< Return to Video

UIMARISHWE KUPIGANA VITA VYEMA!

  • 0:00 - 0:09
    Naomba macho ya mioyo yenu yafumbuliwe kuona
  • 0:09 - 0:18
    kila uhusiano muovu, mbaya katika maisha yako -
  • 0:18 - 0:23
    kuachana nao, kwa jina la Yesu.
  • 0:23 - 0:27
    Achana na uhusiano huo usiomcha Mungu.
  • 0:27 - 0:31
    Achana na uhusiano huo usiofaa.
  • 0:31 - 0:34
    Katika jina kuu la Yesu Kristo.
  • 0:34 - 0:44
    Uhusiano huo unaotokana na ulaghai na udanganyifu - ukatishwe!
  • 0:44 - 0:47
    Katika jina kuu la Yesu.
  • 0:47 - 0:52
    Unapopigania kilicho sawa, kuwe na nuru!
  • 0:52 - 0:54
    Hebu iwe na mwanga nyumbani kwako.
  • 0:54 - 0:56
    Kuwe na nuru katika ndoa yako.
  • 0:56 - 0:59
    Kuwe na nuru katika familia yako.
  • 0:59 - 1:03
    Kuwe na nuru!
  • 1:03 - 1:08
    Uwe hodari uvipigane vita vilivyo vizuri.
  • 1:08 - 1:12
    Uwe na uwezo wa kupigana vita vilivyo vizuri.
  • 1:12 - 1:16
    Uzatitiwe na dhana za kupigana vita vyema.
  • 1:16 - 1:25
    Chochote kilicho sababu ya kupuuza kanuni njema - kutupwa nje, kwa jina la Yesu!
  • 1:25 - 1:32
    Mpango huo wa kishetani wa kukuondoa kwenye hatima yako ya kimungu -
  • 1:32 - 1:40
    kuwa macho ili kuushinda!
  • 1:40 - 1:43
    Ninazungumza na ndoa yako.
  • 1:43 - 1:45
    Hebu kuwe na amani!
  • 1:45 - 1:48
    Ninazungumza na nyumba yako.
  • 1:48 - 1:51
    Hebu kuwe na umoja!
  • 1:51 - 1:53
    Ninazungumza na familia yako.
  • 1:53 - 1:58
    Hebu kuwe na uelewa!
  • 1:58 - 2:04
    Katika jina kuu la Yesu.
  • 2:04 - 2:15
    Asante, Yesu, kwa ukweli usiobadilika wa Neno lako Takatifu.
  • 2:15 - 2:21
    Acha kusikia kufanyike kuwa vitendo.
  • 2:21 - 2:26
    Katika jina la Yesu. Amina.
Title:
UIMARISHWE KUPIGANA VITA VYEMA!
Description:

"Naomba macho ya mioyo yenu yafumbuliwe ili kuona kila uhusiano usio wa kimungu, ulio mbaya maishani mwako - achana nao, kwa jina la Yesu. Jikomboe kutoka kwenye uhusiano huo usio wa kimungu. Jikomboe kutoka kwenye uhusiano huo mbaya. Katika jina kuu la Yesu Kristo. Uhusiano huo unaotegemea ulaghai na udanganyifu - utenganishwe! Katika jina kuu la Yesu. Acha kuwe na nuru. Acha kuwe na nuru nyumbani kwako! Acha kuwe na nuru! Acha kuwe na nuru katika familia yako. Uwe na uwezo wa kupigana vita vyema. Ninazungumza na familia yako. Na kuwe na ufahamu! Katika jina kuu la Yesu, Asante, Yesu, kwa ukweli usiobadilika wa Neno lako Takatifu. Acha kusikia kufanyike kuwa vitendo. Katika jina la Yesu. Amina.”

Unaweza kutazama ujumbe kamili kabla ya wakati huu wa maombi na Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=BWyJInXxbLM

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
02:27

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions