03:03.030 --> 00:03:05.470 Tutaishughulikia hiyo kwenye videozijazo. 00:03:05.470 --> 00:03:07.480 Tujaribu 3. 00:03:07.480 --> 00:03:10.582 Sawa, 3 inagawanyika kwa 1 na 3. 00:03:10.582 --> 00:03:12.790 Na haigawanyika kwa namba nyingine katikati 00:03:12.790 --> 00:03:19.000 Haigawanyiki kwa 2, kwahiyo 3 pia ni namba tasa. 00:03:19.000 --> 00:03:20.700 Tujaribu 4. 00:03:20.700 --> 00:03:22.860 Nitatumia rangi nyingine hapa. 00:03:22.860 --> 00:03:24.080 Tujaribu 4. 00:03:24.080 --> 00:03:27.960 Sawa, 4 inagawanyika kwa 1 na 4. 00:03:27.960 --> 00:03:30.030 Lakini pia inagawanyika kwa 2. 00:03:30.030 --> 00:03:31.200 2 mara 2 ni 4. 00:03:31.200 --> 00:03:33.490 Nayo inagawanyik kwa 2. 00:03:33.490 --> 00:03:38.730 Kwahiyo inagawanyika kwa namba nzima tatu-- 1, 2, na 4. 00:03:38.730 --> 00:03:42.680 Kwahiyo haikutani na kikwazo chetu kwakua ni tasa. 00:03:42.680 --> 00:03:46.720 Tujaribu 5. 00:03:46.720 --> 00:03:49.270 Kwahiyo 5 inagawanyika kwa 1. 00:03:49.270 --> 00:03:50.740 Haigawanyiki kwa 2. 00:03:50.740 --> 00:03:51.900 Haigawanyiki kwa 3. 00:03:51.900 --> 00:03:56.149 Haigawanyiki moja kwa moja kwa 4. 00:03:56.149 --> 00:03:58.690 Unaweza kuzigawa kwa hiyo namba, lakini utabakiwa na namba. 00:03:58.690 --> 00:04:01.860 Lakini inagawika moja kwa moja kwa 5, 00:04:01.860 --> 00:04:06.350 Hapa tena, inagawanyika moja kwa moja kwa namba nzima mbili-- 00:04:06.350 --> 00:04:08.280 1 na 5. 00:04:08.280 --> 00:04:11.586 Tena, 5 ni tasa. 00:04:11.586 --> 00:04:12.960 Tuendelee, ili tuweze 00:04:12.960 --> 00:04:15.340 kuona kama kuna kanuni yoyote hapa. 00:04:15.340 --> 00:04:17.390 Na pengine nitajitahidi 00:04:17.390 --> 00:04:19.130 kutumia njia ambayo inawababaisha wengi. 00:04:19.130 --> 00:04:23.350 Tuchague namba. 00:04:23.350 --> 00:04:24.300 6 00:04:24.300 --> 00:04:26.470 Inagawanyika kwa 1. 00:04:26.470 --> 00:04:28.940 Inagawanyika kwa 2. 00:04:28.940 --> 00:04:30.270 Inagawanyika kwa 3. 00:04:30.270 --> 00:04:33.190 Sio kwa 4 au 5, lakini inagawanyika kwa 6. 00:04:33.190 --> 00:04:36.290 Kwahiyo ina vigawo vya namba nzima nne. 00:04:36.290 --> 00:04:38.010 Nadhani ungeweza kusema kama hivyo. 00:04:38.010 --> 00:04:39.940 Na hivyo haina namba mbili inazogawanyika nazo 00:04:39.940 --> 00:04:41.450 moja kwa kwa moja. 00:04:41.450 --> 00:04:44.610 Ina nne, kwahiyo ni tasa. 00:04:44.610 --> 00:04:47.480 Tutumie 7. 00:04:47.480 --> 00:04:54.330 7 inagawanyika kwa 1, sio 2, sio 3, sio 4, sio 5, sio 6. 00:04:54.330 --> 00:04:56.160 Lakini pia inagawanyika kwa 7. 00:04:56.160 --> 00:04:59.020 Kwahiyo 7 ni tasa. 00:04:59.020 --> 00:05:00.640 Nadhani unaelewa dhana hii. 00:05:00.640 --> 00:05:03.560 Namba nzima ngapi---namba 00:05:03.560 --> 00:05:07.090 kama 1, 2, 3, 4, 5, namba ulizojifunza kipindi 00:05:07.090 --> 00:05:10.490 ukiwa na umri wa miaka miwili, zisizokua 0 wala namba hasi 00:05:10.490 --> 00:05:13.340 wala sehemu na zile zisizowiana na desimali 00:05:13.340 --> 00:05:17.250 na zote zilizosalia, isipokua namba chanya za kawaida. 00:05:17.250 --> 00:05:19.270 Kama una namba mbili pekee, kama zinagawanyika kwa 00:05:19.270 --> 00:05:23.140 zenyewe na kwa moja, basi hizo ni tasa. 00:05:23.140 --> 00:05:24.640 Na jinsi ninavyozitazama--kama 00:05:24.640 --> 00:05:26.540 tukiachana na suala maalum la namba 1, 00:05:26.540 --> 00:05:30.440 namba tasa ni mfano wa namba kama hizi. 00:05:30.440 --> 00:05:31.899 Huwezi kuzivunjavunjazaidi 00:05:31.899 --> 00:05:34.190 ni kama mfano wa atomu-- unavyofikiria kuhusu 00:05:34.190 --> 00:05:35.606 atomu ni nini, au mwanzoni watu walivyokua wakifikiria 00:05:35.606 --> 00:05:36.990 wakifikiria kuhusu atomu-- 00:05:36.990 --> 00:05:38.860 walidhani kua ni kitu kidogo kisichoweza kugawanyika 00:05:38.860 --> 00:05:39.190 zaidi. 00:05:39.190 --> 00:05:40.850 Sasa tunajua kwamba unaweza kuigawanya atomu 00:05:40.850 --> 00:05:42.308 na kama unaweza kufanya hivyo, unaweza 00:05:42.308 --> 00:05:43.540 kuunda mlipuko wa kinyuklia. 00:05:43.540 --> 00:05:46.790 Lakini ni dhana ile ile kuhusu namba tasa. 00:05:46.790 --> 00:05:49.750 Katika uhalisia wa namba tasa, sio dhahania, 00:05:49.750 --> 00:05:51.380 tunajua kwamba huwezikuzivunjavunja 00:05:51.380 --> 00:05:56.370 kua katika zao la namba nzima ndogo ndogo 00:05:56.370 --> 00:06:00.320 Kama 6-- unaweza kusema, 6 ni 2 mara 3. 00:06:00.320 --> 00:06:01.280 Unaweza kuivunjaavunja. 00:06:01.280 --> 00:06:05.290 Na zingatia kwamba, unaweza kuivunjavunja kama zao la namba tasa. 00:06:05.290 --> 00:06:07.740 Tumejaribu kuivunjavunja kwenye sehemu zake. 00:06:07.740 --> 00:06:09.930 7, huwezi kuivunjavunja zaidi. 00:06:09.930 --> 00:06:13.346 Unachoweza kusema ni kwamba 7 ni sawa na 1 mara 7, 00:06:13.346 --> 00:06:15.720 na kwa hali hiyo, hujaivunjavunja zaidi. 00:06:15.720 --> 00:06:17.690 Bado hapo unayo 7 tena. 00:06:17.690 --> 00:06:19.440 6 unaweza kuivunjavunja. 00:06:19.440 --> 00:06:22.302 4 unaweza kuivunjavunja kama 2 mara 2. 00:06:22.302 --> 00:06:24.760 Sasa tukiachana na hiyo, tufikirie kuhusu namba kubwa 00:06:24.760 --> 00:06:28.910 fikiria kuhusu kama hizo namba kubwa ni tasa. 00:06:28.910 --> 00:06:33.870 Tufikirie 16. 00:06:33.870 --> 00:06:37.750 Ni wazi kua, namba yoyote tasainagawanyika kwa 1 na yenyewe. 00:06:37.750 --> 00:06:39.700 Namba nzima yoyote unayoiweka hapa 00:06:39.700 --> 00:06:41.242 itagawanyika kwa kwa 1 na 16. 00:06:41.242 --> 00:06:42.866 Kwahiyo daima utaanza na 2. 00:06:42.866 --> 00:06:45.150 Kwahiyo unaweza kutafuta namba nyingine inayoingia kwenye hii 00:06:45.150 --> 00:06:47.060 kisha unajua sio tasa 00:06:47.060 --> 00:06:52.620 Na kwa 16, unaweza kua na 2 mara 8, pia 4 mara 4. 00:06:52.620 --> 00:06:54.620 Kwahiyo ina vigawo vingi hapa 00:06:54.620 --> 00:06:56.720 zaidi ya 1 na 16. 00:06:56.720 --> 00:06:59.410 Kwahiyo 16 sio tasa. 00:06:59.410 --> 00:07:02.340 Vipi kuhusu 17? 00:07:02.340 --> 00:07:05.500 1 na 17 zitaingia kwenye. 00:07:05.500 --> 00:07:06.700 2 haiingii kwenye 17. 00:07:06.700 --> 00:07:07.530 3 hiingii. 00:07:07.530 --> 00:07:10.650 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10, 11-- namba yoyote kati hizi 00:07:10.650 --> 00:07:15.360 hakuna namba yoyote kati ya 1 na 17 inayongia kwenye 17. 00:07:15.360 --> 00:07:20.130 Kwahiyo 17 ni tasa. 00:07:20.130 --> 00:07:22.920 Sasa nitakupa namba ngumu. 00:07:22.920 --> 00:07:25.350 Hii inaweza kuwachanganya wengi. 00:07:25.350 --> 00:07:27.610 Vipi kuhusu 51? 00:07:27.610 --> 00:07:29.555 Je 51 ni tasa? 00:07:29.555 --> 00:07:33.022 00:07:33.022 --> 00:07:34.480 Kama unapenda, 00:07:34.480 --> 00:07:36.390 unaweza kusimamisha kwa muda video 00:07:36.390 --> 00:07:40.060 na kujaribu kufanya mwenyewe kama 51 ni namba tasa. 00:07:40.060 --> 00:07:44.520 Kama unaweza kupata namba nyingine zaidi ya 1 au 51 00:07:44.520 --> 00:07:46.740 ambayo inagawanyika kwa 51. 00:07:46.740 --> 00:07:49.130 Inaonekana kama namba hii ni ya pekee 00:07:49.130 --> 00:07:51.430 Unaweza kushawishika kusema ni tasa. 00:07:51.430 --> 00:07:54.720 Lakini sasa nitakupa jibu--sio tasa, 00:07:54.720 --> 00:07:59.030 kwasababu pia inagawanyika kwa 3 na 17. 00:07:59.030 --> 00:08:02.420 3 mara 17 ni 51 00:08:02.420 --> 00:08:04.045 Bila shaka hii inakupa dhana ya wazi 00:08:04.045 --> 00:08:05.590 kuhusu nini hasa namba tasa. 00:08:05.590 --> 00:08:08.260 Na natumai tunaweza kukupa mazoezi 00:08:08.260 --> 00:08:11.738 kwa video zinzaofuata au baadha yamazoezi yetu. 00:08:11.738 --> 00:08:12.238