Kwenye video hii, nitaeleza kidogo kuhusu ni nini maana ya namba tasa. Katika video hii au kitu utakachoona kwenye video hii, ni dhana rahisi inayoweza kueleweka. Lakini kadiri unavyoendelea kujifunza hesabati utaweza kuona dhana ngumu zinazoendana na namba tasa. Mojawapo ni dhana ya mafumbo ya namba Na pengine baadhi ya alama za mficho wa taarifa ambazo kompyuta yako inatua kwasasa yawezekana zinatokana elimu ya namba tasa. Kama hujui maana ya hii dhana ya mficho wa taarifa huna haja ya kusumbuka. Unachohitaji kujua ni kwamba namba tasa ni muhimu. Nitakupa tafsiri yake Na pengine hii tafsri inaweza kukuchanganya kidogo, lakini tukitumia mifano, itasaidia kuifanya iwe rahisi kuielewa. Kwahiyo namba ni tasa ikiwa ni namba nzima na namba kamili, tunarudia, kwa mfano, ni namba kama vile 1, 2, 3 kwahiyo ni namba zinazohesabika kuanzia 1 au unaweza kusema ni namba chanya. Ni namba kamili inayogawanyika moja kwa moja kwa namba mbili au namba chanya nyingine mbili. Nisiseme mbili nyingine, Niseme namba chanya nyingine mbili Kwahiyo sio namba chanya nyingine mbili zinagawanyika moja kwa moja kwa namba chanya mbili. Moja kati ya hizo namba ni yenyewe na nyingine ni moja. Hizo ni namba mbili ambazo zinagawanyika. Na ndio maana sikutaka kusema moja kwa moja namba mbili chanya, kwa sababu moja kati ya hizi namba ni yenyewe. Na hii haileti maana kwako, tufanye mifano kidogo hapa, na tufanye tuone kama baadhi ya namba ni tasa au hapana. Hebu tuanze na namba nzima ndogo kabisa-- namba 1. Unaweza kusema, inagawanyika kwa 1 na inagawanyika kwa yenyewe. Unaweza kusema, 1, ni namba tasa. Lakini kumbuka, sehemu ya tafsiri yetu-- inatueleza kwamba lazima igawanyike kwa namba nzima mbili. 1 inagawanyika kwa namba nzima moja-- kwa 1 pekee. Kwahiyo 1, ingawa inaonekana kuwa ndogo sio tasa. Twende kwenye 2. Kwahiyo 2 inagawanyika kwa 1 na kwa 2 lakini sio kwa namba nzima nyingine. Inaonekana kukutana na kikwazo chetu. Inagawanyika moja kwa moja kwa namba nzima mbili--yenyewe nayo ni 2 upande huu, na 1. Kwahiyo 2 ni tasa. Nitaziweka ndani ya duara namba tasa. Nitazungushia duara. Ngoja nifanye kwatumia rangi nyingine, kwakua tayari nimeshatumia hii rangi-- nitazizungushia duara. Nitazizungushia duara namba ambazo ni tasa Na 2 inavutia hapa kwa sababu ni namba shufwa pekee ambayo ni tasa Kama unafikiria kuhusu hiyo, namba shufwa nyingine yoyote itagawanyika kwa 2, kubwa na ndogo ya 1 na yenyewe. Haitakua tasa. Tutaishughulikia hiyo kwenye videozijazo. Tujaribu 3. Sawa, 3 inagawanyika kwa 1 na 3. Na haigawanyika kwa namba nyingine katikati Haigawanyiki kwa 2, kwahiyo 3 pia ni namba tasa. Tujaribu 4. Nitatumia rangi nyingine hapa. Tujaribu 4. Sawa, 4 inagawanyika kwa 1 na 4. Lakini pia inagawanyika kwa 2. 2 mara 2 ni 4. Nayo inagawanyik kwa 2. Kwahiyo inagawanyika kwa namba nzima tatu-- 1, 2, na 4. Kwahiyo haikutani na kikwazo chetu kwakua ni tasa. Tujaribu 5. Kwahiyo 5 inagawanyika kwa 1. Haigawanyiki kwa 2. Haigawanyiki kwa 3. Haigawanyiki moja kwa moja kwa 4. Unaweza kuzigawa kwa hiyo namba, lakini utabakiwa na namba. Lakini inagawika moja kwa moja kwa 5, Hapa tena, inagawanyika moja kwa moja kwa namba nzima mbili-- 1 na 5. Tena, 5 ni tasa. Tuendelee, ili tuweze kuona kama kuna kanuni yoyote hapa. Na pengine nitajitahidi kutumia njia ambayo inawababaisha wengi. Tuchague namba. 6 Inagawanyika kwa 1. Inagawanyika kwa 2. Inagawanyika kwa 3. Sio kwa 4 au 5, lakini inagawanyika kwa 6. Kwahiyo ina vigawo vya namba nzima nne. Nadhani ungeweza kusema kama hivyo. Na hivyo haina namba mbili inazogawanyika nazo moja kwa kwa moja. Ina nne, kwahiyo ni tasa. Tutumie 7. 7 inagawanyika kwa 1, sio 2, sio 3, sio 4, sio 5, sio 6. Lakini pia inagawanyika kwa 7. Kwahiyo 7 ni tasa. Nadhani unaelewa dhana hii. Namba nzima ngapi---namba kama 1, 2, 3, 4, 5, namba ulizojifunza kipindi ukiwa na umri wa miaka miwili, zisizokua 0 wala namba hasi wala sehemu na zile zisizowiana na desimali na zote zilizosalia, isipokua namba chanya za kawaida. Kama una namba mbili pekee, kama zinagawanyika kwa zenyewe na kwa moja, basi hizo ni tasa. Na jinsi ninavyozitazama--kama tukiachana na suala maalum la namba 1, namba tasa ni mfano wa namba kama hizi. Huwezi kuzivunjavunjazaidi ni kama mfano wa atomu-- unavyofikiria kuhusu atomu ni nini, au mwanzoni watu walivyokua wakifikiria wakifikiria kuhusu atomu-- walidhani kua ni kitu kidogo kisichoweza kugawanyika zaidi. Sasa tunajua kwamba unaweza kuigawanya atomu na kama unaweza kufanya hivyo, unaweza kuunda mlipuko wa kinyuklia. Lakini ni dhana ile ile kuhusu namba tasa. Katika uhalisia wa namba tasa, sio dhahania, tunajua kwamba huwezikuzivunjavunja kua katika zao la namba nzima ndogo ndogo Kama 6-- unaweza kusema, 6 ni 2 mara 3. Unaweza kuivunjaavunja. Na zingatia kwamba, unaweza kuivunjavunja kama zao la namba tasa. Tumejaribu kuivunjavunja kwenye sehemu zake. 7, huwezi kuivunjavunja zaidi. Unachoweza kusema ni kwamba 7 ni sawa na 1 mara 7, na kwa hali hiyo, hujaivunjavunja zaidi. Bado hapo unayo 7 tena. 6 unaweza kuivunjavunja. 4 unaweza kuivunjavunja kama 2 mara 2. Sasa tukiachana na hiyo, tufikirie kuhusu namba kubwa fikiria kuhusu kama hizo namba kubwa ni tasa. Tufikirie 16. Ni wazi kua, namba yoyote tasainagawanyika kwa 1 na yenyewe. Namba nzima yoyote unayoiweka hapa itagawanyika kwa kwa 1 na 16. Kwahiyo daima utaanza na 2. Kwahiyo unaweza kutafuta namba nyingine inayoingia kwenye hii kisha unajua sio tasa Na kwa 16, unaweza kua na 2 mara 8, pia 4 mara 4. Kwahiyo ina vigawo vingi hapa zaidi ya 1 na 16. Kwahiyo 16 sio tasa. Vipi kuhusu 17? 1 na 17 zitaingia kwenye. 2 haiingii kwenye 17. 3 hiingii. 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10, 11-- namba yoyote kati hizi hakuna namba yoyote kati ya 1 na 17 inayongia kwenye 17. Kwahiyo 17 ni tasa. Sasa nitakupa namba ngumu. Hii inaweza kuwachanganya wengi. Vipi kuhusu 51? Je 51 ni tasa? Kama unapenda, unaweza kusimamisha kwa muda video na kujaribu kufanya mwenyewe kama 51 ni namba tasa. Kama unaweza kupata namba nyingine zaidi ya 1 au 51 ambayo inagawanyika kwa 51. Inaonekana kama namba hii ni ya pekee Unaweza kushawishika kusema ni tasa. Lakini sasa nitakupa jibu--sio tasa, kwasababu pia inagawanyika kwa 3 na 17. 3 mara 17 ni 51 Bila shaka hii inakupa dhana ya wazi kuhusu nini hasa namba tasa. Na natumai tunaweza kukupa mazoezi kwa video zinzaofuata au baadha yamazoezi yetu.