UIMARISHWE KUPIGANA VITA VYEMA!
-
0:00 - 0:09Naomba macho ya mioyo yenu yafumbuliwe kuona
-
0:09 - 0:18kila uhusiano muovu, mbaya katika maisha yako -
-
0:18 - 0:23kuachana nao, kwa jina la Yesu.
-
0:23 - 0:27Achana na uhusiano huo usiomcha Mungu.
-
0:27 - 0:31Achana na uhusiano huo usiofaa.
-
0:31 - 0:34Katika jina kuu la Yesu Kristo.
-
0:34 - 0:44Uhusiano huo unaotokana na ulaghai na udanganyifu - ukatishwe!
-
0:44 - 0:47Katika jina kuu la Yesu.
-
0:47 - 0:52Unapopigania kilicho sawa, kuwe na nuru!
-
0:52 - 0:54Hebu iwe na mwanga nyumbani kwako.
-
0:54 - 0:56Kuwe na nuru katika ndoa yako.
-
0:56 - 0:59Kuwe na nuru katika familia yako.
-
0:59 - 1:03Kuwe na nuru!
-
1:03 - 1:08Uwe hodari uvipigane vita vilivyo vizuri.
-
1:08 - 1:12Uwe na uwezo wa kupigana vita vilivyo vizuri.
-
1:12 - 1:16Uzatitiwe na dhana za kupigana vita vyema.
-
1:16 - 1:25Chochote kilicho sababu ya kupuuza kanuni njema - kutupwa nje, kwa jina la Yesu!
-
1:25 - 1:32Mpango huo wa kishetani wa kukuondoa kwenye hatima yako ya kimungu -
-
1:32 - 1:40kuwa macho ili kuushinda!
-
1:40 - 1:43Ninazungumza na ndoa yako.
-
1:43 - 1:45Hebu kuwe na amani!
-
1:45 - 1:48Ninazungumza na nyumba yako.
-
1:48 - 1:51Hebu kuwe na umoja!
-
1:51 - 1:53Ninazungumza na familia yako.
-
1:53 - 1:58Hebu kuwe na uelewa!
-
1:58 - 2:04Katika jina kuu la Yesu.
-
2:04 - 2:15Asante, Yesu, kwa ukweli usiobadilika wa Neno lako Takatifu.
-
2:15 - 2:21Acha kusikia kufanyike kuwa vitendo.
-
2:21 - 2:26Katika jina la Yesu. Amina.
- Title:
- UIMARISHWE KUPIGANA VITA VYEMA!
- Description:
-
"Naomba macho ya mioyo yenu yafumbuliwe ili kuona kila uhusiano usio wa kimungu, ulio mbaya maishani mwako - achana nao, kwa jina la Yesu. Jikomboe kutoka kwenye uhusiano huo usio wa kimungu. Jikomboe kutoka kwenye uhusiano huo mbaya. Katika jina kuu la Yesu Kristo. Uhusiano huo unaotegemea ulaghai na udanganyifu - utenganishwe! Katika jina kuu la Yesu. Acha kuwe na nuru. Acha kuwe na nuru nyumbani kwako! Acha kuwe na nuru! Acha kuwe na nuru katika familia yako. Uwe na uwezo wa kupigana vita vyema. Ninazungumza na familia yako. Na kuwe na ufahamu! Katika jina kuu la Yesu, Asante, Yesu, kwa ukweli usiobadilika wa Neno lako Takatifu. Acha kusikia kufanyike kuwa vitendo. Katika jina la Yesu. Amina.”
Unaweza kutazama ujumbe kamili kabla ya wakati huu wa maombi na Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=BWyJInXxbLM
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 02:27
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Be STRENGTHENED to FIGHT the GOOD FIGHT! | |

georgejbudeba edited Swahili subtitles for Be STRENGTHENED to FIGHT the GOOD FIGHT! |